Jamani Mungu ni mkuu, wimbo huu hawa watoto watakumbuka mpaka Yesu ataporudi wamuone baba yao. 2nd verse, kina muda maisha ya mtu hufikia mwisho, etc…. Jamani when baba composed this song, wow. God knew. Now God please hold these children close
Watoto wame lelewa kwa njia nzuri sana. Wanaimba kwa hekima kubwa. Jameni huo wimbo ina ujumbe kubwa kwetu sote. Tukumbuke Mungu Jameni ❤Mola na awape nguvu wakati huu wa majonzi wana Zablon singers na branches yake yote nawapenda Sana 🎉❤❤❤
remember the days of your youth...thus says the bible. son you got a talent. am sure dad composed this song for you. its got a heavy meaning. my heart is heavy and burdened by the lose of great zabro singer. kep it up son
Poleni sana watoto, muñgu awafunike kwa damu yake,, hakikika wimbo unaumiza sana ila lipo tumaini mungu awe faraja yenu, mkuwe mkimpendeza mungu na wanadamu
Deep Message 😭😭😭😭😭Mungu awape Faraja.May you carry your daddy's mantle always ❤.Marco Joseph your voice remains alive for generations.Rest in Heaven Marco
Mungu akubariki Junior Joseph Marco na akutie nguvu ana akufariji Pamoja.na Mama yaķo na Ndugu na Dada Yako Mungu anawapenda Sana from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Little did this kids knew that this song was a foreshadow of what will happen to their dear father. God may you strengthen this family and raise this kids to fulfil what their father didn't 😢
"Tumkumbuke Mungu cku za ujana wetu.".....maana mda ukifika tunaweza kwenda ata bila kutubu dhambi.......Mungu akubarki sana mtoto ukue katika kumtumia Munguu....nmebarkiwa sana
Katoto kanaimba kwa utulivu kama Baba yake😢😢pole Toto tuna Imani kuwa Baba yako yupo kwa Mungu amepumzishwa kwa Amani tunakuombea Mwenyezi MUNGU akukuze vyema wewe pamoja na ndugu zako wote🙏🏻
Hatujuwi ya kesho Mungu tupatie namna ya kuhesabu siku zetu tungali hai Ujumbe wa Mungu anaweza kuufkisha kwa watu wake kwa njia Tofauti tofauti kama alivyo mtumia Daudi na Samweli katika utoto wake
Ukiwa umepitia Hali ya uyatima ukiwa mdogo na ukamuona kijana mwenye nguvu amefariki ameacha watoto wadogo moyo unauma sana 😢😢 ni km kukanyagwa kwa kidonda kilichoanza kupona😭😭 Mungu wa mbinguni uwatunze Hawa watoto na mama yao🙏
Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu wa majonzi. Wewe ni mfano mwema wa babako. Naomba Mungu akusaidie sana uende bali katika usanii. Babako hatuwezi kumsahau kamwe kwa sababu alijizaa kupitia kwako. GOD protect you 🙏 little boy. And when you grow up take care of your mum and the other siblings. ❤❤❤❤❤. God bless you. From Kenya 🇰🇪.
DEEEPP MESSAGE,,. YOUR DAD WAS A GOOD GOD FEARING CHILD OF GOD... ATLEAST FROM WHAT WE KNOW.. GOD BLESS YOU DEAR ONES AND KEEP YOU STRONG.💪💪... FAMILY IN JESUS NAME AMEN🕆🕆🙇🙇
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwafungulia Milango ya maisha na awakingike na muovu shetani, unapobariki watu wake kwa nyimbo🙏🙏🙏na kugusa vibaji vya wanarika wezako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😭😭😭maskini baba kakuacha Mungu awakuze watoto wazurii na awape familia njema ukubwani pia awape maisha marefu
Kweli Mungu alijua and the song itself!! The message will live with them.
