Kauli za kumtetea naibu rais Gachagua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Wafuasi wa Naibu Rais Rigathi Gachagua walimtetea kuhusiana na tuhuma zinazomwandama huku Wengi wao Wakimtupia Vijembe Rais William Ruto kwa Kumtenga Peupe Gachagua. Ushawishi wa Gachagua ulidhihirika Mlimani Huku Ubabe wa Kisiasa Kati yake na Wabunge wanaotoka kwenye Ngome yake na ambao wanampinga ukianikwa.

ความคิดเห็น • 3

  • @SamuelMururi
    @SamuelMururi 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yes

  • @TabithaMbuthia-xo3lv
    @TabithaMbuthia-xo3lv 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    We are behind our own riggy g

    • @chanceobondo3843
      @chanceobondo3843 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      if i ask is this a mountain issue or a kenyan issue?