Lavender Is Missing 😭She Left In The Middle OF The Night 💔😭Where Do Think We Found her⁉️⁉️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 285

  • @DianaMuhonja-oi9co
    @DianaMuhonja-oi9co 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Let's support lavender apate nguo na nyumba kama hiyo ndio shida 😢😢

  • @prettyannitah5237
    @prettyannitah5237 วันที่ผ่านมา +12

    Lavender my girl kila kitu na wakati wake respect the process God is working it out

  • @SaidaAwour
    @SaidaAwour วันที่ผ่านมา +14

    Lavender you are doing wrong io tym moha wamekupigania hadi wanataka your justice bt sai unasema hakuna kitu wamekufanyiq 😢😢 you will regrate

  • @DamarisShiroh
    @DamarisShiroh วันที่ผ่านมา +5

    Having a friend like Moha is a blessing.weuh God remember mercy

  • @irankundabelyse-ej5vi
    @irankundabelyse-ej5vi วันที่ผ่านมา +21

    Lavender jikaze achananahay ushukuru Mungu kwakua umepatana nakaka Yako Mungu ikopamoja na nyinyi Mungu yumwema kilawakat umepitiya mengi ndio akini achaupumuzik kwahuyumuda umepata kaka yako

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Yes amepata mtu anaweza mueka kwa nyumba she have to kushukuru

  • @MonicaMuthami-ho1np
    @MonicaMuthami-ho1np วันที่ผ่านมา +13

    Lavender akii stop been starborn i beg 😢😢 you are giving your brother and moha hard time

  • @AgnesKamau-h6j
    @AgnesKamau-h6j วันที่ผ่านมา +21

    Yule mama wa faustine amewatupia spirit of enmity find a pastor to pray for her

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +6

      We need prayers 🙏

    • @FatumaJuaje-nc7om
      @FatumaJuaje-nc7om 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nikweli hapa kuna hitajika maombi

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mm naona ni uyo wa lavender wajua watu wapole sio mchezo

    • @loreenmwambinguloreen7373
      @loreenmwambinguloreen7373 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      H​@@mohaclassicfamily good movie moha jikaze nao uwapende na MUNGU atafungua njia

    • @caroopambo
      @caroopambo 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Spirit gani akuna kitu huyo mama anaweza mtumia

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kwa jinsi nilivyomuona lavender from the begining alimpenda sana faustine na hata alivyogundua ni brother ake pia hakufurahi na kukubaliana na hali she is still loving faustine kama boyfriend ndo maana hataki kumuona 😢😢😢 pole lavender just accept the situation and move on faustine ni kakako wa damu atatafuta pesa atakulea na mtoto wako you still have another chance😢😢😢

    • @evelyn5260
      @evelyn5260 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      𝐹𝑎𝑐𝑡

    • @LucieAnn-i4q
      @LucieAnn-i4q 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Akh😢😢

  • @irankundabelyse-ej5vi
    @irankundabelyse-ej5vi วันที่ผ่านมา +12

    Lavender semakit unaitaj kamani duka tutachang update dukayakwak ununuw Kila unachoitaj akini usitorok Tena plz

  • @aworcissy9042
    @aworcissy9042 วันที่ผ่านมา +4

    Lavender don't disappoint your brother, God brought you back to your brother through dating

  • @FATUMANgala-j1z
    @FATUMANgala-j1z 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Huyu lavender pia anafeelings za mapenzi bdo kwa faustine mimi naona hvyo

    • @RuttyPatrick
      @RuttyPatrick 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndyo bna maan mpk aboa saiv sas anatak hajee badala amshukuru Mungu..analia lia kwa kona 😏

    • @Doriskapretty
      @Doriskapretty 30 นาทีที่ผ่านมา

      Ee kuna vle ako n feelings zake

  • @ZipporaWanjiru-z9m
    @ZipporaWanjiru-z9m วันที่ผ่านมา +6

    Nooo... lavender, the life of your kid is in your hands... its not yet done.... i see a beautiful life ahead of you, God loves you so much

  • @elizabethkhayumbe1598
    @elizabethkhayumbe1598 วันที่ผ่านมา +10

    Imagine Lavender you have Jayden, yet people out there are empty without children