Eeeh baba amekutangulia mungu akupe maisha marefu mtoto mzuri
Ameen
Aiseee! Hongera sana Kwa wimbo mzuri sana Joseph Marco! Nimejifunza sana kutoka kwenu zabron singers
Poleeen sana watoto wazuri japo ni kipindi kigumu lkn Mungu atawatunza
Marco umeacha mbegu njema ..Mungu awakuze vyema watoto wazuri😭🙏🏻
aaaaaaaaah jamaniiii nimelia kwa sauti kwenye daladala jaaaani Marco umepanda mbegu Asante mungu
Acha kabisa nimeshindwa kuvumilia jmn nalia sana hata sasa ee mungu wng linda familia hii jmn
Poleni sana watoto mungu ndie baba wa yatima atawashika mkono
Indeed tumkumbuke Mungu siku za ujana wetu being blessed here in kenya❤️
Like a father like son be blessed💗💗👏👏👏👏👏😱
😭😭😭😭Mungu baba wa yatima watunze hawa watoto wajue kukutumikia ww🙏
Nalia sana nikiwasikiliza watoto. Baba Yao kawaacha bado wadogo. Mungu awatunze awafunike Kwa damu yake yesu kristo
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo asanten zabron singz kwa mtoto huyu
Ubarikiwe mtoto mzur,,,,,mungu aendelee kukuinua zaid ukue ukimpendeza mungu🙏🙏🙏
Excellent song. Haya ni malezi mazuri ya watoto. Congratulations Mr Mark buhulu for good up bringing of your son, may God bless you.
Mungu awapandishe viwango vya juu watoto wazuri Mufikie malengo mema
from kenya marco joseph ecco for the good work
Jamani Mungu ni mkuu, wimbo huu hawa watoto watakumbuka mpaka Yesu ataporudi wamuone baba yao.
2nd verse, kina muda maisha ya mtu hufikia mwisho, etc….
Jamani when baba composed this song, wow.
God knew. Now God please hold these children close
Hakika Roho Mtakatifu alimtumia ktk kutunga huu wimbo. Yesu awatunze wakue vema na kuendelea kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.
Barikiwa sana dogo
....umegusa watu sana ila tambua kwamba music ni safari Muombe mungu akupe zaid na zaidi
This is the work of God I love this from kenya.may God bless you abundantly ❤
Mungu akupe nguvu na uwezo wa kufikil yajayo hapo hatuyatambui amen
Unaimba vizuri sana mjukuu wangu keep it up
Watoto wame lelewa kwa njia nzuri sana. Wanaimba kwa hekima kubwa. Jameni huo wimbo ina ujumbe kubwa kwetu sote. Tukumbuke Mungu Jameni ❤Mola na awape nguvu wakati huu wa majonzi wana Zablon singers na branches yake yote nawapenda Sana 🎉❤❤❤
Glory to God
Mungu akufikishe viwango vya juu mtoto mzuri.Ili uwe chombo cha sifa
remember the days of your youth...thus says the bible. son you got a talent. am sure dad composed this song for you. its got a heavy meaning. my heart is heavy and burdened by the lose of great zabro singer. kep it up son
Good boy nimependeswa na waimbaji vile mnakuza wtt wenu Kwa ukristo hataniaja kia ya mungu mbengu zuri good
Kababa endelea kuimba tutakusopport.May God help to take over where your dad left♥️♥️♥️♥️
This is incredibly beautiful. May God open big doors for this young man. Powerful message, I love it
God knew all ahead na hakika alimpa baba yao kupanda mbegu nzuri maishani mwao. Ashukuriwe Mungu kwa hilo. May their father's soul rest in peace.
Dah. Mungu tufundishe kuzihesabu Siku zetu.
People sana sana
@@rewardmnyone9722siku
Mpk nimehisi miwili wote umekuwa wabaridiii ....❤❤❤❤
Wee acha tuu kwakweli inaumiza sana 😭😭😭
Mungu akupe afya kijana wetu uishi katika kumpendeza mungu🙏🙏 Ameen mdogo wangu
Poleni sana watoto, muñgu awafunike kwa damu yake,, hakikika wimbo unaumiza sana ila lipo tumaini mungu awe faraja yenu, mkuwe mkimpendeza mungu na wanadamu
🌹🌹🌹🌹ujumbe mzuri barikiwa,kua ukimpendeza MUNGU na wanadamu
Daaaa nimejikuta kulia sana jaman marco umepanda mbegu pumzika kwa amani pole sana kwa family mama na watoto mungu ndo baba wa family yenu kwasasa
Nice ni Jambo jema sana, binafisi nawakubali Sana zabron singers I wish ningekuwa miongoni
Mungu aendelee kuwalinda mbarikiwe kwa ujumbe mzuri
Wow blessed children.
