Kazi nzuri sana hii ticha mwakobe pia nafuatilia sana kazi zako, hii story ni nzuri na ina kitu cha kujifunza na ndio maisha waliopitia wazazi na watoto wao wengi wa kike katika jamii zetu hasa vijijin but what we need ni support na promotion kwa watu ili kazi zifike kwa watu wengi zaidi KEEP GOING tupo nyuma yako teacher 🫡
Big up kwa muhusika mkuu Yalute NYPHER character umeitendea haki very emotional at the end 😊
Pamoja Sana mwakobe
Kazi nzuri sana hii ticha mwakobe pia nafuatilia sana kazi zako, hii story ni nzuri na ina kitu cha kujifunza na ndio maisha waliopitia wazazi na watoto wao wengi wa kike katika jamii zetu hasa vijijin but what we need ni support na promotion kwa watu ili kazi zifike kwa watu wengi zaidi KEEP GOING tupo nyuma yako teacher 🫡
@@Nduvamidwife asante sana kaka