  • @CelestineCelleh
    @CelestineCelleh วันที่ผ่านมา +13

    Waah I'm tired of Kenya now everywhere someone is missing 😢 Aki God tuangalie🙏

    • @edinahimali
      @edinahimali วันที่ผ่านมา +3

      They're after kuchangiwa don't take them serious😮

    • @Verah-p7d
      @Verah-p7d วันที่ผ่านมา +1

      Iam feeling bad,😢😢 lavender amini Mungu​@@edinahimali

  • @adhiambolaureen1898
    @adhiambolaureen1898 วันที่ผ่านมา +5

    Lavender mamaaa be strong Babygal,soon God atafungua njia utakwa sawa ,shida zitaisha....stop crying

  • @MaryWavinya-u1l
    @MaryWavinya-u1l วันที่ผ่านมา +15

    Hizi n gani tena lavender 😏,some of us hatuna wazazi na bado life inaendelea,ata labda hao wazazi wk wagekuwepo hawagekuwa na eny help kwako, enyway acha ujinga wewe,ushaa jua wazazi hawako sasa nn tena unashdia kulia, heri wewe ukona mtu anaku jali,nigekusimulia niliyo yapitia baada ya mama kuiaga duniani😢,ugeyaacha haya, lavender be mature baana,kulia hiezi wa fufua

    • @EuniceMoto
      @EuniceMoto วันที่ผ่านมา +3

      Mwabie Tena natena,atuna wazazi Wala mtu wakusimama nasisi tukiwa na shida,bt tumejikaza kijeshi

    • @MaryWavinya-u1l
      @MaryWavinya-u1l วันที่ผ่านมา +2

      @EuniceMoto ashukuru mungu,kwa kupatana na watu wa nzuri Waka m take care 💞💞

    • @dolphinemouya3813
      @dolphinemouya3813 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      You’ve talked the truth rudia tena dia

    • @evelyn5260
      @evelyn5260 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      𝑊𝑒 𝑠𝑎𝑖𝑙 𝑡ℎ𝑒 𝑠𝑎𝑚𝑒 𝑏𝑜𝑎𝑡...𝑎𝑠𝑎𝑛𝑡𝑖 𝑘𝑤𝑎 ℎ𝑖𝑖 𝑎𝑑𝑣𝑖𝑐𝑒

  • @LucieAnn-i4q
    @LucieAnn-i4q 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lavender surely mbnh hivi plzz omba mungu akh,,moha akh God bless you abundantly ❤

  • @irankundabelyse-ej5vi
    @irankundabelyse-ej5vi วันที่ผ่านมา +10

    Lavender kilakitu utapa atasisi tumekua munguo Moja akini pakosiku tumepan nguyo namungu anatwambia tusitiy roho sanakwa mavazi ao chakula ilatumuombe natujisafish

    • @MaryWavinya-u1l
      @MaryWavinya-u1l วันที่ผ่านมา +5

      Hii n kiswahili ya wapi

    • @susanakinyi2078
      @susanakinyi2078 วันที่ผ่านมา +5

      😂😂😂uyo ni batoto ba Congo​@@MaryWavinya-u1l

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +4

      Kweli akuwe na moyo wa kuvumilia

  • @MariahNyaboke
    @MariahNyaboke วันที่ผ่านมา +4

    May God intervine with this family's sitution....hugs faustin encourage your sister to appreciate all that has been happening and stay focused its your time to shine after all the struggles....Moha,DCI and your director be blesssed for the suport and care to this family🙏

  • @NancyGachigi
    @NancyGachigi วันที่ผ่านมา +4

    l understand this kind of situation si kupeda kwake rem the life she's going through from birth..kutumwa kubeg outside etc..please continue giving her healing encouraging words See guys hii ni the successful step na shetani hafurahii ,Aki anakosea Fustin e Ebu akubuke those 2 mounters mothers especially WA kulea faustine Ooohh my GOD.. Lavedah pls hata ku date faustine it was GODs divine plan dio mpatane na brother ko Ni poa hamkua mmelala pamoja.This is GODs plan pls Lavedah wacha hio fikira.. guys help this ongezeni coments.

