MR BLUE AANDIKA TENA HISTORIA TIGO FIESTA MWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 ปีที่แล้ว +18

    Mr Blue ni kipenzi cha watu... Hawa ni mashabiki wake sugu.. Namkubali from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦

  • @ziporakaulimbo97
    @ziporakaulimbo97 5 ปีที่แล้ว +68

    Nimeamini kutoa minyimbo miingi haina maana watu wakikuelewa wamekuelewa tu Mr. Blue ni mwanamuziki mzuri hana mbwe mbwe mjin hapa

    • @sweeshdoncheofficial1574
      @sweeshdoncheofficial1574 4 ปีที่แล้ว

      UshaniSoma Eeh??
      Here is a Link to my Song..Kindly Watch and let me know of what you Feel/Think about it.Thanks .th-cam.com/video/89f7qjij8GU/w-d-xo.html

  • @ezronkimaro7911
    @ezronkimaro7911 5 ปีที่แล้ว +20

    Mr Blue n kawaida yake anakiwaxhaga popote uyu🙌🙌

  • @nuhanuru1329
    @nuhanuru1329 5 ปีที่แล้ว +25

    Noma sanam.....fiesta kitu ingine wazee

  • @jorvinalex9449
    @jorvinalex9449 5 ปีที่แล้ว

    Ajawahi kosea namkubali sana ni zaidi ya star # love sana bro

  • @maliksaid1574
    @maliksaid1574 5 ปีที่แล้ว +28

    Miaka Yote blue... Ndivo inavokua coz fundi wa mziki

  • @vitalesgalus8004
    @vitalesgalus8004 5 ปีที่แล้ว +4

    Akunaga mfano ndani ya tigo fiesta mzee baba kuna wakali kama mr.. blue noma sana tisha mzazi

  • @bressfabians4537
    @bressfabians4537 5 ปีที่แล้ว +8

    Sehemu ya kiba haina aja ya kuimba daaah full maupendo 😅♥
    Mr.blue
    Umekaa ukiwa na viatu kunyenyuka huna viatu 😁😂😅🤔

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 5 ปีที่แล้ว +7

    Jamani hii ndio generation na original ya Bongo flava, wengne wajifue ni bado tuwe wakwel kwa sisi tunaoijua ilipoanzia Bongo flava!!!!!!!

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 5 ปีที่แล้ว +30

    Kipande cha kibaaaa watu kama wote wamezolewa aaaaaaahaaaaa hatar sana

  • @samirnaty8774
    @samirnaty8774 5 ปีที่แล้ว +46

    Blue kawaida yake ata awe hana singo mpya Ila jukwaa lake

  • @rosemaiko9405
    @rosemaiko9405 5 ปีที่แล้ว +9

    Nyani mzee hatariii tangu zama zile ,Pamba za blue we noma

  • @oswardkabasa4981
    @oswardkabasa4981 5 ปีที่แล้ว +7

    Mr bluuu hujawah niangusha noma saana

  • @anelkaking9342
    @anelkaking9342 5 ปีที่แล้ว +1

    Byser mkali sana

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 5 ปีที่แล้ว +4

    Bizzy ni Mashiineee... Mtu mbaaayaa Mwana Dar es salaam... Bycer

  • @shebbyabdallah9705
    @shebbyabdallah9705 5 ปีที่แล้ว

    Umetisha mr blue

  • @samwelmwita2099
    @samwelmwita2099 4 ปีที่แล้ว

    fanya ngoma na diamond iwe shida zaidi

  • @mikapmwalimu4555
    @mikapmwalimu4555 5 ปีที่แล้ว +15

    Mkali wa hizi kazi tangu na tangu hatri sana

  • @mohamedhamsini3107
    @mohamedhamsini3107 5 ปีที่แล้ว

    Jamaa noma sana

  • @mpotampota4170
    @mpotampota4170 5 ปีที่แล้ว +2

    Always u r the stage killer 💪💪💪💪salute

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 ปีที่แล้ว +20

    Blue ni moja ya wasanii ambao hata angepotea miaka kadhaaa hivi zen akarudi bado anamashabiki ambao hawafi leo wala kesho

