ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Nyayo za Mwai Kibaki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
  • Na katika kile kinachoonekana kama histori kujirudia, tunalinganisha hatua ya kufutilia mbali baraza la mawaziri aliyochukua Rais William Ruto hii leo na mkondo aliochukua hayati Rais Mwai Kibaki ambaye pia aliwafuta mawaziri na mawaziri wasaidizi mwaka wa 2005. Sawia na mtangulizi wake ambaye kushindwa kwake kwenye kura ya maamuzi kuhusu katiba mwaka 2005 kulionekana kama kura ya kutokuwa na imani na serikali yake, Rais Ruto amekuwa akipata shinikizo kubwa kuhusu utendakazi wa serikali yake huku wananchi wakionyesha kutoridhishwa kwao na serikali

ความคิดเห็น • 67

  • @djkool5991
    @djkool5991 หลายเดือนก่อน +21

    To be honest if he continues with the same consistency he may atleast reach 2027 as president.

  • @rihkaa6289
    @rihkaa6289 หลายเดือนก่อน +8

    We may not forget what you have done to us 😭but ruto you are still our president,, so do your best to deliver the best but first release those protestors you are holding in the cells and without charges.

  • @DamarisWangui-xq5wd
    @DamarisWangui-xq5wd หลายเดือนก่อน +5

    I wish ni mpigs wamenda hope aky anyway our president you have to do more mbn mudavadi amebaki

  • @YunisVanisa
    @YunisVanisa หลายเดือนก่อน +11

    rais amefanya vizuli sana kuafutilia mbali hao watu

  • @charlessiguna859
    @charlessiguna859 หลายเดือนก่อน +8

    Nyayo gani za kibaki, labda kisigino tu😂
    We want new cabinet condensed to 14 and comprising of professional expertise not sycophant politicians who don't comprehend their mandate. Sasa Nakhumincha surely,

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 หลายเดือนก่อน +7

    Amejaribu sana...sasa police,boss dci boss resign aje mandungu zetu wanapotezwa kila kukicha????halafu bado vunja bunge sasa

  • @The_sultans
    @The_sultans หลายเดือนก่อน +10

    😂😂😂😂Alhamdulillah🎉

  • @mohamedmustafa2656
    @mohamedmustafa2656 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa raisi amejaribu sana

  • @davidkamau8317
    @davidkamau8317 หลายเดือนก่อน +3

    😮 lakini hakuafuta wasaidizi kama kibaki

  • @mutiojunior
    @mutiojunior หลายเดือนก่อน +1

    Kidiki hiyo sauti yako sasa pelekea bibi yako💪💪

  • @daviessimiyu7259
    @daviessimiyu7259 26 วันที่ผ่านมา

    Ruto mast go go go

  • @josphatmogaka8668
    @josphatmogaka8668 หลายเดือนก่อน +1

    Mwai Kibaki did it from his heart, Ruto was forced.

  • @peardselrvssian6292
    @peardselrvssian6292 หลายเดือนก่อน +2

    You see kibaki didn't read his speech at first unlike these other ones

  • @paulwambugu-pk2eu
    @paulwambugu-pk2eu หลายเดือนก่อน +1

    mudavadi pia must go

  • @pattiz4876
    @pattiz4876 หลายเดือนก่อน

    Ruto must go

    • @eunicesang1704
      @eunicesang1704 หลายเดือนก่อน

      Nonsense unapenda kuongea matope ata ujui kitu unacommet

  • @elishatotolela3843
    @elishatotolela3843 หลายเดือนก่อน +2

    Now I support you my president for listening to your people. The remaining part give directions to constitutional bodies to investigate and prosecute people who have stolen public money

  • @NancyNjoki-w4o
    @NancyNjoki-w4o หลายเดือนก่อน +6

    Inaoekana zakayo ameanza kuwa musa😂😂😂😂

    • @winstonokoth965
      @winstonokoth965 หลายเดือนก่อน +1

      Na bado

    • @winstonokoth965
      @winstonokoth965 หลายเดือนก่อน +1

      Wamekuwa wakigawa Kenya kwa makabila,makabila wamejua adui yake Sasa nahawatatugawa tena