  • @shizzohmike526
    @shizzohmike526 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo DCI anampasha vilivyo...aache upuzi
    ..alf moha ni roho safi sana❤

  • @humbleladymilly9893
    @humbleladymilly9893 วันที่ผ่านมา +6

    Aiii, what's not happening God of Nazareth 😢😢😢😢😢😢. May God protect her wherever she's. Brenda, remember everything happens with a reason you never know the reason why mkapitia hayo yote you and your brother faustine. But ametenda maajabu mkapatana na your brother lavender. Never give up with life lavender God's in control. Moha, lavender needs prayers uenda ikawa yule mama kuna vile amefanya lavender a give up na life so, tafuta pastor moha for the safety of lavender

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un วันที่ผ่านมา +4

    Aky lavender pole sana najua wapitia mengi 😢😢😢😢😢💔💔💔

  • @polly-h8z
    @polly-h8z วันที่ผ่านมา +5

    Lavender kuna mtu huko nje ako na bitter story kukuliko,plz u have Jayden bcz of that little cute be strong and life will be well na vile uko na caring bro

  • @Yuca878
    @Yuca878 วันที่ผ่านมา +4

    Acha afanyiwe counseling, let God guide her

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +1

      Okay I will find a counsellor for her

  • @UltraLord289
    @UltraLord289 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu wanaweza kuwa athletes wakiwa viwete

  • @mercywaturi7764
    @mercywaturi7764 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani una taka dozi ya bro,

  • @ZenyGold-g7h
    @ZenyGold-g7h วันที่ผ่านมา +18

    Wakwanza Mimi
    Like zangu basi dear friends

  • @Morinodhiambo-b5p
    @Morinodhiambo-b5p วันที่ผ่านมา +6

    Moha ambia DCI ajaribu fostine apate vitu zake zote mpaka pasport arudi kazi aweze kusimamia dadake

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +1

      Still following up apate zingine

    • @vano5893
      @vano5893 วันที่ผ่านมา

      Make sure arudi Qatar coz that's the best option yenye inaweza😂wazaidia for now

  • @PerisChepketer
    @PerisChepketer วันที่ผ่านมา +8

    Ooh God yaani channels yote akuna amani c kwa senior dave kwa riaga pia mungu wangu onekania watoto wako

    • @JulietImujaro
      @JulietImujaro วันที่ผ่านมา +1

      Yaani nakuambia ni kumoto out side there

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +2

      😢😢akh

    • @Kerubos
      @Kerubos วันที่ผ่านมา

      Lakini ya moha ni lavender ni yeye anachiknapp

    • @KeruboBebs
      @KeruboBebs 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂let me 😂😂that pleases God​@Kerubos

    • @Kerubos
      @Kerubos 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@KeruboBebs tebango rieta amangana amakongu😃😃😃

  • @zipporahjepchirchir7937
    @zipporahjepchirchir7937 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu wa mayatima shuga onekania lavender,asanti moha na DCI mnafanya kazi bora mungu hawaonekaniye,may be yule dada ya wa mama lavender vile aliambia lavender umbwa amefanyia kitu😢😢

  • @shikusteve
    @shikusteve 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavender be strong because of your son jayden remember that he need you

  • @thechosenone01-h5e
    @thechosenone01-h5e วันที่ผ่านมา +3

    Matusi Lavender amepitia na ilianza na brathake dio inamsumbua sasa ya mwisho aliitwa ady mbwa, ,she need counselling to show her that she is fearfully and wonderfully made created in the image of God

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 วันที่ผ่านมา +3

    Wakenya ambao mpo hap kwa moha mupelekrn nguo jaman mbon manguo kam uote

  • @francisokaalo7195
    @francisokaalo7195 วันที่ผ่านมา +5

    Lavender mumeenda this far then uwanze hivi, Muha amewatoa mbali mpaka mumepatana na bro through moha investigation fikiria lavender please

  • @annetnambuya4420
    @annetnambuya4420 วันที่ผ่านมา +2

    mungu musaidiye amuchu kuru mungu at amejuwa ukweli i patana nadungu yake

  • @NancyGachigi
    @NancyGachigi วันที่ผ่านมา +1

    Let me add this l had a dota who went through all kinds of heart 💔💔💔💔 almost to comit suicide,she listened the well wishers and now she's ok with a good job now.GOD talk to Lavender pls

