Ruth Lameck - Ane Nahelela (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 37

  • @MaryamDaud-h2b
    @MaryamDaud-h2b 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kila nikiusikilizaga huu wimbo huwa natokwa na machozi😭 mungu akubariki kwa wimbo mzuri naupenda sana ❤❤❤

  • @EmmilianaDaniel
    @EmmilianaDaniel 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama.mungu.bakubaliki.sn.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fikirishiguta8716
    @fikirishiguta8716 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzur niliona jina lako katika kanisa la roho mtakatifu kwa rev sadai dodoma nyerere square

  • @healnessmgaya
    @healnessmgaya 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmh wimbo mzuri sana huu hongera sana mtumishi kwa kazi nzuri

  • @jumakhaji9363
    @jumakhaji9363 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada machozi yamenitoka badaa ya kusiliza huu wimbo mungu akutangulie dada kwa uibaji mzurii

    • @ruthlameck9597
      @ruthlameck9597  2 ปีที่แล้ว

      Amen Amen Ubarikiwe Sana Sana 🙏🏼

  • @benjaminndaga1780
    @benjaminndaga1780 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana, ubarikiwe🙏🏾

  • @Mkundi-o7v
    @Mkundi-o7v 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupandishe zaid

  • @emmanuelsamwelmwangholo3396
    @emmanuelsamwelmwangholo3396 3 ปีที่แล้ว

    God is great
    🙏🙏🙏🙏🙏,muwaha mulungu achile kukuluguta. Umutumamile kwe vilungo vyako vyosee! Hongera sana Dada, nimeskiliza simulizi yako , bado nazidi kuushaanga ukuu wa Mungu, hakika ni mwingi wa huruma mwenye upendo huyu yesuuu, barikiwa sana Dada! Muwaha yalumbweeee

  • @pendongubesi305
    @pendongubesi305 2 ปีที่แล้ว

    Hale wagogo wayangu mulungu yawamulugutenyi waiko

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 3 ปีที่แล้ว +1

    Songa mbele
    Na BWANA akuinue kwa viwango vya juu

  • @barakayona6540
    @barakayona6540 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie katika huduma yako mtumishi

  • @pendoendreaw6455
    @pendoendreaw6455 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako ni nzuri sana mama angu Mungu akuinue kwa kiwango cha juu sana

  • @williammchuno1360
    @williammchuno1360 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 3 ปีที่แล้ว

    Naenda jamani

  • @simonmanyika5787
    @simonmanyika5787 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zilimuzinzi aziii lece

  • @D.P.O
    @D.P.O 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed my sister

  • @odilialucas2430
    @odilialucas2430 2 ปีที่แล้ว +1

    😭🙌🙌

  • @chazyshadrack2558
    @chazyshadrack2558 3 ปีที่แล้ว

    nahelela kukaya hale chilumba yaya

  • @raphaelmatei4918
    @raphaelmatei4918 3 ปีที่แล้ว

    Hiyohiyo mdala!

  • @barnabasmmiku564
    @barnabasmmiku564 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri

  • @lailajeremia1259
    @lailajeremia1259 3 ปีที่แล้ว

    Mwaha yalumbwe

  • @jackmaille4637
    @jackmaille4637 3 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @BarakaNjamasi
    @BarakaNjamasi 3 หลายเดือนก่อน

    Sande mnyandughu waiko

  • @dianarosekaugira5608
    @dianarosekaugira5608 3 ปีที่แล้ว

    Ww Ndio Ruth LAMECK tuliesikia story yako radioni?

  • @manyotapetro4388
    @manyotapetro4388 3 ปีที่แล้ว

    Ka langa mukumota bye!

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 3 ปีที่แล้ว

    Naenda jamani