Kuna mzee mmoja anajiita msahbiki wa simba hua anahojiwa kipindi flani cha youtube. yule ndo anamkashifu sana mchezaji wetu; maneno yake si mazuri anamkosea sana heshima
Si nyiny wachambuz wa wasafi siwapend maan mnapendag san kuwachamb simb vibay hat kuus wazee ni nyiny Mlisemag kwa hiy bakin tim yen ya yangu tuachen na simb yetu
Namuheshimu sana na namkubali I wish abakie simba nakuelewa sana
nan alie muita saido mzee kamasio yiyi wachambuzi mkishilikiana na mashabiki wa yanga acheni uchawi au mnatumwa machawa nyinyi
Kuna mzee mmoja anajiita msahbiki wa simba hua anahojiwa kipindi flani cha youtube. yule ndo anamkashifu sana mchezaji wetu; maneno yake si mazuri anamkosea sana heshima
Mzee saidi😂😂😂😂
bangi haijawai kua nzuri
Si nyiny wachambuz wa wasafi siwapend maan mnapendag san kuwachamb simb vibay hat kuus wazee ni nyiny Mlisemag kwa hiy bakin tim yen ya yangu tuachen na simb yetu
Oska umenena saidoo bado anakitu
Hata FRED MICHAEL amekuja juzi na ana GOALI 7
UYO SAIDOO KAANZISHE TEAM YAKO OSCA FC UM KEEP😮😮😮😮 SISI KAMA SIMBA HATUMTAKIIII
MASHABIKI
TANZANIA HATUN SHUKRN
Hv ww ni jiran kabisa kule kaliuwa umecheza mpira wapi maana kila kitu unahisi unakifahamu,kesho utamponda tena aisee
Kakwambia nani ayo unayo sema
Penati?
Nampend sana saidoo
Ww una wedha kufunga chahizo