  • @JanetAdeya
    @JanetAdeya 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Moha tafuteni pastor lavender amefanyiwa kitu apate gaiding and counseling

  • @irankundabelyse-ej5vi
    @irankundabelyse-ej5vi วันที่ผ่านมา +3

    Moha God akubalik kwakuasaidiy nausiway kuacha. Mungu atakubalik kaka

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lavender needs phychologist ampee ushauri atoe hizo mawazo zote negative

  • @gladysmartha-lc2xy
    @gladysmartha-lc2xy วันที่ผ่านมา +3

    Maybe alirudi makaburini ndio atosheke mkumbuke damu ni nzito kuliko maji.bando hanjaamini mamake kafa.mungu amlinde mahaali yuko.

  • @gfgfg5629
    @gfgfg5629 วันที่ผ่านมา +2

    Mama faustine ndio ameanza kuwachanganya sasa tafuteni pastor

  • @user_faff84
    @user_faff84 วันที่ผ่านมา +3

    Yap lavender fikiria mtoto kwanza kabla uamue kitu chochote please....mtoi wako ndio maisha yako atakuja kukusaidia kwa uwezo mungu 🤲

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +1

      Kweli mtoto anamuitaji sana

    • @user_faff84
      @user_faff84 วันที่ผ่านมา

      @@mohaclassicfamily Aki coz hata mm nisingefikiria mtoi wangu juu mum alikua ameaga nikataka kurudi home niache kazi..ila kuna watu waliniambia fkiria kwanza mtoto juu nasomesha mwenyewe lkn hio siku niliona hakuna umuhimu wakufanya job juu ya mum iliniuma sana na saai namuombea Dua pamoja na baba pia 😥🤲 Soo lavender mitihani katika Dunia ni lazma ni kuomba mungu tu aki

  • @sheillahmakori
    @sheillahmakori 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavender aki tunakupenda as tyme goes by tunaesa change tukuwekee biashara dea hugs 😢😢😢😢

  • @EdinahNyamoita-y1e
    @EdinahNyamoita-y1e วันที่ผ่านมา +7

    Lavender for the sake of your son Rudi Kwa moha imgn moha hajakufukuza your son needs you slot moha is really a good friend

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +3

      Sure nmemrengesha sahi ako kwa nyumba

  • @Doriskapretty
    @Doriskapretty 23 นาทีที่ผ่านมา

    Moha ebu nipee uyu detective 😂😂❤❤❤ he is gud men😂😂😂😂😂af moha aki eti lia ikutoke bna unafanya nicheke kwa kilio😢

  • @HildaWabwire
    @HildaWabwire วันที่ผ่านมา +1

    Lavender be thankful si kuongea hivyo.watu hupitia mengi but huficha na smile

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu kuna sprit mbaya imemuingia,,MUNGU atuondolee mbali Lavender i love u ...i think anataka mwanamke amuongeleshe

  • @PurityMmboga-d2h
    @PurityMmboga-d2h วันที่ผ่านมา

    It's so painful but take heart baby girl we love you ❤

  • @ModesterAtieno-nq9cw
    @ModesterAtieno-nq9cw 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waaaaah very sad yule mama fautine atuambie ukweli chenye amefanyia lavender hatutaki mchezo 😢

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavender ujue Mungu anakupenda, kama ujachokesha Mungu jua kila kitu itakua poa

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 วันที่ผ่านมา +1

    Plz lavender 💜 bbygal woi trust God mambo itakua sawaa watu huko inje watoto ya tima niwengi na wanafanya vizuri hata mohaa hana wazazi lavender uko kwa mikono mzuri ❤.mungu anakupenda hivo ulivo

  • @shirlincandy550
    @shirlincandy550 วันที่ผ่านมา +1

    More prayers needed

  • @GbAs-vb3sd
    @GbAs-vb3sd 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I feel the pain of lavender 😢...mungu awasaidie 😢

