Crying son accuses step mother of locking him out of inheriting his father's ancestral land

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 109

  • @faithvictor470
    @faithvictor470 7 หลายเดือนก่อน +9

    It's better ununue kwingine Erick uishi
    Unaeza pigania hiyo shamba uipate but uuliwe tu ama ukose amani kabisaa,
    Live your life for the better bora mungu amekubariki na hustle
    Mungu atawalipa tu

    • @calebnyakundi8578
      @calebnyakundi8578 7 หลายเดือนก่อน +3

      Bana mwanaume achiliangi Mali hivo ni kama mtu amwambie apeane bibi yake,,,you have to fight as a man

    • @janemuthoni723
      @janemuthoni723 7 หลายเดือนก่อน

      @@calebnyakundi8578exactly kwanza kwenye umezaliwa ni pa maana

    • @robinsonndocha3866
      @robinsonndocha3866 7 หลายเดือนก่อน

      No he has a right to fight for his father's property

    • @janemuthoni723
      @janemuthoni723 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ancestral shamba for a man is important

    • @Travelwithfred
      @Travelwithfred 7 หลายเดือนก่อน +1

      ATOKE kwao AENDE kununua wapi???

  • @Edu12616
    @Edu12616 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sometimes nashindwa kuelewa mtu ako USA na yeye ndo husumbua instead of buying land lakini

  • @deborahmoige2363
    @deborahmoige2363 7 หลายเดือนก่อน +3

    That's soo bad gusii amaremo aretire ogoetana.Huyo chief ndo shida as long as huyu boy wa qatar alijua huko ndo kwao akh apewe tu we haki😢

  • @jacklinouro6537
    @jacklinouro6537 7 หลายเดือนก่อน +1

    Good work bro kaka sungura

  • @elizabethnyamoita7923
    @elizabethnyamoita7923 7 หลายเดือนก่อน +1

    I love that mama nagokoreire😂😂

  • @jscurrentstories4421
    @jscurrentstories4421 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka hii conversation na hao wamama veery dope!!!

  • @atangastephen6670
    @atangastephen6670 7 หลายเดือนก่อน +1

    The chief should step down for misusing the office or be forced by the community. Justice for Erick.

  • @Dorka12-n7b
    @Dorka12-n7b 7 หลายเดือนก่อน +2

    Justice for Elick

  • @ZachariahNyaosi
    @ZachariahNyaosi 7 หลายเดือนก่อน +2

    Those saying that kichana anunue shamba aachane hiyo to me it's a no.Ekerentane keegu oboremo and a genuine son anyimwe? Furthermore wako na baba yao America.Justice be done to this boy.

    • @robinsonndocha3866
      @robinsonndocha3866 7 หลายเดือนก่อน

      Very true, bro pigania had mwisho, it's father's property. He shd get that property

    • @mosesongati4225
      @mosesongati4225 7 หลายเดือนก่อน

      Huyo mama ni jezebel mwingine

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 7 หลายเดือนก่อน +1

    Chief apelekwe apatikane river yala

  • @Erico17
    @Erico17 7 หลายเดือนก่อน +1

    That chief should be investigated and if found to be an accomplice afutwe na afungwe.. i feel for Eric,that area is actually a walking distance koru inkal..echief eyio ne enkondi

  • @AsoupiaAsopia123
    @AsoupiaAsopia123 7 หลายเดือนก่อน

    Chief usindwe na kulegea katika jina la yesu ameni

  • @gladysobare6058
    @gladysobare6058 7 หลายเดือนก่อน

    Buy plot somewhere God has blessed you

  • @calebnyakundi8578
    @calebnyakundi8578 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ambia kijana ani inbox nimpee number ya dastan omari amsaidie

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      Nmbr ya danstan haitamsaidia, uyo kijana ajifunze kua na heshima kwanza,the boy is so arrogant,ni vile hammujui

    • @linusomari3779
      @linusomari3779 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@ibrahimombongihow are you related with this boy

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      @@linusomari3779 the boy is my step son

    • @RisperMarube
      @RisperMarube 7 หลายเดือนก่อน

      @@ibrahimombongi thanks for the update but he must have his father's land

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      @@RisperMarube he will bt I tel you ata akipewa atakua na hard times sana cz ni mtoto mdogo bt ile maneno anatoa Kwa mdomo yake,it's hell

  • @megaumojakitchen1599
    @megaumojakitchen1599 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu, jitafutie mahali pengine usiuwe.. kuna Mungu mbingiuni.

