MCH DANIEL MGOGO - UKIPENDWA NA MUNGU, POPOTE UTAKAPOKWENDA NYOTA YAKO ITANG'AA (OFFICIAL VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2018
- Mch Daniel Mgogo ''Ukipendwa Na Mungu, Popote Utakapokwenda Nyota Yako Itang'aa''
Mahubiri, Preaching, Eliona Kimaro, KKKT, KKKT Kariokoo, KKKT Kijitonyama, Messages, kkkt, eliona kimaro, daniel mgogo, mch eliona kimaro, rev eliona kimaro, mch daniel mgogo, sermons, teaching, preaching, kkkt kariokoo, kkkt kijitonyama, tanzania, bongo, ujumbe, neno, personal growth, lutheran church #mahubiri #chapeolawokovu
Ubarikiwe saaaaaaana ndugu yangu kwa unyenyekevu ,Mungu apewe sifa kwa wito wako
Mungu azidi kukulinda,mahubiri yako yamebadilisha maisha yangu,nmejfunza mengi,ubarikiwe sn
Mchungaji umehubiri ujumbe mzuri zaidi umenifunza jambo moja na nitajitahidi kwa maombi niwezi kushinda jaribu nililo nalo
Mungu akubariki sana mtumishi wake, najifunza sanaa nipo MISRI
Baba mmchungaji umeetoka ktk story ya Yusuf kabla haijaeleweka ukaanza ya akina mama umeniacha njia panda
Mungu azidi kukupa afya njema Mtumishi uzidi kutulisha neno la Mungu
Mh Mungu akulinde sana na akuzdshie mahubir mazur yanagusa sana
Mtumishi mahubiri yako yanatujenga wengi. Hadi huku Canada tunayafuatilia, Mungu akubariki sana
Trouser ya soloist imembana saana
am blessed every minute watching u on TH-cam.. indeed ur anoited of God..
Karibu kwetu Kenya mtumishi
Kwel mchungaj atupendan Sema tupone baba
kweli kabisaa mm nikikumbuka ogomvi na mume nacheka mwenyewe kwanza
Ubalikiwe mtumishi
Sawa kabisa na Ni kweli kabisa
True pastor God bless you.
Amina mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukuinua
Very inspiring may God bless you pastor watching from Saudi Arabia
Welcome Tanzania
I get encouragement from your preachings man of God be blessed
Hakika MUNGU ni mwema ubarikiwa mtumishi
Hakika Mungu yu pamoja nawe. Barikiwa Mtumishi
asante sana kwa neno la uzima.nakufuata kwenye you tube
Asante sana baba.Mungu akulinde natamani nikirudi Tanzania nije kanisani kwako
amina amina baba tuambie
Surely u touch my heart thx be blessed more
Bwana yesu asifiwe amina
Ubarikiw mchungaji kwa ujumbe mnono nimejifuza kitu kupitia ayo mahubiri niko nakufata kwenye TH-cam nikiwa saudia arebia
Wow hapa ndo penyewe
mahubiri yananibadilisha sana. mwanzo zile clip fupifupi nilikuwa czielewi
Hallelujah!
Kweli kabisaa
Ameen
Gumbo me chuo
Sasa mchungaji mmesha jua hao matatizo, si mtuombee ili mungu atufungue?
Jamani mbn mi cpati mahubiri ya mchg @eliona_kimaro live? Kuna tatizo gani na hata radio upendo siipati cku hizi kunanini?
Ephraim Ndelwa asubuhi yapo radio upendo as usual ila TH-cam naona ina tatizo na evening glory kwa wiki hii hamna kwa sababu ya mwakasege ila next week itakuwa km kawaida
@@estianerkivuyo8143 hata radio upendo siipati kila nikiingia upendo online radio inaniandikia offline
Jina la bwana libarikiwe
Amen very true hapo nimesoma jambo Lord bless you
Mtumishi BWANA Yesu asifiwe arusha tunaweza kukupata kupitia aradio?
Baba nakufatilia sana youtubu