SABABU YA TUNDU LISSU KUONDOKA NJE YA NCHI KUMBE MBOWE KAMFUKUZA KWENYE CHAMA|UBINAFSI WAHUSISHWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 85

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 3 วันที่ผ่านมา +2

    Warejeshwe Nape achukuwe hii nafasi ya huyu mzee😂😂

  • @amirabdallah5425
    @amirabdallah5425 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kama ninyi mmejipanga mbona mnakimbilia mashuleni kuandikisha wanafunzi

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer 4 วันที่ผ่านมา +1

    Umeelekwa sana Boss,, ni mda sahihi Sasa vyama vyote viache ushamba wa siasa ,,kutengeza matukio , kujikomba , fujo na kuiba kura ni ushamba wa siasa. Apo nitaenda kupiga kura.

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 วันที่ผ่านมา +2

    Chadema IPO imara hata upotoshe sisi tupo kamiligado

  • @JecobethPeter
    @JecobethPeter 3 วันที่ผ่านมา +2

    Si uongelee ya kwenu? Nyie ccm mbona kuna makundi haammuuelewani

  • @ZakariaMnzava-q1v
    @ZakariaMnzava-q1v 3 วันที่ผ่านมา +2

    Muonekano wako tu nipumba ukiachana na maneno

  • @amanipeace6642
    @amanipeace6642 3 วันที่ผ่านมา +1

    Akili za CCM wotte hazina tofauti na kopo la chooni

  • @EmmanuellMunishi
    @EmmanuellMunishi 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nyie ndio wachafuz

  • @SolamhelaKulwa
    @SolamhelaKulwa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe ni zero kama zero wengine mnateka watu na kuwaumiza halafu unaongea nini hapa

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna chama kina mgogolo mkubwa kama CCM?Kinana,,Nape,Ndugai na Makamba na sasa Mpina wana yao moyoni na hilo kokolo lenu CCM

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 3 วันที่ผ่านมา

    Acheni Ungese.....chadema is stronger than ever!!

  • @BeatriceSoka-c7c
    @BeatriceSoka-c7c 3 วันที่ผ่านมา

    Dah ila Tz is very sweet

  • @AlphonceFaustine-v8t
    @AlphonceFaustine-v8t 2 วันที่ผ่านมา

    Laana ya mungu haitawakosa ninyi mauaji majizi2 Acha wazalendo wapambanie haki ya watu wa taifa lao

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wakati wapo Canada wapo wapi sema nn kilisababisha wakaenda huko nje

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 2 วันที่ผ่านมา

    No comment.

  • @JosephBaltazar-m7d
    @JosephBaltazar-m7d 2 วันที่ผ่านมา

    ccm msingekua mnaiba kura msingepata wa kuwachgua 2025 wezi wakubwa ninyi

  • @jonathanmallan4811
    @jonathanmallan4811 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kama unavyoandaa wewe propaganda ya mda mrefu. Badala ya kuongelea chama chako, unabwabwaja kuongelea chadema. Watanzania ni waoga

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 3 วันที่ผ่านมา

    Safi sana mwana wanchi,

  • @annemlay11
    @annemlay11 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanaotukana matusi ni wakosefu wa maadili.Wachukuliwe hatua za kinidhamu.Wanatukera tulio wastaarabu.

  • @titokeneth391
    @titokeneth391 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hili jamaa senge kumbe

  • @rajabumtuga7372
    @rajabumtuga7372 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mweny akili ccm alikuw nyerere tu

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mwongo wewe kwani sisi hatujui kama lisu kaenda kwenye kesi ya tigo?

  • @ZakariaMnzava-q1v
    @ZakariaMnzava-q1v 3 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm ndo wanaanzaga fujo

  • @JustinMkwanda
    @JustinMkwanda วันที่ผ่านมา

    utawadanganya vichaa tumenyamazi sio kwamba hatuwajui mlivyo

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 3 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 3 วันที่ผ่านมา +1

    We una mandalizi gani

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 วันที่ผ่านมา

    Upo sawa kabisa mwenezi japo umewakera 😂😂😂😂

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 วันที่ผ่านมา +1

    SACCOOS WAMECHEMSHA 😢😢😢😢

  • @laulianmeneja5923
    @laulianmeneja5923 3 วันที่ผ่านมา +1

    Unaonge pumba tu

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 3 วันที่ผ่านมา

    huna hoja tunataka majibu ya wanaoteka na kupoteza watu twambie bandali nani anaendehsa twambie kwa nini mnaandikisha wanafunzi

