Ati ukitoa bibi ocha, ndio wazuri. Ng'o !!!. Another thing, ati unapata bibi/girl ati hajachanuka. Ndio um mold na kum shape vile wataka awe. Another Ng'o ! With a CAPITOL 'N'. Wanaume wengi wa ng'ambo hufanyi hivi, na they end kukula "Huu". Wanatumia pesa nyingii kutafuta dem mzuri home, kutumatuma pesa, kumtengezea makaratasi, lawyer... which ni big headache... na mwishowe, bibi akisha land UK, USA or whatever; Bibi anachanukaaa kuliko wale waliokuja zamani. Lesson; Don't plan to take advantage ya mtu in this manner au vyengine. Kakijana kuramba, utalilia darini. Au kwa "kacumbere/kacumbirini. Let's try our best kukua fair. Utabaki ukisema, nilimtoa kwa village, hata alikua hajui kuvaa viatu..
Usisukume mtu. Hiyo ni hatia. Hata kugusa mtu na unyoya ya kuku bila ruhusa yake au km umekasirika, hivyo ni hatia. Besides, unaeza sukuma mtu kidogo, ajikwae na, aangukie ukuta or sharp object. Na, akufe. So, avoid mambo na 'vijambo ambavyo vyaweza geuza maisha yako, yakawa Mabaya SANA.
Nani anakumbuka ule boy wa kitui mwenye walikuwa wanaigia kwa nyumba na reverse 😊alipea stevo 7 days arudishe bibi yake last year, i think seven days azijahi ishaa,no weapon formed against us we team stevo shall prospere in Jesus name Amen.
Some people just aren't ready. No matter how much time passes. They'll never understand the type of sacrifices you made for them. They'll never understand how long you waited. & they'll never ever understand how badly you wanted to make things work & how hard it was for you.
You don't understand either. Usibebee mwenzio akili. Kila mtu anayake. U can promise, lakini huezi m'bebea akili. And it's wrong kufanya hivyo. Hapo ndipo utajua hujui.
It hurts me when bad things happen to good people, I really feel it like it were me. One thing I have come to accept is that every faithful partner experiences cheating from the other person..... It's like if you don't cheat, your partner think you are weak . The paradox of life😮😮😮
@@edwinkarani5593 That's how some guys hufanya waki heartbrekiwa. Ni heri kwenda kutibiwa na mtaalam/wataalam/or seek books za kuku guide; instead of such revenge. Cz in the end, ni wewe unajiumiza zaidi.
Yaani people are angry at people playing them and not keeping promises but when it comes to pastors and politicians , that's where they draw the line.chesting is the order of the day in this Nation.
Even Nigerian movies are not real but we follow them. So what about Bms hata muongee mangapi hapa napo hatubanduki TH-cam is all about entertainment we appreciate everything you put
She doesn't understand how serious this is😮babe I'm sorry 😮......we can talk about this😮babe niskize😮babe you are the one I love 😮.. What do you girls want???
Every my math teacher was wrong, 1000 per script time 1000 kshs per actor time 2 since they are couples 2m really, na saa hiyo amelipa rent, cameraman, he must be so so rich in 🇰🇪 economy
Aiii kumbe naweza kuwa top ten kuwatch nimeajiamini sasa apa lesson n mob na kubambika mingi stress free magojwa y stress hajanipati mm scripted or acting i don't care❤
There is a phenomenon called Jail/Prison that is very uncomfortable. You decide to go there when you have a valid reason, a cheating woman is not worth that suffering.
wish i knew the time i meet you pale season kasarani ungetufanyia loyalty test n my hubby coz wee i was faithful to a man who was cheating on me.Even when i was dying in the hospital giving birth he was planning to meet a certain lady .Anyway its life
mi naona kuna good souls but end up with bad ones.....Match the good guys and the gorgeous ladies from other episodes Waonane and maybe try something out
Just asking, for men who has faced this,,, how do you face your friends who betrays you with your gal/wife. Do you fight or just ignore everything and cut the friendship?
Yes, cut yourself relationship. Jini likijualo halikuli likakwisha. Ataendelea kukung'ata. And next maybe last n fatal. Achana nae na usonge mbali if possible. Usimpe nafasi. Usitake hata kujua.