  • @vanemoraa7477
    @vanemoraa7477 7 หลายเดือนก่อน +1

    Not me concentrating vile kaka anafinya macho 🤣 🤣🤣🤣 aki hii serikali justice for Erick

  • @sofiaogega950
    @sofiaogega950 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂omogambi ako kwa side ya huyo ako na mtoi USA

  • @millicentrabera
    @millicentrabera 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo n ome Cna maoni chief anawesa pitia comments

  • @tonginyaboke3745
    @tonginyaboke3745 7 หลายเดือนก่อน

    May God fight for this boy

  • @OmesaTinega
    @OmesaTinega 7 หลายเดือนก่อน +4

    Lkn gaki ense nembe yaani MTU ako America definitely ako na pesa c anunulie kijana yake shamba

  • @TestTest-j3f
    @TestTest-j3f 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna sababu ya kutusi huyo chief

  • @dianaosoro-qv1xu
    @dianaosoro-qv1xu 7 หลายเดือนก่อน

    #### justice for Erick 👨‍⚖️👨‍⚖️ but kuna huyo mama amesema naki bono ogotobori iga rioka rioka amenimaliza piii

  • @nancymoraa6491
    @nancymoraa6491 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amaremo gusii 🙆🙆🙆

  • @sarahlameck195
    @sarahlameck195 7 หลายเดือนก่อน +3

    Inakaa uyo mama vile anaambia chief amtaftie tittle deed, anataka kuipata ili auze shamba aende kwa bwanake uyo mwenye baba kijana wake

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      io n story inatengezwa ,hakuna story eti babake akampekeka uko,izo ni za jaba

  • @Jacklina-pp8nw
    @Jacklina-pp8nw 7 หลายเดือนก่อน +1

    Justice for Erick, finally Kaka umefika kwetu he is our brother tunamtambua

    • @samwelontiri8258
      @samwelontiri8258 7 หลายเดือนก่อน

      Obosoku obonene gaki tunapata juu n shamba b kijana ako kwao

  • @AsoupiaAsopia123
    @AsoupiaAsopia123 7 หลายเดือนก่อน +1

    Chief umelaaniwa mbaka familia Yako uwezi PATA amani mungu atapigania kijana apige wewe na panga bibilia inasema hivo

  • @TestTest-j3f
    @TestTest-j3f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwni kijana yuko na kwao mnaongea nn gaki abanyakenyoro bwatesi omomura oyio chief wengi amaaki batagete

  • @carolynekwambokamosoti1640
    @carolynekwambokamosoti1640 7 หลายเดือนก่อน

    Justice for Erick alaah huyo mama step aende na hukoo

  • @Nani-ww8yg
    @Nani-ww8yg 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amakongu

  • @zablonobungu1610
    @zablonobungu1610 7 หลายเดือนก่อน +1

    The chief sounds convincing and the young man should work for a win win outcome by following diplomacy. He can just go and put up some structure since the community including the clan elder at the chiefs office are with him nothing bad can happen to him. The step mother has absolutely no right to deny the young man what is his by birthright. The current constitution supports the right of every child i.e sons and daughters.

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      The boy akifwata vile anaambiwa atasaidika bt shida ni Kuna watu apo home wanamdanganya ndio awatumie kakitu na Ivo ndo anajipoteza,hawo wote umeona apo wanamkula Doo bt akifwata the right direction ata hawezi tumia pesa,ii n story inanihusu Mimi personally ata yeye anajua

  • @tonginyaboke3745
    @tonginyaboke3745 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka uko so wise

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 7 หลายเดือนก่อน

    Chief anakaa shocked 😲

  • @thadeusotachi3786
    @thadeusotachi3786 7 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭

  • @zipporahkwamboka5982
    @zipporahkwamboka5982 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama was Kijiji ni mjeshi amenifurasha sana

  • @osebenyaundi
    @osebenyaundi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ekerentane ekio kere USA kegore oborimo bwaye getigere Erick sobo.💯💯

