SHAMBANI | Rais mstaafu Mwinyi na shamba la mfano la Korosho

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Rais mstaafu , Ali Hassan Mwinyi ameendelea kuwa mfano wa kuigwa kwa wakulima wengi hapa nchini ni baada ya mafanikio yake katika mazao mengine, sasa amepiga hatua katika shamba lake jipya la korosho lililopo huko Mkuranga mkoani Pwani.

ความคิดเห็น • 24

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi mzee wengine tunalimia njaa wewe kwako ni burudani

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Mhe. Ali Hassan Mwinyi kwa kuoneaha mfano kwa jamii licha ya kwamba angeweza kutulia nyumbani.

  • @noru9028
    @noru9028 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Babu 97 na bado ana nguvu zake💕❤️mh mwiny Allah akufkishe adi 100 insha'Allah 🤲

    • @abdulyamiri3546
      @abdulyamiri3546 2 ปีที่แล้ว

      mbon umewek kikoma jmn

    • @mohdnasser894
      @mohdnasser894 ปีที่แล้ว

      Hapo utagundua wala nguruwe kwa wingi lazima wafe mapema kwa mfano tu marais wa kikristo wote walikwisha ila hao wasiokula nguruwe wako

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 2 ปีที่แล้ว +1

    Money can do anything in Africa leaders,huu labda uwe mfano kwa corrupt leaders..

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo ndipo alipozaliwa

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 2 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sana babu yangu huyu mwenyezi mungu amjaalie umri mrefu zaidi

  • @sembuakimbosho3319
    @sembuakimbosho3319 2 ปีที่แล้ว +1

    Utafanya hivyo bila mtaji

  • @mwaiphamkuruto1087
    @mwaiphamkuruto1087 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah Amjalie umri mrefu afya njema amhifadhi

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 2 ปีที่แล้ว

    Maashallah Mzee RUKSA, ALLAH AKUPE AFYA NJEMA UENDELEE KUWA MFANO WA VIONGOZI WENGINE

  • @jumanzumbi1215
    @jumanzumbi1215 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mheshimiwa.pamoja na kuwa una kila kitu bado unalima.safi sana.unaonyesha njia

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 2 ปีที่แล้ว

    Baba miaka miwili iliyopita ulivuna? Au?

  • @shukurukoll7269
    @shukurukoll7269 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Mzee wetu! Ahsante sana!

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki amina.

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว

    Homgera sana baba yetu 😘😘😘

  • @gracekaboigora189
    @gracekaboigora189 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 ปีที่แล้ว

    Manshallah

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 ปีที่แล้ว

    Mzee Ambaye Ni Mfano Wa Kuigwa Kwa Wazee Wengi Nchin Tanzania Na Ni Mfano Bora Sana Kwa Nchi Yetu Ya Tanzania Aswa Kwa Sisi Vijana Wa Taifa Ili Hongera Sana Mzee Ally Hassan Mwinyi🙏

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa had nmetaman

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 2 ปีที่แล้ว +3

      Sawa lkn uyu ana pesa ilo zao gharama zake sio poa ekali 40 ziskie tu watu kuusu huduma weeeeeee

    • @abdulhamis9825
      @abdulhamis9825 2 ปีที่แล้ว

      @@karimjuma4019 Ni Kujipanga Tu Sio Lazma Uwe Na Hekali40 Japo 5 Au 10