God bless and protect BMS ..from haters of the progress..kazi yake iko yuest iko sawa and we are learning alot ..hapa tunasemanga you can be there for everybody ❤❤😂😂❤
Stop scripting, stop acting, no one trust you anymore
What are you saying😂😂😂😊
What is this saying 😂
Wewe pekee yako ndo unaona iko script , ss tuko tuu hapa hatubanduki😂😂😂
@@sharlynekweyu3370😅😅😅😅
Wacha kutupigia makelele we don't want noise makers here 😮
And please i appreciate your likes Am number 1 today,God bless all the Single and Faithful,More Vayolense will start our Monday Well 😂😂
Is it you who was mentioned in the previous show or am just overthinking😅😅
@@josephcollins2671si mimi ni majina kufanana tu 😂
😊
Ati ukitoa bibi ocha, ndio wazuri. Ng'o !!!.
Another thing, ati unapata bibi/girl ati hajachanuka. Ndio um mold na kum shape vile wataka awe. Another Ng'o ! With a CAPITOL 'N'. Wanaume wengi wa ng'ambo hufanyi hivi, na they end kukula "Huu". Wanatumia pesa nyingii kutafuta dem mzuri home, kutumatuma pesa, kumtengezea makaratasi, lawyer... which ni big headache... na mwishowe, bibi akisha land UK, USA or whatever; Bibi anachanukaaa kuliko wale waliokuja zamani.
Lesson; Don't plan to take advantage ya mtu in this manner au vyengine.
Kakijana kuramba, utalilia darini. Au kwa "kacumbere/kacumbirini. Let's try our best kukua fair.
Utabaki ukisema, nilimtoa kwa village, hata alikua hajui kuvaa viatu..
Usisukume mtu. Hiyo ni hatia. Hata kugusa mtu na unyoya ya kuku bila ruhusa yake au km umekasirika, hivyo ni hatia.
Besides, unaeza sukuma mtu kidogo, ajikwae na, aangukie ukuta or sharp object. Na, akufe.
So, avoid mambo na 'vijambo ambavyo vyaweza geuza maisha yako, yakawa Mabaya SANA.
Imagine losing a guy like this one in this world where only 2% of men are loyal........what a loss!!😢😢
Watu waziristan kama sisi hupatana sijui n nani
Nani anakumbuka ule boy wa kitui mwenye walikuwa wanaigia kwa nyumba na reverse 😊alipea stevo 7 days arudishe bibi yake last year, i think seven days azijahi ishaa,no weapon formed against us we team stevo shall prospere in Jesus name Amen.
😂ata nlisahau na huyo wee si uko kin indeed wewe ni team comrades ya ukweli 🎉
Eeee by the way
Ilikua vitisho baridi 😂😂😂😂
Am still waiting for 7 days ziishe😂😂😂
Amen
Problem with good people is that they think everyone else is as good as them
Hii ndio shinda yetu
💯 True
Aisee sisi hufikiria hivyo
😂😂😂😅
Nimeupdate software juzi coz I used to think like that nikapewa character development Safi sana
You can never satisfy a woman who has decided not to be satisfied
Most women, if not all modern women.
Wewe ndie hubeba ratili ya satisfaction ndio ujue satisfaction ni kilo ngapi?
Unaamini bongo yako sana na hiyo mentality yako.
@@VeronicaDunbar peleka makasiriko mbali sana na Mimi.... always read a comment to understand not to respond
The lady should be greatful amependwa na huo ufupi wake na the man still being honest, she has lost the golden chance
sasa ufupi imetokea wapi aki 😅😅
True
Aki I feel attacked 😂😂ati ufupi
Was ufupi necessary????
Short girls are best n on demand ka hujui aki..ufupi kwani ni ulemavu
Hapa napo hatubanduki ngoo😂😂😂😂 Ata msema mangapi, tuko nyuma ya stevo👌👌👌
Kabisa
Si hao pia wascript. Who has stopped them.
@@otienopaul8068 Acha tuwaambie waskie, wao hawana content, 😂😂😂
Hatubanduki ng'o👌
Hatutoki hapa
That's why i always wish God could just match a good person with a good person....a bad person with a bad person.
Such cases happen in 1% out of 100😢
Sadly, can never happen
But it's impossible 😂😂😂very rare
Mungu alitupatia uhuru wa free will. Akituchagulia, bado hatutosheki. Bado tutasema "Mbona Mungu hivi, mbona Mungu vile?".
Adam na Eve hawakutosheka, na walikua perfect match. Itakua sisi?
Eve akaanguka mtego, na Adam nae pia akaanguka na koo yake ikawa km ya Steve.
Weeeh this kind of men wanapatikana wapi,,,you deserve the best bro
Ooh God bless me with this kind of a man ❤❤
God will here your prayers 🙏🙏
Ndio ummalize vizuri
Ask me where you can find one
Some people just aren't ready. No matter how much time passes. They'll never understand the type of sacrifices you made for them. They'll never understand how long you waited. & they'll never ever understand how badly you wanted to make things work & how hard it was for you.