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 7 หลายเดือนก่อน

    Sanitize simu ya chief

  • @Hellenjohn-br1jv
    @Hellenjohn-br1jv 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka thanks for the wark you are doing but you have. Not finished please faind The wey to help tafuta good hadforket to help causes like this

  • @domidze
    @domidze 7 หลายเดือนก่อน

    Chief ni fala sana

  • @kikiharry1886
    @kikiharry1886 7 หลายเดือนก่อน

    Where we are headed. Abagaka atera abangina oboremo mokoroma ebunia, mwatiga oborembe. Yabeire bobe😮

  • @clive839
    @clive839 7 หลายเดือนก่อน +1

    Also get the opinion of the other party (step mother) to eliminate potential bias

    • @bosongovibes7090
      @bosongovibes7090  7 หลายเดือนก่อน +1

      Did you watch the story to the end? If yes then you must have heard us saying we reached out to the other side.

    • @mosesongati4225
      @mosesongati4225 7 หลายเดือนก่อน

      Wanakijiji supported Eric. Walilaumu chief

  • @robinsonndocha3866
    @robinsonndocha3866 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo chief ni mikora kabisa, he should face the law

  • @millicentferdnard5994
    @millicentferdnard5994 7 หลายเดือนก่อน

    That chief anaegemea upande ingine mbona asipeane photo copies .

  • @gladysobare6058
    @gladysobare6058 7 หลายเดือนก่อน

    Instead of helping that kijana dunia tu kuna shida

  • @divinah5271
    @divinah5271 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo step mother anafumba watu na pesa hili wasikumbuke huyu kijana ak bt mungu atamupigania

  • @wycliffemaroko6695
    @wycliffemaroko6695 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa chiefs wa mashamba wanapenda hongo sana, surely mbona watese huyo kijana juu ya tumbo tu bt wacha chief achue hivi Mungu ako

  • @carolinekerubo9836
    @carolinekerubo9836 7 หลายเดือนก่อน

    Apewe haki yake Elick

  • @spinicahakama4500
    @spinicahakama4500 7 หลายเดือนก่อน

    Watu wako na pesa ndio wananyanyasa maskini

  • @EnockMoseti-ij2nk
    @EnockMoseti-ij2nk 7 หลายเดือนก่อน

    Baba almkubali kama mtoto wake mambo mingi sijui ni ya nini apewe shamba immediately

  • @paulobondi3081
    @paulobondi3081 7 หลายเดือนก่อน

    Natoka Nyamira Kenya 🇰🇪, uyo chief ata kuongea tu tumbo yake ni pesa

  • @viviankemunto4435
    @viviankemunto4435 7 หลายเดือนก่อน +2

    Shamba na wakisii na akuna shamba ,sasa mtu uko America na unataka mashamba waah ,

    • @megaumojakitchen1599
      @megaumojakitchen1599 7 หลายเดือนก่อน

      Wacha tu!

    • @nancyomani9422
      @nancyomani9422 7 หลายเดือนก่อน

      Kwanza mama ashaenda kwa ex husband already she is greedy

  • @samwelontiri8258
    @samwelontiri8258 7 หลายเดือนก่อน

    Erick apewe haki yake endugu usichoke noonde koru maate chunchuru mwanyamage gokobwatesi

  • @user-wr9fn4ny4i
    @user-wr9fn4ny4i 7 หลายเดือนก่อน

    Young man, this is a simple case.invole the community and neighbors and building your house.This should not go this far,village elders should solve this simple case.Always men have been having two women and any piece of land is always divided between the wife's.

  • @tonginyaboke3745
    @tonginyaboke3745 7 หลายเดือนก่อน

    Waaaaaaa gaki

  • @kennedyotwori9056
    @kennedyotwori9056 7 หลายเดือนก่อน

    Chief ni mkora aky.

  • @ZaivanieeOG-tr7ww
    @ZaivanieeOG-tr7ww 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa watu wako USA surely mbona mnamfanyia hivo?

  • @harrietharriet5443
    @harrietharriet5443 7 หลายเดือนก่อน

    Amang’ana are gusii namakong’u

  • @polycupmayaka6580
    @polycupmayaka6580 7 หลายเดือนก่อน

    Gusii iko na shida juu ako na doo ndo maana anafanya h4 tafuta lawyer andikiwe barua thro American embassy ndo akuje cha nguvu.