  • @walterngowi5835
    @walterngowi5835 3 วันที่ผ่านมา

    Hawa jamaa lissu kawashika vibaya kesi yke na tigo wanataka lissu arudi asiendelee na kesi imekula kwenu 😎😎

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 3 วันที่ผ่านมา

    Misingi ya awali mumeiua Wenyewe hamufai Munaandikisha wanafunzi S/m

  • @DanieliMtangi
    @DanieliMtangi 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu makala mnafiki kama msigwa hawa ni chawa

  • @IssaMtana
    @IssaMtana 2 วันที่ผ่านมา

    Hna lolote endeleza wizi laana itarud ilipo zaliwa

  • @isayamhumba3352
    @isayamhumba3352 3 วันที่ผ่านมา

    Zungumzia ya kwako, mbn unataka kuiinua Kwa kuwakandamiza we ngine? Nyie ni wezi tu

  • @SamwelSamwel-d8u
    @SamwelSamwel-d8u 3 วันที่ผ่านมา

    Kwani tanzania kuna chadematu akuna vingine

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 3 วันที่ผ่านมา

    Kwani huwezi kukaa bila kuwaongelea hao ina kuhusu nini

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa mbona kunamahali fulani tumeona wanafunzi wa shule ya msingi wanashangaa majina ya wanafunzi wenzao kwenye kituo

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu 3 วันที่ผ่านมา

    WATANZANIA NDO WAJINGA, IBENI TUU, FANYENI UFISADI

  • @raphaelmacha1173
    @raphaelmacha1173 3 วันที่ผ่านมา

    Naona kwenye kura yenu ya maoni mnaibiana kura kweli ukishakuwa mwizi unajiibia wewe mwenyewe. Watanzania ni waelewa kuwa ccm imeshapoteza uelekeo gari linaenda tu kwa kumsifia dereva huku mkijua dereva anaelekea korongoni. Kweli unafki kwangu mwiko.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 3 วันที่ผ่านมา

    Mzee hauna jipya wewe na msigwa mmeishiwa na sera kwani kuna nini ccm ndio zipo mbili subili tu mbuge lifunjwe muuone kama mnataka kumuua atafanyeje na bado lissu anakumbuka marisasi yale.

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j 3 วันที่ผ่านมา

    Tuzungumzie ccm yetu kuijenga na sikuleta hoja mbovu wakati taifa letu linaangamia likiongozwa na chama chetu ugomvi wa hao hauna maana kwa taifa ss kwa ss tujitafakali kuliongoza taifa

    • @VeryMnyakiwele-j1p
      @VeryMnyakiwele-j1p 3 วันที่ผ่านมา

      Wewe siyo ccm katisha huko wewe kwani chadema wao hawakosoi unataka tunyamaze

    • @FrankNzombo-k3j
      @FrankNzombo-k3j 3 วันที่ผ่านมา

      @@VeryMnyakiwele-j1p Leo tu tumeibiana kura tutashindwa kuimba lasilimali za taifa

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 2 วันที่ผ่านมา

    NA CCM ZIPO 2 CCM A NA CCM B CCMC YA MAKAMBA NA CCM EMANUEL NCHIMBI TWENDE TU TUTAFIKA TUMECHOKA.

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 3 วันที่ผ่านมา

    Amos usiwe kama mtoto wewe nimtu mzima mbona unakuwa kama moto watanzania ni maiti zinazotembea ndio maana mnawaonea

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 วันที่ผ่านมา

    Anaetakiwa kujua ayo ni nani wewe au wenyechadema yao utoto uo ongerea chama chako

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 3 วันที่ผ่านมา

    Ongeeni point kuhusu chama chenu mambo ya maana na maisha ya watanzania kuhusu chadema habari watajiongelea wenyewe na mbona mnaongelea chama kimoja wakati kuna vyama vingi

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh!! Hii nchi ni ya kijinga sana imeoza

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 3 วันที่ผ่านมา

      Wanchi wenyewe wajinga hawajitambui. Na ukitaka kujua huo ujinga walio nao waambie huo ujinga wake ni akili sana wanafurahi na waendelea kuwa wajinga Aidi

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 3 วันที่ผ่านมา

    Uso wako haumaniishi na unachokiongea

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l 3 วันที่ผ่านมา

    Leteni akina soka hapa jamani

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 3 วันที่ผ่านมา

    Nchi hii tatizo sana

  • @ALFREDMTUNDU
    @ALFREDMTUNDU 2 วันที่ผ่านมา

    Makala soma kommenti, wasikilizaji wako sio wajinga, Leo watanzania wanauelewa mkubwa sana kuliko unavyo Dhani baba

  • @AbdulrazaqMadenge
    @AbdulrazaqMadenge 3 วันที่ผ่านมา

    Twende mkindo tukakoboe mpunga!

