Yani chagamba unaacha kumtafuta miraji au mzee said, unaenda kwa kisugu kweli! Hautendei haki
Huyu jamaa anaongea kishabiki sana hadi anaboa
Hili jamaa kweli ndo linaiharibu simba😂😂😂😂
Changamba kisugu hana point ktk soka nimpiga kelele 2
Ongelea simba yako maana ww kila siku uwa pumba 2
Unajitahidi kujenga hoja kweli simba mnashida
Kisugu domo Hilo ulisifia hivyohivyo mwaka jana haya niko pale nimekaa nasubiri furaha au maumivu
Hana Maneno Yenye Maana Ndio Ukaona Hata Viewers Hamna.
@@nurdinmfamau3493HAO 35 WEWE UNAO??? TOPOLO MACHOGO FC WEWE 😂😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
Huyu Huwa mara nyingi Hana point bwana chagamba
daah ila kaongea kwel jamaa manji kafariki wao wanatembea na vingoma mtaani wana shangilia