Bashe unatuangusha..hukutakiwa uzungumzie wakati wake wa uwaziri..ulitakiwa ujibu hoja aliyo toa .SISI wananchi wakati uliyo pita auwezi ukawa na mantiki kama wakati huu tuliyo nao tukikosa majibu na matokeo Chanya. Kama alifanya vibaya sawa . Raisi akachaguwa wenye uwezo na wewe ukiwepo.sasa fanya kazi tupate matokeo Chanya. Achana na bra bra. One love 🇹🇿
Natayari umeishafeli. Na kwakweli ukmeingia kwenyehistoria kwamba ukiwa waziri wa kilimo Kuna mfumuko wa bei wa vyakula. Yaani Ifakara mcele kilo 2800 na maharage 3500. This is extremely failure and shame indeed. 😭😭
Mh nawe jitahidi kuwa unakubali ushauri na mitizamo ya wengine,maana hua unalazimisha waamini usenacho. Suala la mazao kupanda wananchi tunajiuliza je mwaka huu mavuno yakiwa kidogo itakuwaje? Nzega Tu mvua zinanyesha Kwa mafungu.
Siyo sawa kusema alitaka kuwatia umasikini wavuvi. Uvuvi haramu wa kutumia makokoro haukubaliki. Baada ya muda samaki watakapokuwa hawapatikani mutamkumbuka. Hivyo vijembe vya kisiasa visivyo na faida kwa wananchi havina maana yoyote
Hakuna Uhusiano wowote hapo kati Ya Mfumuko Wa Bei za Vyakula, Ukosefu Wa Mbolea Mtaani, Hadi hapa Ulipofika umekwishatia hasra na umasikini Watanzania Wengi Sana, Mpina alisimamia Sheria Tunaweza kupima Kati Yake na Aliepi Sasa hv Ni nani anaetia umasikini Watanzania? Samaki Hakuna huo sio umasikini? Ng'ombe zinakamatwa na Haki za Mifugo hazifatwi huo sio umasikini? Mawaziri jikiteni kujibu hoja za Wananchi na maswali ya wabunge vijembe Bungeni havisaidii lolote
Yaani majangili wanatetewa na wazir kwa uvuvi haramu halafu mtegemee wapigaji wa ruzuku ya mbolea watadhibitiwa? Akili ya Mpina ni kubwa na imejengeka katika kuiona Tanzania mpya, si hawa wanaotazamia kuona vitambi vyao vipya!

Bashe,sikiliza, vijembe havitusaidii chochote ila bei za vyakula ziko juu. Hii Ndiyo hoja
Mpina na hajafilisi wavuvi alikomsha majangili ambao walikua wakivua kwa sumu kari aina ya fenomu
Natayari umeishafeli. Na kwakweli ukmeingia kwenyehistoria kwamba ukiwa waziri wa kilimo Kuna mfumuko wa bei wa vyakula. Yaani Ifakara mcele kilo 2800 na maharage 3500. This is extremely failure and shame indeed. 😭😭
Na wewe kalime mpunga uuze mchele 1000
Kalime mpunga ukauze 500 mzee kwan shida ipo wap munaona kila siku wakulima wajinga tu
Takwimu za Samaki zikoje Sasa hivi! Tusiposimamia maswala uvuvi harama Ziwa Victoria itakuwa Swimming Pool tu.
Yan hawa maboya wanaongea kila siku kitu hichihich na maisha ya watu n migumu n ujinga mtupu
Punguzeni bei ya chakula,hali mbaya sana hali ningumu mno,
Mpina shikilia hapo hapo. Wataelewa tu
Bashe tatizo la ko unajiweka mjuaji hunalolote zembwelatu wizimtupu
Hongera yako wewe unaejua kwa maana mmh
Jamn njoon na nyny mulime
Mawaziri wetu tayari wameshasahau, wanadhani wao wanawafanya kuwa matajiri
Watanzania wengi wamekosa mbolea za ruzuku, lkn unasema mfumo ni mzur, iv mnaenda Kwa wananchi na kuona Hali halisi? Au mnatumia taarifa za ofisini?
Mpina bado aelewi
Mh nawe jitahidi kuwa unakubali ushauri na mitizamo ya wengine,maana hua unalazimisha waamini usenacho. Suala la mazao kupanda wananchi tunajiuliza je mwaka huu mavuno yakiwa kidogo itakuwaje? Nzega Tu mvua zinanyesha Kwa mafungu.
Ushauri gani uliotoa akagoma kuupokea??
Hamna mtazamo wowote uliotolewa na mh. Mpina viongozi wakagoma kupokea tatizo ni namna anavyouwasilisha huo mtazamo wake
Mpina alilitaka. Atutoe pugu tupishe ng'ombe
Kama mnaona beizapanda nendeni mkalime chakula wenyewe
Siyo sawa kusema alitaka kuwatia umasikini wavuvi. Uvuvi haramu wa kutumia makokoro haukubaliki. Baada ya muda samaki watakapokuwa hawapatikani mutamkumbuka. Hivyo vijembe vya kisiasa visivyo na faida kwa wananchi havina maana yoyote
Anatukana wakunga na uzazi ungalipo
Msomary hamna mtunhapa
Mimi ninge mshauri achane na hiyo kazi maana kufanya kazi na hawo wasiojiele sawasawa na bure tena sema acha upumbavu wao
Ungemshaur nan??
Kwani kuna kipi kibaya au hakipo kwenye mstari ambacho Bashe amekiongea? Wacheni ku~comment utumbo bila kujielewa.
Bashe yupo sahihi mno.
Mnashindwa kujibu hoja mnabaki kumkaslikia mpina, kwani uongo mbolea ziko juu na Hazfiki kijijini waliko wakulima? Je ni sahihi umeme kukatkakatika? Halafu waziri anajifanya anajuwa. Mpina anaongelea uhalsia unasema aliwatia umaskini wavuvi leo samaki hazpatikani samak kununua kama unanunua mbuzi ndo maisha hayo?
Hakuna Uhusiano wowote hapo kati Ya Mfumuko Wa Bei za Vyakula, Ukosefu Wa Mbolea Mtaani, Hadi hapa Ulipofika umekwishatia hasra na umasikini Watanzania Wengi Sana, Mpina alisimamia Sheria Tunaweza kupima Kati Yake na Aliepi Sasa hv Ni nani anaetia umasikini Watanzania? Samaki Hakuna huo sio umasikini? Ng'ombe zinakamatwa na Haki za Mifugo hazifatwi huo sio umasikini? Mawaziri jikiteni kujibu hoja za Wananchi na maswali ya wabunge vijembe Bungeni havisaidii lolote
Uongo
Yaani majangili wanatetewa na wazir kwa uvuvi haramu halafu mtegemee wapigaji wa ruzuku ya mbolea watadhibitiwa? Akili ya Mpina ni kubwa na imejengeka katika kuiona Tanzania mpya, si hawa wanaotazamia kuona vitambi vyao vipya!
Bashe anajitahidi sana.
Saana tena saaana
Mpina anaumia kutumbuliwa uwaziri.kelele zote anataka kurudishiwa uwaziri wake.
Daah we unafikiria kama mimi kabisa, kelele zote hizo ni maumivu ya kutumbuliwa
Tupe ushahidi alikwambia Lini anataka uwaziri kama huna ushahidi Kaa kinya
Unatakiwa kujibu hoja si kuleta mboyoyoy leta ushahid na hapo ndo huwa tunaferi wewe hoja acha mashambuliz binafs
🤣🤣