  • @AlphonceFaustine-v8t
    @AlphonceFaustine-v8t 2 วันที่ผ่านมา

    Mafsadi makubwa

  • @bicorugina1452
    @bicorugina1452 วันที่ผ่านมา

    Kaz ipo

  • @ElizabethSulle-y6s
    @ElizabethSulle-y6s 3 วันที่ผ่านมา

    mbona mnasaidiwa na police

  • @Grace-s3z
    @Grace-s3z 3 วันที่ผ่านมา

    Kwani wewe ni msemaji wa chadema. Sema yako!!!

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 3 วันที่ผ่านมา

    Sema mimi sina tu mwanasheria ndiyo maana

  • @TonyTrans-xw3bb
    @TonyTrans-xw3bb 4 วันที่ผ่านมา

    wewe huna Mungu ndo maana unaongea ungejua Mungu anaona vyote mnavyofanya ccm

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l 3 วันที่ผ่านมา

    Shida ninyi ni weziiiiiiiiiiiiii

  • @ChugaYechu
    @ChugaYechu 2 วันที่ผ่านมา

    Macho kama bundi

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu baba huwaga simuelewagi hata siku moja
    Kuna CCM 4 hadi mmechanganyikiwa. Watanzania hatuwataki CCM hata kwa kulumagia. Yaani huoni hata aibu wewe baba ujavyoongea uongo mbele ya Mungu na dunia at large
    Shame on you

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 3 วันที่ผ่านมา

    Tusubiri hukumu ya Mungu Mwenyewe. Nyie mmefika? Kosoeni sana.ongea mambo yenu.
    Wao hawana dola.kwann wasikamatwe na kwa kufichua yt hayo??

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 3 วันที่ผ่านมา

    Aibuuu

  • @ThomasAlute
    @ThomasAlute 3 วันที่ผ่านมา

    Mkundu wa mama yako unaongelea chama Cha Chadema Cha nini ongelea mambo ya maendeleo ACHA ukuma wewe

  • @elizabethndunguru3760
    @elizabethndunguru3760 3 วันที่ผ่านมา

    Wezi wakubwa nyieeee

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 3 วันที่ผ่านมา

    ivi hunaserazingine we mjinga

  • @ernestmlelwa3836
    @ernestmlelwa3836 3 วันที่ผ่านมา

    Nafiki

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee mzima wewe halafu unaongea non sense

  • @AzizaGubwe
    @AzizaGubwe 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muogo ww

  • @DavisRuiz-ut4wr
    @DavisRuiz-ut4wr 3 วันที่ผ่านมา

    Shez ww

  • @LeonardSanare
    @LeonardSanare 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe unajipya

  • @SaimoMwaipopo
    @SaimoMwaipopo 3 วันที่ผ่านมา

    Huo ni uhuni2

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 วันที่ผ่านมา

    👍🫶

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha 3 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmmh tunaogopa kukomenti

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 3 วันที่ผ่านมา

    Mikono yenu imejaa damu

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 วันที่ผ่านมา

    Majizi makubwa mmeongeza making kwenye daftari la mskazi mnatuambia nini data yako ya ccm magufuri ccm samia amani mnaichafuwa wenyewe

  • @HappyMushi-r7z
    @HappyMushi-r7z 3 วันที่ผ่านมา

    Mafi wewe unahakili

  • @ElizabethSulle-y6s
    @ElizabethSulle-y6s 3 วันที่ผ่านมา

    Msemaji wake ni wewe

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 วันที่ผ่านมา

    Hata ccm mna mpasuko tena mkubwa yenu du ya chadema mnayakalia tanga achaneni na chadema kabisa hayawahusu tatua migogolo yako ndani ya ccm mbona hutuambii kea nini nape mtoto wa miozes miozes mtoto wa nauye kaka kimya mnafikiri hana akiri

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 3 วันที่ผ่านมา

    Wakati wapo Canada wapo wapi sema nn kilisababisha wakaenda huko nje