Mimi ni mmaasai na Ninasikitika Sana iwapo Hakuna hata mmoja wetu wa wamaasai mwenye ataeza ku kusaidia lakini kwa yote Acha nikusaidie Kadri ya jinsi ninavyo weza... The song is in the form of a chorus which goes "ashe ashe papa Lai ashe kitamayiana" Let me interpret bit by bit; Ashe-asante Papa-Baba Lai-wangu Kitamayiana - umenibariki Connecting all the words it now goes... Asante Asante Baba wangu asante umenibariki×3
Hayo mavazi ya wanawake jamani wanapendeza sana fundi ni nani ni mama mbarikiwa anadizaini huyo mishono au atuambie tumpe vitambaa atushonee na wengine mavazi yao yanabariki kwa kweli.

Hiyo ni nguo ya KIKOSI kazi cha injili sasa kuvaa tu kama fasheni ni vyema ila watu waweza kujua na wewe ni kikosi kazi. Karibu uabudu nasi.. wewe uko wapi??
Nice
Nimebarikiwa watumishi wa Mungu.
Maana yake nin jaman, asheee ashe
Asante bwana kwa kuwa umemi bariki
Kimayani
Naomba kuona wimbo wako na abiudi misholi
Amen
Nimebarikiwa...lakini kwa kimasai nataka niijue vile inaibwa...mmoja aniandikie vile inasema....nataka kuiimba kanisani na kimasai..
Mimi sio mmasai mtumishi, na sina uhakika kama unaweza kumpata mtu wa kukusaidia kwa hapa yaani TH-cam.
Mimi ni mmaasai na Ninasikitika Sana iwapo Hakuna hata mmoja wetu wa wamaasai mwenye ataeza ku kusaidia lakini kwa yote Acha nikusaidie Kadri ya jinsi ninavyo weza...
The song is in the form of a chorus which goes "ashe ashe papa Lai ashe kitamayiana"
Let me interpret bit by bit;
Ashe-asante
Papa-Baba
Lai-wangu
Kitamayiana - umenibariki
Connecting all the words it now goes...
Asante Asante Baba wangu asante umenibariki×3
Hayo mavazi ya wanawake jamani wanapendeza sana fundi ni nani ni mama mbarikiwa anadizaini huyo mishono au atuambie tumpe vitambaa atushonee na wengine mavazi yao yanabariki kwa kweli.
Amen
Hayo mavazi ya wanawake jamani wanapendeza sana fundi ni nani ni mama mbarikiwa anadizaini huyo mishono au atuambie tumpe vitambaa atushonee na wengine mavazi yao yanabariki kwa kweli.
Hiyo ni nguo ya KIKOSI kazi cha injili sasa kuvaa tu kama fasheni ni vyema ila watu waweza kujua na wewe ni kikosi kazi. Karibu uabudu nasi.. wewe uko wapi??
Mnapatikana wapi jamani