SYRIA KWAWAKA MOTO/URUSI YAWATIMUA WAASI KWA MAKOMBORA MAZITO KUMSAIDIA ASAD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Asante kwa faraja hizi ukisikiliza media za wazungu wanakuambia waasi wameuchukua mji wote wa Alepo kumbe Russia na Syria Arab Army wameurudisha mji asante kwa kanzi nzuri

    • @anny19988
      @anny19988 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wao ndo wanawapa fedha na silaha ndio maana wanawatangaza hivyo

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Rashia piga hawa mbwa hawa walipangwa na Marikani pamoja na israel huku waki jifanya kuwa weislam

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Urusi ardhini Hana jeshi KUBWA aliwahamishia ukraine NDIO maana waasi wanasonga mbele

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Warabu na wafrica tuko fungu moja, kuwagombanisha ni rahis sanaa

  • @binismail2029
    @binismail2029 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kumbe kuna Nchi Duniani kazi Yao Ni UFISADI Tu. Watu wametulia wao wanakwenda kuUWA Raia. Ila na wao Iko siku ANAYEMILIKI Dunia atawaangamiza pia

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    Sio vita vya wenyewe kwa wenyewe bali ni vita vya marekani kuuwa waisilamu anatumia vibaraka wenye tamaa na madaraka

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      HAO waasi wanafadhiriwa.na uturuki NDIO maana URUSI na IRAn zimeilaani uturuki KWA kukiuka mkataba WA kazan

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@josephwilliam5813unapoteza mda kumuelimisha mtu aliyejazwa chuki za kiarabu kuwachukia ndugu zetu wamarekani weus

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ww na mm atuna maono ya Allah wape nguvu watu wanao taka amli yako ifanye kazi kama hao waasi sio watimue kwa uweza wako Amina Amina

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Yaani kuna watu wanatumiwa vibaya sana. Wanapewa pesa wawauwe ndugu zao. Mtihani !

    • @anny19988
      @anny19988 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaani wanapewa pesa na NATO wanauana wao kwa wao

    • @SultanAlly-nz4mz
      @SultanAlly-nz4mz 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mh ndio maana Libya Toka afe gadaffi sidhani kama itakuja kuendelea Tena maana Obama alifurahi nakusema kuwa ataijenga Tena Libya lakin wapi

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@SultanAlly-nz4mzmarekani hajui kujenga akishaharibu

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huuu ni mchezo waliona urusi ishawazidi wameenda kuchokonoa sehem nyengine

  • @SaidHassan-g5h
    @SaidHassan-g5h 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Wasubili waahasi awoo watapewa kinachoo stahili

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Syria inalindwa na Russia kwa muda mrefu sasa kinyume na hapo wanamgambo wanaodhaminiwa na Marekani wangekuwa wameshaichukua dola. Bila shaka Syria ni eneo la kimkakatika katika usalama wa mataifa fulan ndiyo maana kuna wanaolipigania (USA na Russia).

  • @georgeurembo4553
    @georgeurembo4553 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kuwagombanisha waarabu ni rahisi sn

  • @KatemboJeremica
    @KatemboJeremica 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    umefanya vzr kuingia katika uyo muji watu wame teswa sana na izo ngurue mashoga za Israël na marekani MWENYEZI MUNGU awangamize wote

  • @anny19988
    @anny19988 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Urusi kapeleka kipondo huko Syria tangu jana mbona unachelewesha habari mzeee😂😂😂😂. Watu hadi tushasahau

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kashambulia angani chini WATU wanaongeza maeneo na SASA wameukamata uwanja WA ndege

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@josephwilliam5813we nawe ni kiazi sana Wagner washaingia mzigoni unadhani atapona mtu pale?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @mustafamasudi8093 Mzee iyo usemayo ni speculation ingia Twitter uangalie hali ilivyo uwanja WA vita usisubiri media kukuhabarisha,,,now wamemchinja mwanaheshi wa Syria na wameingia mji WA hama

  • @JafariNyallu
    @JafariNyallu 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Neto bwana

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nikisema duniani hakuna watu wa vita kama urussi.... jeshi lake liko makini hawaonei MTU

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uraaaaaaaaaaa

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Putini ni muokoz wa viongozi wa mataifa madogo ambayo rasilimali zao zinatamaniwa sana na manyang'au wa magharibi na kutaka kuwasimika vibaraka wao. Laiti angekuwa rais wa urusi wakt wa gaddafi hawangemuua!!