  • @Joygloria-s8l
    @Joygloria-s8l วันที่ผ่านมา +2

    Lavender be open sema vle unataka we can support where possible

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +2

      Sure instead ya kufikiria kufanya kitu mbaya

  • @childofgoddorsila5338
    @childofgoddorsila5338 วันที่ผ่านมา +1

    Aki moha you are a blessing to many, may God bless you soo much 🎉🎉🎉🎉

  • @UsilaChepchumba
    @UsilaChepchumba 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nani amefanyia lavender Ile kitu plix pray for her surely 🙏

  • @PurityLove-g9b
    @PurityLove-g9b 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpeleken lavender kw rev sadra hiyo n spirit mbaya si yy aky

  • @mercywaturi7764
    @mercywaturi7764 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baby girl, acha kua hivyo , furahia ata kama uli kua una date brother bila kuja ni brother,, be happy kua na brother

  • @Naz-r5m
    @Naz-r5m วันที่ผ่านมา +1

    Ana act lavender anaujinga hata kama mtu anataka kumsaidia atachukia tabia yake mbaya...

  • @JudyFaithAwinja
    @JudyFaithAwinja วันที่ผ่านมา

    Lavender ur a strong woman,i believe u can do this😘

  • @Phirissarange6757-r2b
    @Phirissarange6757-r2b วันที่ผ่านมา

    Be strong gal believe and trust in God everything will be okay

  • @Dekamale
    @Dekamale 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Every successful person has a painful story every painful story has a successful ending lavender never give up 💘

  • @EdithKinugu
    @EdithKinugu 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lavender stop all this .thank God umepatana na bro Yako . everything will be ok remember with God everything is possible . remember your son needs you girl

  • @RuthObwana-fr3iq
    @RuthObwana-fr3iq 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavender na Faustine wanataka therapy moha please these two have been going through a lot😢😢😢😢

  • @llmwangi
    @llmwangi วันที่ผ่านมา +2

    Kiengei and Lev Joy kunjeni huku? 7:27 7:31

  • @Morinodhiambo-b5p
    @Morinodhiambo-b5p วันที่ผ่านมา +2

    Jamani hakuna ata MTU ako na duka ampee lavender kazi haki

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +2

      Let's pray for her apate kitu anaeza fanya

  • @judyagano
    @judyagano วันที่ผ่านมา +2

    Hii ni spirit Fulani ametupiwa you must look for pastor to pray for you people

  • @virginiawaeni2662
    @virginiawaeni2662 วันที่ผ่านมา

    It is not easy but Lavender is giving Moha and his bro hard time to an extent hana shukrani na anataka watu wamchangie akae kivyake, muachane akae inje anaboo

  • @prettyannitah5237
    @prettyannitah5237 วันที่ผ่านมา

    Lavender tuko hapa sisi ni your family together we shall lipia mtoto shule na wewe utakaa tu vizuri Mungu anakujari

  • @ZenyGold-g7h
    @ZenyGold-g7h วันที่ผ่านมา +3

    Ametupiwa mapepo
    Ebu tafuteni pasta amuombeye

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Missing n mingi xna aki weh cjui n nn inaedelea😢😢

  • @redemptorwayua9151
    @redemptorwayua9151 วันที่ผ่านมา +1

    Lavender you are blessed just see what God has to you,He has given you your brother whom you never knew in miraculous way, God has reveled many things you never knew and you have your handsome baby whom many would like to have.What is wrong baby girl

    • @mohaclassicfamily
      @mohaclassicfamily  วันที่ผ่านมา +1

      Depression ndio inamsumbua hut she will be well

  • @MercySanya-sn8gu
    @MercySanya-sn8gu วันที่ผ่านมา

    Moha God will will bless more and more
    You have good heart aki

  • @FaisalAlota
    @FaisalAlota วันที่ผ่านมา

    That's wrong lavender sisi wengine tumepitia magumu but Bado tunajitia Moyo Wacha kupea brother yako hard time jitie nguvu Aki 😢😢😢😢😢

  • @DorcasChege-p7t
    @DorcasChege-p7t 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavender we love you. Fight till end God is with you. Aki usituanguse.

