Sema unamchukia kwa chuki binafsi sio kwa ajili ya ALLAAH, Umeweka neno ALLAH Ili ufiche kitu, na kitu chenyewe ni chuki binafsi. Kisha miongoni mwa alama ya mtu msafi wa moyo ni hii aliyoisema imaam shaafi; يقول الامام الشافعي ناصحاً احد تلاميذه: اكره "الخطأ" دائمًا، ولكن لا تكره "المُخطئ" ، وأبغض بكل قلبك "المعصية" ، لكن ارحم "العاصي" ، Wewe upo hapo?
@abdulkhaliqmuham akifuata Sunna nitampenda kwa ajili ya Allah lakina muda wa kuwa anaeneza bidaa Mimi simpedi kwa ajili ya Allah tunatakiwa tupendane kwa ajili na tuchukiane kwa ajili ya Allah
جزاك الله خيرا لقد استفدت جدا
Wahadhiri wa sasa lugha zenu chafu,
الصوفي من صفا قلبه من القذر.
Mko mbali na Wema waliotangulia.
Asalam alykum shekh shukran san kwa darsa tunaomba ututumie japo kwa pdf kitabu unachokisomesha hap
Kijana wa bidaa namchukia kwa ajili ya Allah na nitampenda kwa ajili ya Allah akiachana na bidaa na kueneza bidaa
Sema unamchukia kwa chuki binafsi sio kwa ajili ya ALLAAH,
Umeweka neno ALLAH Ili ufiche kitu, na kitu chenyewe ni chuki binafsi.
Kisha miongoni mwa alama ya mtu msafi wa moyo ni hii aliyoisema imaam shaafi;
يقول الامام الشافعي ناصحاً احد تلاميذه: اكره "الخطأ" دائمًا، ولكن لا تكره "المُخطئ" ، وأبغض بكل قلبك "المعصية" ، لكن ارحم "العاصي" ،
Wewe upo hapo?
@abdulkhaliqmuham akifuata Sunna nitampenda kwa ajili ya Allah lakina muda wa kuwa anaeneza bidaa Mimi simpedi kwa ajili ya Allah tunatakiwa tupendane kwa ajili na tuchukiane kwa ajili ya Allah
@@OmarySalehe-u3y
ورجلان تحابا في الله اجتمعا عليه وتفرقا عليه.
Hiyo hadith umeilewa?
@abdulkhaliqmuhammed456 ndio
@@OmarySalehe-u3y
Sasa mbona unasema tunatakiwa kuchukiana kwa ajili ya ALLAH