💯💯💯
100%true
You don't understand either. Usibebee mwenzio akili. Kila mtu anayake. U can promise, lakini huezi m'bebea akili. And it's wrong kufanya hivyo. Hapo ndipo utajua hujui.
Man is so hurt, you can feel it through his voice but he has chosen to remain calm, I salute him, hii poko iende kwa Amos, she cant appreciate him
It hurts me when bad things happen to good people, I really feel it like it were me. One thing I have come to accept is that every faithful partner experiences cheating from the other person..... It's like if you don't cheat, your partner think you are weak . The paradox of life😮😮😮
I always say tall dark and handsome means nothing when it comes to matters na LOVE😅😅😂
😅😅😅😅
He is a gem who ended up with a confused jezebel
Amos and the girl are loosers
@@Zaza-bt1hxHutu tumtu tufupi ni sumu kanakaa kama full stop imeekwa mbaya kwa sentensi
@@douglasnyamari8042Spare my ribs bwana 😂😂😂😂😂
Hii babe babe inafanya mtu chizi,not unless upatane na Stevo kiumane dio unakubuka jina lako wah!!!
Stevo tunaomba follow up ya Jackie
Umesema Namesake wangu Hana Bahati 😂😂
Nikidogo lakini kinembe ndio mambo yote😂😂😂😂
Ndio nyinyi mnapenda Okuyu cz hawana *vineb, vimekatwa? Mkifika huko mnarudi reverse na mayoe mkililia Akinyi alie na *chake kirefu.
wanawake sure,play ur partner at ur own peril.lakini ball pelekea mwenyewe.nothing can be discussed abt ball.dont add salt in fresh bleeding wound
This guy is very honest and calm❤
Haki wanawake tuna takanga nini?
Watu wengine walio chezwa, hu choose kua wabaya after that.
Not knowing ni wao wanaharibu maisha yao hata zaidi.
There's no reward for bring honest and calm😂
And that is how this Mami has created a villain...sasa brathe ingia gym kula chuma poa na upige mboka....roho wacha isukume damu pekee for now.
😂
@@edwinkarani5593
That's how some guys hufanya waki heartbrekiwa. Ni heri kwenda kutibiwa na mtaalam/wataalam/or seek books za kuku guide; instead of such revenge. Cz in the end, ni wewe unajiumiza zaidi.
Na maybe boychild ata akumbukangi mapero wake bcoz of money and he is busy taking care if careless girlfriend
Very true. Mzazi akikuja atalia shida ju anamalizia time yake kwa kitu hakuna
Follow up ya yule man alisnatch phone akiwa anadate sister 😂😂😂🎉
😂😂😂
Sikuona hiyo. Title pls.
@@VeronicaDunbar scroll comrade video utaiona
Wuuuuuiii na vile walikua a beautiful match kidogo kidogo....Amos akatokea
Sisi Amos hatukuangi hivyo.. huyu ni briayo ako na name ya Amos 😅😅
Congratulations to Amos,the sharp shooter😂😂😂
😂😂😂
Hata ukamnunulia the whole universe they will still cheat 😂😂😂
Hii ndio promises za zakayo na uchumi ya kenya😅😅😅😅😅
Ati
Yaani people are angry at people playing them and not keeping promises but when it comes to pastors and politicians , that's where they draw the line.chesting is the order of the day in this Nation.
Even Nigerian movies are not real but we follow them. So what about Bms hata muongee mangapi hapa napo hatubanduki TH-cam is all about entertainment we appreciate everything you put
They are for entertainment, believe them at your own risk.
Aty nguo pair ngapi?,,,she has even dressed well than you 😢
Mali safi, tall dark handsome, pin location darling sitaku play 😂😂❤
😂😂😂😂 kwenda
@@DadysGyl ni nini SI ni Mali safi💋💋💋
Sex BEFORE marriage is a damn sin........😢😢
Mbona unaficha sura yako na mawe?
Hiyo macho ya dem to the director weuh ,the script iko tu sawa
Kumbe ile methali tulifunzwa primary kikulacho kinguoni mwako ndio kimetumika huku leo😂😂
Nenda kwa Amos wewe poko!!
40days
Ata Adam na Eve walikua poko. Sisi sote ni binaadam. We can fall, and we do fall. Tuombeane, tusichekeleane.
