KIPATO KIMEONGEZEKA BAADA YA KUPATA MTOTO| UJIO WA ALBUM YAKE | SINA BIFU NA ABIGAIL CHAMS.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • @marioo_tz anathibitisha ni baraka nyingi zimekuja upande wake baada ya kupata mtoto na moja kati ya baraka hizo ni kuongezeka kwa kipato katika maisha yake kwa ujumla.
    Kama baba, @marioo_tz anadai jukumu lake pendwa katika malezi ya mtoto wake ni katika sekta ya kumbadilisha diapers pale anapojisaidia! 🤔• #XXLyaCloudsFM •

ความคิดเห็น • 8

  • @jozytz2868
    @jozytz2868 9 วันที่ผ่านมา

    Jamaa yuko real sana

  • @annaki318
    @annaki318 11 วันที่ผ่านมา

  • @FocusNyari
    @FocusNyari 11 วันที่ผ่านมา +1

    Etyy album shida hakuna msanii anaweza kukuta daaah jay, ray, diam. Jamaaa anaseama hawawezi wote hata wakitoa yani kiufupi amesema hakuna atae ikuta album yake

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 11 วันที่ผ่านมา

    Huyo dada mtangazaji jmn napenda sauti yake🎉🎉🎉🎉

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mina ally sasa marioo aende shule asome nini?

    • @FocusNyari
      @FocusNyari 11 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-ls2cm8pw5x
    @user-ls2cm8pw5x 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mtoto Wa Kike Ana Barka Sana