Deep Message 😭😭😭😭😭Mungu awape Faraja.May you carry your daddy's mantle always ❤.Marco Joseph your voice remains alive for generations.Rest in Heaven Marco
Huu mwimbo umeniliza Mungu akulinde❤
Mungu akubariki Junior Joseph Marco na akutie nguvu ana akufariji Pamoja.na Mama yaķo na Ndugu na Dada Yako Mungu anawapenda Sana from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Pole sana watoto wazuri mungu atakuwa nanyi na ninawaombea maisha mazuri
Poleni sana watoto, Mungu awatie nguvu na awalinde.
Hongera sana keep it up utafika mbali😊😊😊😢😢❤❤❤❤❤❤😊😊
Fascinated by these young children and their performance.
It's a powerful message indeed!
JOSEPH Mungu yuko upande wenu, Atawavuta machozi na kuwatia nguvu katka wakati huu mgumu❤❤
Little did this kids knew that this song was a foreshadow of what will happen to their dear father. God may you strengthen this family and raise this kids to fulfil what their father didn't 😢
Mungu awatu mzee watoto wazuri hakika ameacha ukumbusho Mungu awabariki kwa wimbo mzuli😂😂😂
Is he Marco’s son?? Oh my goodness!!! What a blessing to have such a child praising God at this stage?
It unfortunate that their dad he is no more what a sad day😭😭😭😭😭
Waooh hongeraaa Sana Joseph,Mungu na akutunze ufike mbali
Mungu akawe pamoja nanyi wtt wazuri, akawatunze Na kuwalinda🙏
Very nice song Jr. keep it up man. God bless you
Wow, this is so amazing.. May the Lord bless you as you work in his vineyard
Just so amazing for this marco bukuru God has made just do for the purpose you brought tobe
"Tumkumbuke Mungu cku za ujana wetu.".....maana mda ukifika tunaweza kwenda ata bila kutubu dhambi.......Mungu akubarki sana mtoto ukue katika kumtumia Munguu....nmebarkiwa sana
Mungu akutie nguvu babaa na wenzako pamoja na mama yenu inauma sana😭😭wewe ndiwe baba wa wajane na yatima😭😭
Duh 😢
Mungu wambingun endelea kuwalinda hawa watoto na Mama yao❤
Katoto kanaimba kwa utulivu kama Baba yake😢😢pole Toto tuna Imani kuwa Baba yako yupo kwa Mungu amepumzishwa kwa Amani tunakuombea Mwenyezi MUNGU akukuze vyema wewe pamoja na ndugu zako wote🙏🏻
Hakika mungu kwetu ni kila kitu hata wakat wa huzun❤❤❤
mungu hawabariki watoto sijui tuseme nini ndio asante kwa babayenu kwa malezi mema waliwajia kabla atoke nduniani
Waoooooo jmn JJ nmebarikiwa sana na nyimbo hii, MUNGU AWASIMAMIE KTK MASOMO YENU, MKUE MKIMTUKUZA MUNGI , NAWAPENDA SANA
Aliko baba anafurahi Sana umemuwakilisha vyema❤️❤️❤️
Alikuwa ameandaa watoto wake ,waaaaahh, use your time to serve God while you are alive
Wow what a good message Let’s remember God while we still alive 🤷♂️✨🙏🙏
I couldn't hold my tears baby boy. May God cover you with His precious blood. U broke my heart with ur msg baby 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nice song ,,,mungu awalinde ipo siku tutakutana na baba yenu ile asubuhi..😢😢
Mashaalah mtoi unaimba vizur
Mungu ndie baba wa yatima atawarinda wtoto wazur msimwache mungu amina❤
Shalom 🙏🙏 like father like son,may God use you to inspire alot in the world as your dad did,am sooo touched 😢
Hatujuwi ya kesho Mungu tupatie namna ya kuhesabu siku zetu tungali hai Ujumbe wa Mungu anaweza kuufkisha kwa watu wake kwa njia
Tofauti tofauti kama alivyo mtumia Daudi na Samweli katika utoto wake
Very nice song.continue with the Same spirit.