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 47 นาทีที่ผ่านมา

    Yaani marekani hujui ht anatak nn ktk hii dunia wallah?

  • @azizmiraji2610
    @azizmiraji2610 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Marekani ni wabaya sana ktk hii duniya

    • @anny19988
      @anny19988 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Acha tu😢😢😢

    • @bwiremgonya1394
      @bwiremgonya1394 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      G7 behind the scene

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      KILA KITU marekani familia NDUGU URUSI na Iran wameishutumu uturuki kwani HAO waasi NDIO ngao ya uturuki dhidi ya kikundi Cha ypk Cha ki kurdi

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wamarekani weus na Africa ni ndugu, hatuna undugu na waarabu sisi sabab wanachokifanya darfur dhidi ya waafrika weus ni said ya unyama

  • @rashidhussein-cq2si
    @rashidhussein-cq2si 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huo mji utarudi tu hata I S waliteka miji lakini hawakutawa
    la

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waasi ndo wameshinda mji wa Alepo jeshi la serikali imeshindwa Acha kuchambua uongo

  • @SaidHassan-g5h
    @SaidHassan-g5h 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bado Putin Fanya kazi yako

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa wanamjua Putin lkini 😢😢😢 watakikuta i say ss huku tuna amani beirut

  • @Nassib-h5k
    @Nassib-h5k 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jeshi la sirya kama jeshi la Lebanon2

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waarabu nao Kila siku utaskia wanaipinga serekali Yao sijui nani yupo sahihi 😂😂😂

    • @RamlaMburi
      @RamlaMburi 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyo ni Marekani+ Uturuki. Wanamchokoza Putin

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vyombo vya magharibi vinasema urusi imeua raia,shirika la haki za binadamu

  • @JohnKaliagi
    @JohnKaliagi 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana waasi.tupo pamoja

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kweli akili ni nywele kila mmoja ana zake

    • @anny19988
      @anny19988 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwahiyo na wewe ukipewa pesa uue ndugu zako utaua

    • @JohnKaliagi
      @JohnKaliagi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @anny19988 hapana wale ni kama chadema na ccm,wale wanaona serikali ilio madarakani aifanyi vizuri

    • @natual7572
      @natual7572 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@JohnKaliagi
      Wala sio hivo bali wamedanganywa na mabeberu

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      jamani achaneni na hili jamaa linaloitwa kaliagi, baba yake aloshasema amezaa shoga nakupimbuka vizuri nalijua ili jinga kitambo TU.

  • @muhitira
    @muhitira 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    marekani hawapumziki kunywa Dam za Bin-Adam ,je wanataka M'paka wafe Watu wangapi ili waipe Dunia Utulivu Kweli,mara vita Hulu mara vita Kule,Yani Dam zinamwagika kote Duniani kisa marekani

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    waarabu wauliwa tu kwani kuna nn ukko

  • @anny19988
    @anny19988 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hao waasi wa Syria kuna nchi fulani waliwahi kujitangaza laivu kwamba wanawasapoti ili wamkomeshe Putin😂😂😂😂. Kilichowakuta

    • @madaiincubationcenter4947
      @madaiincubationcenter4947 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      kwahiyo unaiogopa kuitaja hiyo nchi?

    • @anny19988
      @anny19988 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@madaiincubationcenter4947TH-cam inafuta Komenti ukiitaja😂😂😂

    • @anny19988
      @anny19988 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@madaiincubationcenter4947Komenti itamezwa

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    UKIONA MTU ANATUMIWA NA MABEBERU , HUSIMCHEKEE MAANA NI KENGE ..

  • @SalumMmaka-o6w
    @SalumMmaka-o6w 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukisikiliza media za wazungu wanakwambia waasi wamechukua mji wore zaman ilikua tuna danganywa Sanaa na dw CNN voa na taarifa za habar za redio zetu kumbe bwana Mambo hayako hivo kabisaa kumbe Hawa mabwana wanapigika vibaya

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      KILA KITU media za magharibi ingia Twitter uone ukweli waasi wameukamata uwanja WA ndege na eneo la citadel na wanafadhiriwa na uturuki

  • @HakizimanaJeandieu-dy7cx
    @HakizimanaJeandieu-dy7cx 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na bado 😂😂😂

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    nilijua tu mrusi hawezi mwacha akataabika peke yake asad .sasa subilieni kichapo zaidi kutoka kwa mrusi

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mrusi ka base ukraine uku Syria sio sana

  • @Filbert-pe2xm
    @Filbert-pe2xm 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Putin ni babalao