  • @ericknkenzidyo3928
    @ericknkenzidyo3928 5 ปีที่แล้ว

    Mkn Sana Mr Blue unajua

  • @dianamdugala6015
    @dianamdugala6015 5 ปีที่แล้ว

    Big up Mr blue utabaki kuwa juuuuuuu....kileleeeeeeeeeni

  • @feymumy2654
    @feymumy2654 5 ปีที่แล้ว +14

    Wameondoka na viatu nomaaa

  • @ngindezedon4158
    @ngindezedon4158 5 ปีที่แล้ว +3

    ujawahi niangusha since day moco byser balaaaaaa

  • @haymoc_ninexix
    @haymoc_ninexix 5 ปีที่แล้ว

    Motooo

  • @komborashid5891
    @komborashid5891 5 ปีที่แล้ว +20

    Hakuna kama fiest

  • @humphreymasoud1725
    @humphreymasoud1725 5 ปีที่แล้ว +1

    session ya mistaa blue jukwaani huwa ni tamu sana. Mr blue amekuwa ni msanii mwenye nyota yenye influence kwa vijana.na ndio maana anaweza kuwamudu mashabiki wake stageni kirahisi sana.. nakumbuka tangu mr blue anaanza safari yamuziki vijana wengi waliokuwa wanaamini wanaenda na wakati walikuwa wanatamani kuvaa kama mr blue, kuongea kama blue, na mikogo yao kama ya mr blue. hii kitu blue kajaaliwa na mwenyezi.. hatoacha kuagawasha mashabiki zake hata akiperfome huku kakaa kwenye kiti muda wote.

  • @prosperndelwa4560
    @prosperndelwa4560 5 ปีที่แล้ว

    Shikamoo mr #Blue amesepa na jiji la mwanza

  • @issaguners4739
    @issaguners4739 5 ปีที่แล้ว

    Pacha blue baisa

  • @maulidrehani
    @maulidrehani 5 ปีที่แล้ว +4

    Msanii wa wang bora wa siku zote

  • @revokatusisobhe9415
    @revokatusisobhe9415 5 ปีที่แล้ว

    yaani blue alichokinya katika nyimbo zake ni kuwa ziendelee kuishi

  • @navanjkiba2439
    @navanjkiba2439 5 ปีที่แล้ว

    fireeeeee

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 5 ปีที่แล้ว +1

    Wahenga wa Bongo flava, tuelewe wingi wa minyimbo kila wiki sio issue!!!!! Piga 3 ila wakuelewe hata miaka mia angalia hii Mr Blue noma

  • @immah__deo7014
    @immah__deo7014 5 ปีที่แล้ว +4

    Kwa Bongo Hii Baada ya Mondi ..Hakuna Msanii Anayejua Kufanya Shoo kama Blue

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuh wamechukua snickers 😂😂😂

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 5 ปีที่แล้ว +4

    Wana wamesepa na force haaaahaaa

  • @mcnjovu3525
    @mcnjovu3525 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakuaminia kamanda wangu blue

  • @kingbabumusictzkingbabumus6285
    @kingbabumusictzkingbabumus6285 5 ปีที่แล้ว +6

    Mkaka mwenye fiesta yake

  • @suleimanaliy8122
    @suleimanaliy8122 5 ปีที่แล้ว +5

    Kabaisa nakukbal sn kma unamkubal biz gonga like

  • @isdoritemba2141
    @isdoritemba2141 5 ปีที่แล้ว

    blue noma gonga like kama unamkubali

  • @laumlimbila4337
    @laumlimbila4337 5 ปีที่แล้ว +2

    Noma sn blue umeua

  • @ismailkushinda8830
    @ismailkushinda8830 3 ปีที่แล้ว

    Simbaaaa n legend

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 5 ปีที่แล้ว

    Mnyama mkali kabisa hajawahi tokea duniani

  • @selemanimsahani3919
    @selemanimsahani3919 5 ปีที่แล้ว +1

    Mr blue nakukubari san sana broo

  • @godlovegeorge2334
    @godlovegeorge2334 5 ปีที่แล้ว +3

    Wanajipimia saizi zao tu babaake Fiesta

  • @fidboeogtheprince4766
    @fidboeogtheprince4766 5 ปีที่แล้ว +3

    More life Mr blue

  • @behumbel1419
    @behumbel1419 5 ปีที่แล้ว

    Nakubal

  • @wantedytz3461
    @wantedytz3461 5 ปีที่แล้ว +1

    show qaliii yente yent

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 5 ปีที่แล้ว +7

    Wangp wameona viatu vya mr.Blue vilivyochuliwa kiaina?