This dress answers all unasked questions
We need more of this in Kenya; it’s better to have only 10% genuine people than Han 90% cheaters in a marriage
ati ile kitu ya kuweka flag ni mlingitobig up BMS, anyway the LONGER🤣 the guy, the SHORTER the dress, the shorter the relation
Ghaaaii BMS ulikosa heading😂😂😂 "Eti short partner vs Tall"😂😂
😂😂😂
😂😂
She doesn't understand how serious this is😮babe I'm sorry 😮......we can talk about this😮babe niskize😮babe you are the one I love 😮.. What do you girls want???
I thought Steve is the tallest person kumbe kuna mwingine
😅😅😅
Wenye wanasema ni script...stevo must be a genius to script a thousand episodes
Every my math teacher was wrong, 1000 per script time 1000 kshs per actor time 2 since they are couples 2m really, na saa hiyo amelipa rent, cameraman, he must be so so rich in 🇰🇪 economy
Imagie hizi si Script, ni mahaters wajinga ndo waneamini BMS anascript
@@PrincessEstherEsther
PrincessEsther, ni kweli. I didn't expect that. Thank you.
@@MathewSteve-zp7zo
Hata km ni script, tunazi enjoy sana na Hatutakubali Mauongo ya Mahaters
Earth is red ,the way am single and faithful Sina mtu 😢😢sijui stevo uniconnect na uyo mjamaa ako tall dark and handsome 😅😅😅😅
Nikona ball ya beshte yako na siendi mahali! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tudem twingine aky nashindwa nao huyo atakuletea ugonjwa bure aende wakalee mtoi na huyo Amos
Analia nini na Amos yuko wah
BMS and that man's face after pushing the girl😂😂😂
Ati nguo tatu zenye ulikuja nazo......😂😂😂😂😂 Amos kazi kwako, why betray your long time friend. Woooyiii boychild
Achana na kafupi ka Amos.
Hahaa.
I hope that Amos guy is tall, dark and handsome too😊, si wa sura personal. Aletwe on set
Mapenzi si sura. Ni kipenda roho... mbichi.
Kadogo lakini kabaya😮😮😮😮
Piga mboka bro jijenge kwanza, roho patia Mungu.
Aiii kumbe naweza kuwa top ten kuwatch nimeajiamini sasa apa lesson n mob na kubambika mingi stress free magojwa y stress hajanipati mm scripted or acting i don't care❤
Shukuru Mungu hujapatwa na magonjwa. Kujigamba si fiti, sis.
@@VeronicaDunbar 😂😂😂😂 unajua nimecheka kwa nn? 🤣🤣🤣 iii n maajab
Run boy child. Amos amepata bibi
Hawa kienyeji ndoi worse, wacha aendee Amos 😅😅😅😂😂
Men,when will you learn vienyeji are even worse than madem wa tao?Ushamba ikitoka they become very dangerous 😅
Tell them ..kwnaza andika in capital 😂😂
Kweli.
Kweli. But, b with someone cz of true love. Sio ati ni sababu niwa tao au village.
Exactly Mimi nimewaona weeeeh 😅
Women have become a disgrace generally. It doesn't matter where they are coming from!
Fear woman, my brother waliongeleshwa na nyoka
Some men r so gentle...no violence
There is a phenomenon called Jail/Prison that is very uncomfortable. You decide to go there when you have a valid reason, a cheating woman is not worth that suffering.
@@paulkaranja9257
What valid reason itakufanya ukakulwe "kule kule"?
Ama Amos ni mfupi anatoshana na mrembo😂😂😂😂
Mimi hata sina mtu wa kunitolea dust kwa nywele huyu naye anachezea maee😅😅
😂😂Usimpige tu achanaa nayo 😅😅😅
Hakuna place naenda mmmb,kwani huna kwenu ama.kujikalisha kivyako,eat your tomatoes with Amos now😅
Bro uyo ni mtoto ulioa,tafuta bibi wa kuoa
Kumbe hata wewe umeona
Huyu ni ufupi tu,lakini ni kakubwa si mtoto
Huyu dame mbona anakaa underage hata kama ni mfupi😮
Amos will not even recognize you again once he realizes you are thrown out
😂😂😂😂😂😂😂😂
@@nancyliuva1986 very true 👊👊👊
Kwani wewe ndio huyo Amos?
@@EveIvy-y1q try it
@@EveIvy-y1q
Kwani wewe ndie dem huyu? *Tapika karamba.
However much we may be friends, rule no 1.Never come to my place when am not around, 2 My wife should never be your friend.