    • @jjclara668
      @jjclara668 หลายเดือนก่อน +1

      Wakenya waongee swahili in public functions slowly tribalism go end

    • @NancyNjoki-w4o
      @NancyNjoki-w4o หลายเดือนก่อน

      @@winstonokoth965 wamejua kikulacho kinguoni mwao 😂 😂

    • @NancyNjoki-w4o
      @NancyNjoki-w4o หลายเดือนก่อน

      @@jjclara668 ndio kieleweke ama pia yy aanguke nayo 😂

  • @shukrishuu9672
    @shukrishuu9672 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikua deep state ya obako niwasaidie aje in shaa Allah??

  • @dominickrono4937
    @dominickrono4937 หลายเดือนก่อน

    Remember what he said when he was at Nyeri funeral"My government is like for the late Rais Mwai Kibaki" now that it's confirmed

  • @abdullahiomar1687
    @abdullahiomar1687 หลายเดือนก่อน

    Obako was legend,he didn't from papers 😂😂😂

  • @user-ju5jz3rj9y
    @user-ju5jz3rj9y หลายเดือนก่อน

    See more about Joseph,

  • @user-ju5jz3rj9y
    @user-ju5jz3rj9y หลายเดือนก่อน

    Hon Joseph itaaba, more inforce profile y,

  • @user-ju5jz3rj9y
    @user-ju5jz3rj9y หลายเดือนก่อน

    Joseph see more about,😮😮😮😮😮😮😮

  • @SEMSE-FELIX
    @SEMSE-FELIX หลายเดือนก่อน +1

    He is on denial that nothing is working

  • @user-ju5jz3rj9y
    @user-ju5jz3rj9y หลายเดือนก่อน

    Joseph itaaba more inforce profile picture update,😢😮😢😢😢😢😢

  • @alphyzqrw7222
    @alphyzqrw7222 หลายเดือนก่อน

    Ata pia hii Machungwa afutwe kazi

  • @ceciliacodawa
    @ceciliacodawa หลายเดือนก่อน +1

    Neema

  • @MoraaRichard
    @MoraaRichard หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏

  • @EdwinKiprotich805
    @EdwinKiprotich805 หลายเดือนก่อน +10

    No, no NOOO ruto must go ...

  • @JacksonMwirigifanta-ow5gu
    @JacksonMwirigifanta-ow5gu หลายเดือนก่อน

    Usikubali kuanguka peke yako 😮😮angukuka na watu kama Ruto

  • @DentalCity-bf7ke
    @DentalCity-bf7ke หลายเดือนก่อน

    I hope he put no politicians there

  • @user-mb8jj1qq9c
    @user-mb8jj1qq9c หลายเดือนก่อน +1

    Too late iyo sio suluisyo

  • @jairuscr7310
    @jairuscr7310 หลายเดือนก่อน +3

    Ruto usifikirie unabaki hapi pia wewe unaenda ,verysoon ,

    • @nehemiah8974
      @nehemiah8974 หลายเดือนก่อน

      Ndo uongoze ama??

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj หลายเดือนก่อน

    Hahaha nyao gani hizi 😂

  • @susanjepkoch3359
    @susanjepkoch3359 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @Cuel_01
    @Cuel_01 หลายเดือนก่อน

    ruto is annoying and unprofessional

  • @joshuawambua378
    @joshuawambua378 หลายเดือนก่อน +6

    Ruto must go

  • @user-ju5jz3rj9y
    @user-ju5jz3rj9y หลายเดือนก่อน

    Hon Joseph itaaba, more inforce profile y,

  • @ceciliacodawa
    @ceciliacodawa หลายเดือนก่อน +1

    Neema