  • @moudyhamisi2641
    @moudyhamisi2641 5 ปีที่แล้ว +1

    Bee's Babylon 👊👊👊

  • @dullahdimba8423
    @dullahdimba8423 5 ปีที่แล้ว +1

    umetish Mr blue

  • @ramamanyama2944
    @ramamanyama2944 5 ปีที่แล้ว +2

    Herry Sameer haujawah kuwaanguxha watu kwenye fiesta

  • @mayjaally5026
    @mayjaally5026 5 ปีที่แล้ว

    Mnyama . BOB BAYSER

  • @kennix6457
    @kennix6457 5 ปีที่แล้ว

    Mambaaaaa

  • @musaabuebker1750
    @musaabuebker1750 5 ปีที่แล้ว +1

    vijana wamepita na viatu vya blue

  • @fatmanahay9980
    @fatmanahay9980 5 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo suruali ivue kbx haina maan 😏😏😏😏

  • @suratfrank6282
    @suratfrank6282 5 ปีที่แล้ว

    Pc&lv blue byser

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 5 ปีที่แล้ว +2

    Legend

  • @joshuajoshua7092
    @joshuajoshua7092 5 ปีที่แล้ว

    Day atabakia kua juuu siku zote ana jua kukonga nyo za mashabik awapo sitejin

  • @saidabeid1921
    @saidabeid1921 5 ปีที่แล้ว +2

    wahuni wamesepa na buti

  • @simonfrancisjr6591
    @simonfrancisjr6591 5 ปีที่แล้ว

    Mamae blue kakaa chin kuamka wat washachkuw raba duu kwl raia wapo fasta hahahah

  • @gigotz1755
    @gigotz1755 5 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndo tofauti kati ya tamasha la kimataifa fiesta na lile tamasha la wilaya wasafi

  • @6xrecca175
    @6xrecca175 5 ปีที่แล้ว +2

    Babiloni bizzy

  • @leopoldmwesa6968
    @leopoldmwesa6968 5 ปีที่แล้ว

    Kitambi toa hcho!ishi kistaa

  • @ziadaibrahim6189
    @ziadaibrahim6189 5 ปีที่แล้ว

    Walikua kmy kwa wasanii waliopita alivyopanda mwenye stej yake tu na kile kipande cha king masauti wenyewe wameimba bila kuimbishwa bluu nomaa

  • @jafarikimaro4730
    @jafarikimaro4730 5 ปีที่แล้ว +2

    Blue nakuelewaga sana

  • @zindunadeson1675
    @zindunadeson1675 5 ปีที่แล้ว

    Always baisa ni baisa

  • @juhudihardware3883
    @juhudihardware3883 5 ปีที่แล้ว +2

    Kukaa tu kidogo mabahari washasepa na viatu vyao

  • @kassimngohengo3281
    @kassimngohengo3281 5 ปีที่แล้ว

    Mmmg mmmh blue nyoko

  • @dullahdullah5499
    @dullahdullah5499 5 ปีที่แล้ว

    Kawaida huyo jamaa kukimbiza

  • @msokeentertainment5720
    @msokeentertainment5720 5 ปีที่แล้ว +1

    Kajitaidi aise

  • @mickidadymfumya7544
    @mickidadymfumya7544 5 ปีที่แล้ว +2

    Brue namkubal san

  • @abdulukwachu4447
    @abdulukwachu4447 5 ปีที่แล้ว

    Kabaisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jameslemenga2327
    @jameslemenga2327 5 ปีที่แล้ว +1

    Pa1 blue

  • @joshuajoshua7092
    @joshuajoshua7092 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli tupende tu wasan wetu ila kusema kuna bla hapo au isitoria niuongo ila mtt unaweza ukamwambia hivyo mana hajui nn mana ya historia au bara ila mtu mzimaa kama mm nakuona una mana heli hata omii kidg angalao kawapa watu mzuka