  • @prettyannitah5237
    @prettyannitah5237 วันที่ผ่านมา

    Lavender be strong for your son kama wee umeumia kukosa wazazi bona usijali mtoi wako ama pia unataka kumuumiza akikukosa

  • @KamonyaSilvia
    @KamonyaSilvia วันที่ผ่านมา

    Woiye lavender for the sake of your kid don't aki just be strong usifanye mtoi asuffer na uko hai

  • @ChristineEtyang
    @ChristineEtyang วันที่ผ่านมา +3

    😢😢😢😢😢

  • @pritpalkaur1160
    @pritpalkaur1160 วันที่ผ่านมา +1

    Lavender we all know what shes going thru, praying for thiz family, but on the other side Lavender should change now,

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    lavender pliz pliz usifanye hivo acha kulia sema watakaje lavender am ready to do support for you

  • @josphinekageha7865
    @josphinekageha7865 วันที่ผ่านมา

    Pole mrembo lavender mungu anakupenda usione huna mungu ndio baba wa yatima pia tunakupenda kikubwa ni kumuamini mungu

  • @Janet-p6k
    @Janet-p6k วันที่ผ่านมา

    Lavender jikaze dear😢😢😢

  • @emilybor9633
    @emilybor9633 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    To show she was happy begging in streets. Lavender grow

  • @salomemercy1422
    @salomemercy1422 วันที่ผ่านมา

    Sasa moha, please make sure lavender ameenda salon,next video l wanna see her,kama amesukwa,.

  • @SaumuhamisiHamisi-w9r
    @SaumuhamisiHamisi-w9r 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    moha mpelekeni huyu lavender kwa pastor pliz akaombewe

  • @emilybor9633
    @emilybor9633 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavender think twice, moha is fighting for your right and you're doing your own things. Mbona hakufanya wakati begger Kwa street. Lavender mature mature mature

  • @nancykimaru8
    @nancykimaru8 วันที่ผ่านมา +2

    Muha tafuta counselor people washange sessions kadhaa

  • @EuniceMoto
    @EuniceMoto วันที่ผ่านมา +2

    Lavender wacha utoto,pia moha aliachwa na bando ako anajikaxa,pia mimi niliachwa kitabo sna,nasina mtu wakulilia bt najikaza kijesh,ukishida kuonesha mtoto kulia unadhani atakua na hamani kwa roho yake kweli? huyo mtoto ameona mengi,muache kwa sahii atulie kwa hamani.

  • @GladyKalekye
    @GladyKalekye วันที่ผ่านมา +1

    Lavender kwani amerushiwa mapepo iteni pastor amuombee

  • @Verah-p7d
    @Verah-p7d วันที่ผ่านมา +1

    Moha tafuta pastor awaombee,,kuna roho mbaya wamewarushia ya kuwakozanisha,brother and sister,,ni maombi

  • @genny8430
    @genny8430 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyinyi hamuoni mbele , lavender ame_back fire from love to bro ,(one ni blood bro next ni step bro ambaye ni baby daddy.hoyeeee

  • @JacklineOyondi
    @JacklineOyondi วันที่ผ่านมา +1

    Nashindwa kuelewa km nprank au lavender she is serious.

  • @VictoriaSandra-r8h
    @VictoriaSandra-r8h วันที่ผ่านมา

    Moja c uniconnect na huyu DCI nampenda sana Wacha initoke

  • @LilianjepkoechJepko
    @LilianjepkoechJepko วันที่ผ่านมา

    Aki levender pole my sister 😭but everything happens with a reason jikaze tu aki mungu ako na sababu kwa kila jambo

  • @hawaramadhan7437
    @hawaramadhan7437 วันที่ผ่านมา

    Maskini lavender amekua desperate poleni Mola awape nguvu😢

  • @AishaOmaromar-w2t
    @AishaOmaromar-w2t วันที่ผ่านมา

    Nipeni uyo mtoto vile nikuzuri😢 kana pitia kuona mamake akiwa hivi

  • @RitaKayambiMwakwa
    @RitaKayambiMwakwa วันที่ผ่านมา

    Pole lavender Mungu atatenda❤

  • @JuslyneGuleo
    @JuslyneGuleo วันที่ผ่านมา

    Wacha stress lavender acha kuthink about the thing you had with your brother, forget about everything na uombe Mungu Akusaidie I'm sure God Ataprovide everything you need because He's our provider

  • @KeruboBebs
    @KeruboBebs 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lavenda penye umefika sasa unaanza kusinya, rusheni mawe