Thanks
💯
I thought they said they love tall, dark and handsome men😢
My thoughts too brother 😅😅
😂😂😂
Nipate huyu tu natulia.....i like him❤😊
Mboona watu tuko serious hatupatangi mtu but not hupata ...mimi mungu nikumbuke pia
Tall dark and handsome amechitiwa je hao wengine take time guy to fear us women 😂😂
Kwani sisi ni ndugu ,,,jina yako ina fanana na yangu kabisa,,,,hd hiyo ya baba
Cku hizi madem wacheza kuliko maboyz🙈...Gob tukubuke aki🙏
Dem mfupi mwembamba cheaters always ata ufanye nn
Eti aendee wapi kwa amos
We loose diamonds chasing the stones too sad....😢
wish i knew the time i meet you pale season kasarani ungetufanyia loyalty test n my hubby coz wee i was faithful to a man who was cheating on me.Even when i was dying in the hospital giving birth he was planning to meet a certain lady .Anyway its life
"sorry" is the word nowdays
Sisi tupo kwa hii channel milele labda nikose bando tuu ndo sitaona hizi video 😂😂😂 piga kz watazamaji tu💃🏼💖💖😂😂😂tuone watu ndoa zinawashinda
Hii sasa do inaitwa long distance relationship 😂😂😂😂
Absolutely very true😂😂😂👍
Kikulasho kinguoni mwako😢😢😢😢
Kiko kwa shoo
As long as sio case rape , ogopa wanawake.
Kwa wale hawajui hii ndiyo inaitwa long distance relationship 😂😂😂😂
😅😅😅😅
🤣🤣euweee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii imenimaliza😂😂😂😂😂
@@paulinedelian985 haha 😂😂😂
You said it as it's said
The more reason i don't have this thing called friends,can never be me let me be lonely bwana I feel this guy have been here it hurts like hell 😢
Hata ujifiche kwa bosom ya mathako, ubaya unaeza kukuta. Hakuna guarantee.
Kweli usidharau wembamba wa leli inabeba gari la moshi 🤔🤷 the smaller the monkey the longer the tail 🙈
She is not even remorseful, she is just regretting she is caught
mi naona kuna good souls but end up with bad ones.....Match the good guys and the gorgeous ladies from other episodes Waonane and maybe try something out
Just asking, for men who has faced this,,, how do you face your friends who betrays you with your gal/wife. Do you fight or just ignore everything and cut the friendship?
Yes, cut yourself relationship. Jini likijualo halikuli likakwisha.
Ataendelea kukung'ata. And next maybe last n fatal.
Achana nae na usonge mbali if possible. Usimpe nafasi. Usitake hata kujua.
*Tall, Dark & Handsome* is henceforth no longer a criteria. 😂
Correct!
Kama wanacheat kwa tall dark and handsome na sisi wa mediuk height je😂😂😂
Mungekuwa mnasikia nyimbo za kitambo muache genge mngezaidika. Ntakuzaidiaje by proffesor jay. OA mtu amekuliwa akatosheka😂😂
😂😂😂 zero mileage man
Amependwa na apendeki pls mimbs kutoa ns ukona bwana mimbs kws besty usiamini mutu yoyote marafiki most wanakuags adui
God bless and protect BMS ..from haters of the progress..kazi yake iko yuest iko sawa and we are learning alot ..hapa tunasemanga you can be there for everybody ❤❤😂😂❤
Ukiona adui jua huna progress
"SHORT PARTNER" was that necessary steve?🤣🤣🤣
Puiwet olaan tugul.... dust everywhere 😂😂
Ati mi hakuna mahali naenda ! Foolishness will kill you in this world.
Stevo type link ya jayden n Mary story we view again please
mahn, i feel him.
hio mshipi though
Stivo naizo matiso zako unatoaga wapi anyway good job
Was short partner necessary stivo😂😂😂😂😂
At the 18th min, the girl's face had the look of "Please God, let him not find it !!!!"
I saw that. Hata bw. akaona but hakuthani au kutaka kuamini.
Makosa nishawai fanya nikiwa Kwa relationship ni ku submit to a girl I once dated..it ended up the same😲😲😁😁
Ushainotice dame wafupi wanachika mimba haraka juu uterus iko karibu 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️ anyway congratulations to Amos 🎉
😂😂😂
Unapea Amos job and he pays back na kupea girl wako boooollll
Manzee hiyo ni mbaya. Unasaididia mtu, halafu huyo mtu anakukula bibi.
Ukihishi na mtu na tena mwingine inje utajuaje mimba ni ya mmoja wao waaaa! Am a lady but zingine zinanishtua
I always ask myself the same not unless hakuwa sexually active na bwanake sana
Ni wengi. That's why hata wewe uende ujifanyie dna. Labda mzazi alikucheza.