  • @kenethmsigwa7464
    @kenethmsigwa7464 5 ปีที่แล้ว

    Hizi ndo hazina za bongo sio simba simba! Simba uchafuuu

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 5 ปีที่แล้ว +1

      Keneth Msigwa ndo tatizo mnaoanza kusikiliza muziki kwny fiesta. hivi hujui blue pia ni simba! sasa unamsifia hapo hapo unamponda kweli we kinyesi

    • @alfredzaudo8371
      @alfredzaudo8371 5 ปีที่แล้ว

      @@edwardsichilengwe2330 kwel diamond anatesa watu maana lazma watu wamuongelee duu noma xana

  • @vincentpaul3499
    @vincentpaul3499 5 ปีที่แล้ว +1

    Kipande cha kiba kama wote walioimba

  • @babueddyothman300
    @babueddyothman300 5 ปีที่แล้ว +1

    Amexhaixha mda wake awapixhe hamo

  • @atashaisha8706
    @atashaisha8706 5 ปีที่แล้ว +11

    Kwani mikanda ilipigwa marufuku Tz mbona suruale zawa nguka ama nazo ni swaga

  • @allyswaah5318
    @allyswaah5318 5 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🎤🎤🎤🎤

  • @iqrahyah-sin4990
    @iqrahyah-sin4990 5 ปีที่แล้ว +1

    Hyo ndo ndo Byser

  • @kapelatz5314
    @kapelatz5314 5 ปีที่แล้ว

    Naelew kaz yake huy jamaa

  • @chrixtianwolf2290
    @chrixtianwolf2290 5 ปีที่แล้ว

    Babylon

  • @joycewijsman1014
    @joycewijsman1014 5 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @edmundmuhumba9585
    @edmundmuhumba9585 5 ปีที่แล้ว

    💥

  • @dawaphilipo7600
    @dawaphilipo7600 5 ปีที่แล้ว

    we imba sio mashaki waimbe wao

  • @gojoogojo8622
    @gojoogojo8622 5 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @nurdincassim4115
    @nurdincassim4115 5 ปีที่แล้ว

    Ushubwada mtupu

  • @Shuletz075
    @Shuletz075 5 ปีที่แล้ว

    Kambi Popote Byser Kubali Sn

  • @sadruhsnowwhite4679
    @sadruhsnowwhite4679 5 ปีที่แล้ว +1

    Blue hahahah

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว

    Jins ina vuka chupi twaiona mmh

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 ปีที่แล้ว

    ♨️♨️🇹🇿

    • @omarkassim9746
      @omarkassim9746 5 ปีที่แล้ว

      dhaaaa mzuka mjomba yni hkna kama ww

  • @pitajohn6536
    @pitajohn6536 5 ปีที่แล้ว

    daaa

  • @afronemmy
    @afronemmy 5 ปีที่แล้ว

    nomaaa

  • @haibasalehe3568
    @haibasalehe3568 5 ปีที่แล้ว

    Viatu

  • @samsonmusa7626
    @samsonmusa7626 5 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kitu hapo ...nyimbo hizo hizo miaka yote ...anatumia tu experience ila hana maajab yoyote mapya

    • @vicenthokororo6339
      @vicenthokororo6339 5 ปีที่แล้ว +2

      Acha majungu ww

    • @iamzillahx6901
      @iamzillahx6901 5 ปีที่แล้ว +3

      Unaweza toa nyimbo kila cku ila bubblegum ila hzi ni timeless hata wajukuu watazikuta

    • @mabassam8044
      @mabassam8044 5 ปีที่แล้ว +4

      We mshamba tu mziki mzuri ni ule unao ishi acha kujisahau toa nyimbo uone kama itaishi kama wafkiri rahisi

    • @vicenthokororo6339
      @vicenthokororo6339 5 ปีที่แล้ว +3

      Nafkir we ndo mshamba zaid asee unataka ckiliza izi nyimbo zinazodum masaa 2...... ona raia walivokua wanaimba nae fresh kabisa japo nyimbo ni za long time

    • @meronstudioz
      @meronstudioz 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwan we n msanii.. nadhani pia hata umri wako utakuwa tatzo itakuwa wa miaka ya 2000 so hujui maana ya muziki

  • @dawaphilipo7600
    @dawaphilipo7600 5 ปีที่แล้ว

    we imba sio mashaki waimbe wao

  • @aminakazogolo9914
    @aminakazogolo9914 5 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