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Urusi ua magaidi wote

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao watakua wamelaaniwa

  • @Paulo-c9z
    @Paulo-c9z 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waarabu machizi sana walikuwa wakimchangia muisrael sasa ivi wamegeukana wenyewe kwa wenyewe wanauana kwaajili ya jihad 😂😂😂😂

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    urusi irani na syria wanaungana kupambana na vikundi vidogo hii ni aibu

    • @MhinaKulewa
      @MhinaKulewa 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We unadhani Kwa akili yako ni vikundi vidogo?
      La hasha! Hivi ni vikundi ambavyo nyuma yake wapo marekani wakisaidiana na nchi wanachama za NATO.
      Ni mchezo unaofanywa na nchi za magharibi Ili kumuondoa Rais Assad madarakani kama ambavyo serikali ya Obama ilifanya kumuondoa Gaddafi Kwa style hii hivyo wanapata silaha pamoja na fedha.
      Style hii pia inatumika nchi za Africa kueneza machafuko Kila Kona

    • @YohanaJoshua-h2j
      @YohanaJoshua-h2j 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani mimi nimekuomba uniambie huo upuzi wako au wewe ni shoga au

    • @MishaHass
      @MishaHass 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@MhinaKulewaKweliiii kabsaaa Haya majoka na mangurue yakimarekani ni mabaya Sana yana roho mbaya na ukatili zczo na Huruma kwa mtu yyte km Shetan lenyew Tena cjapata Ona yaan cwapend balaa😢kla nchi wapo Kaz kutia fitna na ufisad wakateketeza Nafc za wa2 bla makosa hao Magaidi🤮🥺

    • @MustaphaManole
      @MustaphaManole 24 นาทีที่ผ่านมา

      Wanapambana na mataifa mataifa mangapi unajua? Na pia hujui nn maana ya msaada au ukitaka Russia au Iran wavibebe vita kama vyao wapeleke kila kitu Ata akiba yao wao wameenda kumsaidia awapo rasmi kama kwao

  • @FrankDavid-en6on
    @FrankDavid-en6on 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Congrats Russian

  • @mustaphaabbasihassani6519
    @mustaphaabbasihassani6519 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Puttin piga mbwa hao

  • @JafariNyallu
    @JafariNyallu 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    jamani utabir unatimia, hapo ndipo Jesus atakapo shuka nchini Syria, Russia hatoweza kuiacha Syria ichukuliwe, kwa sababu Eastern orthodox church chini ya Russia wanamsubili Jesus lakin western roman christians wanamsubili dajjal/ mpinga christo, tujianadae na mapambano makali eneo la masharik ya kati mpaka kushuka kwa yesu

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jesus atakuja kulingania uislamu utamfuata?

    • @MhandoGodfrey-j9t
      @MhandoGodfrey-j9t 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sip syria ni Israel

    • @JafariNyallu
      @JafariNyallu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MhandoGodfrey-j9t sis tuna eschatology yetu, nanyi wakristo mna elimu yenu kuhusu yesu, kwetu sis yesu ata shuka Damascus ni mji ambao upo Syria atamfukuza mpinga kristo mpaka ktk geti la lud lipo Israel ndipo atakapo muuza.

    • @JafariNyallu
      @JafariNyallu 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      @@abuuaisha6110 sis tunajua kuwa yesu ni nabii dini yake ndio dini ya manabii wate waliotangulia, atakapo kuja yeye atamwabudu mungu Moja allah pekee ambayo ndio Mila ya Ibrahim na Musa yunus na Muhammad, ila atakapo kuja kuna kundi la wakristo watamwamini na kumfata na Hawa tinatarajia kuwa ni wakristo kutoka Eastern orthodox church under Russia, lakin wapo wakristo wataobak ktk ikafir wao na hawatomwamin na Hawa ni wale kutoka Western Romans church, allah amesema ktk surat nisaa Aya y 159.

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hizbollah wapo bize , wasingefika hapo

  • @muhammadmpahi338
    @muhammadmpahi338 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waarabu mmekuwa wajinga sana zama hizi ispokuwa wachache wenu

  • @BreezyMnyama
    @BreezyMnyama 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kichwa Cha habali bila kuandika Russia utoboi mze 😂😂😂 na wa TZ wasiojielewa ndo wakafatilia ila habali zako feki

    • @anny19988
      @anny19988 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hii habari sio feki ilitangazwa tangu jana ni yéyé kaichelewesha

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tupe org mtoto wa mjomba maan ww ni mjuaji sana