  • @JoyceAchei
    @JoyceAchei 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka onye nokobua omomura oyio aegwe oboremo bwaye buna enyomba ase enyomba plz chief na mama wa kambo ndio shida,na Ako na bwanake america

  • @risperNyaboke-bt7mc
    @risperNyaboke-bt7mc 7 หลายเดือนก่อน

    Ulaaniwe sana wewe chief

  • @johnsonomari8561
    @johnsonomari8561 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka there's a problem in this story, at least you could have briefed the audience concerning your conversation with the woman in question even without including her voice talk, it seems the woman is being guarded by everyone who happens to cross her pathway!

    • @bosongovibes7090
      @bosongovibes7090  7 หลายเดือนก่อน

      Are you a Journalist? Media respects privacy and it's in our laws. She refused not to be included in the story and we respected that. It's not a fault, it's our Journalistic laws. Thank you.

    • @johnsonomari8561
      @johnsonomari8561 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@bosongovibes7090 that's so unfortunate but it's alright, respect 🙏

  • @geraldotwoma5825
    @geraldotwoma5825 7 หลายเดือนก่อน

    Omomura oyio Eric aawe esemo yaye emotongeti.
    Oboeene botenene gaki

  • @bismarkmonda7188
    @bismarkmonda7188 7 หลายเดือนก่อน

    The chief should be checked in he is completely a lie

  • @johnsonkendrick764
    @johnsonkendrick764 7 หลายเดือนก่อน

    This chief is a big liar. As a good administrator chief could have steered the subdivision of the land before succession so that the boy well understands what he is going to get. Going to succession without demarcation is nothing. Chief wacha kudanganya watu

  • @EvelynMoraa-hd8rz
    @EvelynMoraa-hd8rz 7 หลายเดือนก่อน

    Corruption

  • @rafaelamc7781
    @rafaelamc7781 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaa hajasema mamake alienda akaolewa kwingine.. Anasema alienda kuwataftia.. Enseye nensensiii

    • @ffffghhhh546
      @ffffghhhh546 7 หลายเดือนก่อน

      Inakuumia nini how do you know the guy

  • @irene3696
    @irene3696 7 หลายเดือนก่อน

    Tari omwana nare nere manyete 😂😂😂

  • @ibrahimombongi
    @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu kijana anakudanganya,uyo babake akiaga,uyu kijana na mamake hawakua so asilete story za uongo,mm n brother wa uyo late babake

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      Thank you

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      Zoea kusema ukweli,haukua around,mbna udanganyane

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      Umeiweka open ,mbna inbox,Wacha kila mtu ajue ukweli apa peupe

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      Since it's a public issue ,let us discuss it openly,your arrogance is your major problem

    • @ibrahimombongi
      @ibrahimombongi 7 หลายเดือนก่อน

      Mm mwenyewe personally nlikuongelesha bt kiburi mingi ndo zako,those people wanakudanganya wakikula pesa zako,just follow the right channel utasaidika, kina Jeremiah hawatakusaidia chochote n pesa zako wanataka n finally.......

  • @mwazikitoko3937
    @mwazikitoko3937 7 หลายเดือนก่อน

    Omwana no mwana Abe omomura abe omoiseke apewe shamba, oyore America omomora tarakwana simi abasabe oboremo baiseke bamwabo wapewe shamba na Eric apewe shamba

  • @rafaelamc7781
    @rafaelamc7781 7 หลายเดือนก่อน

    Hii ni ujinga.. Given that i know the persons perfectly well, KAKA hapa umetumika vibayaaa... The story there is 100% fabricated.

    • @bosongovibes7090
      @bosongovibes7090  7 หลายเดือนก่อน

      This is not a story from Kakasungura but from villagers. A story from the chief himself. Media is a vessel. You could be knowing the person's but you may not know their private life. How was Kaka used here now?

  • @wycliffemaroko6695
    @wycliffemaroko6695 7 หลายเดือนก่อน

    Heli ukufe bt upate haki huyu step mother wa Eric naona akishindwa bt atatafuta njia ya kuua huyo jamaa

  • @EnockMoseti-ij2nk
    @EnockMoseti-ij2nk 7 หลายเดือนก่อน

    Baba almkubali kama mtoto wake mambo mingi sijui ni ya nini apewe shamba immediately