Utata Kuhusiana na Uungu wa Yesu Watatuliwa | Na Askofu Dr. Fredrick Simon
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Katika mafundisho haya, Askofu Dr. Fredrick Simon anafafanua na kutoa mwangaza juu ya maswali tata kuhusu uungu wa Yesu. Je, Yesu ni Mungu kamili? Kwa nini alisali kwa Baba? Na kwa nini alisema kuwa Baba ni mkuu kuliko yeye? Haya ni baadhi ya maswali yanayowatatiza Wakristo wengi na kuzua mijadala mingi.
Askofu Dr. Fredrick Simon anatueleza kwa undani kuhusu asili ya Yesu katika Utatu Mtakatifu, akitumia maandiko matakatifu na mifano ya kiroho kutoa ufafanuzi wa kina. Jiunge nasi katika mafunzo haya ya kipekee ili kupata majibu sahihi kuhusu uhusiano wa Yesu na Baba na kuelewa kwa undani mafundisho ya Kikristo kuhusu uungu wake.
Usisahau KUSUBSCRIBE kwa mafundisho zaidi, na bonyeza kengele ili upokee taarifa za vipindi vipya!
#BishopFredrickSimon #UunguWaYesu #UtatuMtakatifu #MafundishoYaBiblia #MaswaliYaBiblia #ImaniYaKikristo