Prevate, nani kaskia prevaty Jmn tuongeze biidi, tu Jipige msasa vizuri kwa kizungu Tupige hatua, tuipeleke Sanaa y Burundi international zaidi Bila lugha, tutafanya'je collaboration na wasani WA njee so tulizingatie saana hilo swala
Jameni Buyenzi hataree 😁😝😝 sana kumbe kumecharuka namna hio🤓😝🇧🇮🇨🇦💪 Burundi ndio inchi pekee Afrika mtu huishi anavyo taka Ona kama hawa ni warundi au watanzania mila zao za kitanzania na kikongo🤓😝😝😝🇧🇮🇨🇦💪
buyenzi imeanzishwa na wa tanzania na ndio mana paka itwa buyenzi kwa sababu walikuwa. wa swahili ndio walikuwa. wenye mjiwao na badaye waka rudi waliko toka. 🤣🤣
Amazing show, May God bless ur hands of your work. But my suggestion is mngekua na utaratibu WA kukakata kipindi namanisha kama hii content y dakika 29, mnaiweka yoote kama hivi alfu man Weka na vipande vipande vyak kama cha dakik 6 kingine 7 kingine 5 alafu mtu anachagu chakuangalia Ajili ya MB
@Black g kubali kushindwa wewe ushazimika ukitaja wasani5 burundi wako hit mr champange hauwezi muaca eti staili yakuimba umemfunza sasa mashairi anayo imba kwa sasa niwewe unamuandikia? Weye nikama #jay fire mda wenu ushaisha
Mwanzoni simjuwi mr champagne badae staili yakuimba eti mm ndo nimemfunza😏aka kajama kakoje umeona faida ya mziki nakucanga na wanawake kubali sasa matokeo kwa sasa nimda wa champagne
Woooow congratulation my Black G 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘and big up.
Asante sana platfrom show bujumbura oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ndugu yangu black G nakushauri tuwache ubaguzi Mrs. Champagne ni ndugu yetu sisi wote ni watu wa moja wa Africa
Asante sana
Abdul Simba
Prevate, nani kaskia prevaty
Jmn tuongeze biidi, tu Jipige msasa vizuri kwa kizungu
Tupige hatua, tuipeleke Sanaa y Burundi international zaidi
Bila lugha, tutafanya'je collaboration na wasani WA njee so tulizingatie saana hilo swala
Jameni Buyenzi hataree 😁😝😝 sana kumbe kumecharuka namna hio🤓😝🇧🇮🇨🇦💪
Burundi ndio inchi pekee Afrika mtu huishi anavyo taka
Ona kama hawa ni warundi au watanzania mila zao za kitanzania na kikongo🤓😝😝😝🇧🇮🇨🇦💪
buyenzi imeanzishwa na wa tanzania na ndio mana paka itwa buyenzi kwa sababu walikuwa. wa swahili ndio walikuwa. wenye mjiwao na badaye waka rudi waliko toka. 🤣🤣
Hacha kudanganya
Amazing show,
May God bless ur hands of your work.
But my suggestion is mngekua na utaratibu WA kukakata kipindi namanisha kama hii content y dakika 29, mnaiweka yoote kama hivi alfu man Weka na vipande vipande vyak kama cha dakik 6 kingine 7 kingine 5 alafu mtu anachagu chakuangalia Ajili ya MB
Nashukuru kwa ushauri wako ndugu
Yani kumejaa sula zami korogo jamani🤦🏻♂🤭🤣🤣🤣
Wallah wee mungu akusameh😂😂😂😂😂😂😂 umenifany nicheke
Buyenz oooooooyooooooooo tup juu jamani 😘
Atarii buyenz 😂😍😍😍🥰
Burundi jamani 😄😄😄😄😄😄😄😄depashindano ndogo inashonatamakoti
Allahu akbar 🤣🤣🤣🤣🤣Shoga uyo
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Aha kw isi ibihenda nivyinshi Mungu atunusuru bizazi vyetu
Buyenzi ndo homme 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Waswahili wana Akili sana
🤔
🤐
Kweli
Bujumbura Moto
✊🏾🇧🇮
Cool
We dogo uko mjinga sana namahanisha ujaenda shule # unaimba na mtu mziki alafu unasema umjuwi naipa akiliyako pole sana
@Black g kubali kushindwa wewe ushazimika ukitaja wasani5 burundi wako hit mr champange hauwezi muaca eti staili yakuimba umemfunza sasa mashairi anayo imba kwa sasa niwewe unamuandikia? Weye nikama #jay fire mda wenu ushaisha
Asalam alyukum blak g nisayidiye nambayako yawasapu plz nabikuomba sana
Champagne mujibuu blacky g eti uko mtoto hujuwiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇧🇮❤🇸🇦🇸🇦
jintrino unaniangusha na tulisoma wote iyo privaiti imekuponyoka walaaaaaaa
Buyenzi mnapenda raha kuliko kusoma privaty njo nini
Masani ao wasani 🤣🤣priveti ao private 🤣🤣🤣🤣😅😂😂😂😂sasa kama hao wanaume wanafata nini apo kama sio usenge
Apo sas😂😂
Mwanzoni simjuwi mr champagne badae staili yakuimba eti mm ndo nimemfunza😏aka kajama kakoje umeona faida ya mziki nakucanga na wanawake kubali sasa matokeo kwa sasa nimda wa champagne
Wongerenii
Black g acha utoto unacho kiongea haukifaham
Buyenzi 😘
Oi
Minimum ya buyebzi pia n'a shetani bimeibuka
Eti pakitokea jambo lolote atawatetea..Jinga san huu dogo kwel..
Usiku wa mashetani hazarani bujumbura burundi
Yaa Allah nusuru waja wako
Laana tupu makhaithi wote
Depa shindano inashon koti🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tunakufa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nani kamuona muokota pesa za tunzo ndani ya show anavyo tangatanga km tochi la sungusungu nimecheka hahaha km chizi vile ndo maisha amejichaguliya
Mmependeza lakini mnafujo hatari
Depa bajou sindano ndo go inashona adi ma turubai piga kelel kwa depa wetu weuweeee😄😄😄😄
huo black ana hakili eti nini.humujui mist champagn
Unyama mwingi aisee 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣black g mficiy mwenzako siri ukamufunza
Vidéo haina quality nzuri
Privaiti🤣🤣🤣🤣🤣
Sio watu hao ni majini
Raha kuzaliwa buyenzi
Izo interview zen Zak shamba tu
Ila umeandalia 😂😂😂
😂😂
oyoooooo 🤗🤗🤗🤗ni motroooooo
Mbona haisisimuwi ata jamani
Oyoooooooooo buyenzi patam
Jetrino kasio pitxaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Uwe unaziachia show tuone mahojiano yankua mengi xna
Et eshimu askai usiwaeshimu watu haaaa Sasa askai na watu utofauti ni nini wewe nenda shule
Nibitamu
Buyenzi tujitumie ao
🤣🤣🤣🤣
weka vidéo fupi fupi ili watu wakufatilie vizuri....
Kabisaaaa😀
Negative mbada 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Buyenzi mji walana🤣
Mna vurugu sana
Uo dogo amefulia !!!
Akili ni mali
🤣🤣🤣🤣Kilamtu anazake