Polen sana watoto wazuri Mungu awe baba yenu katika Kila jambo
Daaa mungu awatunze na kuwabark
Yimbo ina mwaka 😢😢inakuja kujulikana baada ya matatizo 😢😢😢😢
Imagine me seeing it now 😢
Jameni
MUNGU anajua yote😭
Yaani duuu!😢😢😢
Kbs naiona sasa
Mwenyez mungu akupe tulizo moyo mtoto mwenyez akukuzie kipaji amina
Ukiwa umepitia Hali ya uyatima ukiwa mdogo na ukamuona kijana mwenye nguvu amefariki ameacha watoto wadogo moyo unauma sana 😢😢 ni km kukanyagwa kwa kidonda kilichoanza kupona😭😭 Mungu wa mbinguni uwatunze Hawa watoto na mama yao🙏
Kuna mungu Mbinguni .
Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu wa majonzi. Wewe ni mfano mwema wa babako. Naomba Mungu akusaidie sana uende bali katika usanii. Babako hatuwezi kumsahau kamwe kwa sababu alijizaa kupitia kwako. GOD protect you 🙏 little boy. And when you grow up take care of your mum and the other siblings. ❤❤❤❤❤. God bless you. From Kenya 🇰🇪.
Wow, this song just hit different. Pole Marco Joseph Jr.
Listening to this after hearing his dad's demise,so heartbreaking 😢😢
Me too listening so touching
Me too
Congratulations baby for nice song, take heart for loss of your Daddy may God comfort u'r family and zabron as a family.
Does it mean mtoto alitabiri kifo cha babake aaa God we thank you in everything hata nyakati za shida.
This is incredible.. God bless this young man.
If only we heed to this call and remember God as our all in all brethrens!
OMG how comes I never listen to this 💔😭😭 My your father rest in peace Joseph
Nimelia sanaaa jmn mung awatunz vipenz
DEEEPP MESSAGE,,. YOUR DAD WAS A GOOD GOD FEARING CHILD OF GOD... ATLEAST FROM WHAT WE KNOW..
GOD BLESS YOU DEAR ONES AND KEEP YOU STRONG.💪💪... FAMILY IN JESUS NAME AMEN🕆🕆🙇🙇
Nimebarikiwa sana, kweli tumkumbuke Mungu bado tungali hai
Oh! My God internet doesn't forget😢 mungu awape nguvu!
Mungu awafariji ,may His Grace abide more and more
Mungu akulinde na akufikishe mbali sana mdog wangu
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwafungulia Milango ya maisha na awakingike na muovu shetani, unapobariki watu wake kwa nyimbo🙏🙏🙏na kugusa vibaji vya wanarika wezako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu wa uonae kwa siri🙏🙏Bariki watoto wa marco wasiwahi kosa Chakula,,Masomo,,Mavashi, etc Mungu mwema Naukawalenjeshee kipawa cha baba yao🙏👋🙏
Mungu awafariji ,Na awapee nehema tu....wimbo mzuri❤
Congrats my nephew......ubarikiwe
Mungu awatie nguvu. Nice song ❤
Happy to hear your songs God bless u young boys and girls.
Mungu ibariki safar hii
Hki hii inaumiza sana,,,yaani huyu mtoto aliimba hii 3 yrs ago,,,R I P daddy Joseph,,,God give the family strength hki
Go baby Boy Mungu akulinde na kukuongoza 👏🏽
Poleni sana kwa family mungu awalee Marco pumzika kwa amani
😭😭😭😭😭 imeniuma sana jaman, mungu awape nguvu wanafamilia wote🙏
I can't hold my tears while watching this 😢😢😢mungu azidi kuwapa nguvu
Amazing song young boy
Keep it up!
This is so deep n lovely ,more grace our son