Kazi nzuri sana Tanzania haijawahi kutokea kazi ya namna hi ndo mala ya kwanza kuona Tanzania kuona msanii anaye imba Rhumba vzr kama huyu hongera sana kaza ndugu wataelewa tuuuu
Kenya loves #rhumba more than any other non-French speaking nation. #MFALME, hii sauti ukija Kenya utakuwa booked Monday to Sunday.., you'll make big money kwa clubs ukicheza liv
Kwa uimbaji hu umenifanya mpaka nimemuhama Christian bella maana sikuizi anaimba upumbavu tu naomba na wewe usilewe sifa ukaanza kuharibu kazi tafadhali tuna kutegemea sana kwanza unaimba Rhumba la kisasa ambayo ina kwenda kwa kila lika safi sana
We jamaa mbona kama nilisha wahi kukuona Bss bongo star search majaji walisema hujui kumbe wao ndio hawa jui wasenge sana hawajuagi hata watu wenye vipaji kaza kaka wewe unajua tena sana watu wenye kipaji kama chako ni wachache sana wengi wao wana unga unga tu ila usivimbe kichwa Mwenyezi Mungu akutangulie
I have never heard this Swahili rumba I can say ooh fere gola is here please any one knows lingala teaches me please . Well right now we have this Swahili rhumba Asante I enjoy sana
kiukweli kwa Tanzania hi kwa mala ya kwanza ndo nasikia Rhumba kali ya kiswahili hi haijawahi kutokea kwa Tanzania hata CONGO ni Ferre gola tu anafanya staili hi naweza sema kwa Tanzania wewe ni Best musional wa Rhumba
Hi ni mashine wewe jamaa wa wapi ungekuwa kabila yangu ninge jivunia hata kama sio ndugu yangu unajua kaka hongela sana wapo wa kongo wengi tu hapa Tanzania lkn hawawezi kuimba hivi halafu wewe Mtanzania lkn unaimba hivi hakika Mungu kakupa kipaji
Hi nyimbo huwa inafanya siku yangu inaenda vizuri sana kila ninapo isikiliza yaani huwa silali Dacota akianza tu kipindi cha bonanza mimi huwa si lali mpaka nisikie songi hili jamani sijui huyu jamaa alitungia hi nyimbo chooni jamani maana inanikosha sana
Oooh No why is he not famous I'm downloading all of his songs abeg so much talent here.
aise cristian bella angalie uu jama ni shida anatisha sana
Kama umesikiza zaidi ya maramoja piga like !
Peeeenda sana muviiiiiiiii. Balaaaaa
We jamaa wawe ni viwango vingine
Kaka nambie tkyu sehemu Gani nimpelekee mamy kitenge😂 unaimba bhana zawad ya Tanzania wewe...❤
Kaka shikamoo hili balaah
🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦 Mob
Wakuache mzee sio kwa voko hi ni Taaaaaaaaaaaam saaaaaaaaaaaaana
napenda hii goma kweli
Nakupenda sana kaka yangu
Fundi wa mafundi Wewe ni mkali Tanzania tumepata kifaa kweli kweli kwenye up ande wa Rhumba hakuna wa kukufikia penda sana wewe mimi
Kitu safi bro.
kali sana bro kamradi films kenya aan kazi nzuri fally nyuma
Safi sana , nakupata kutoka hapa dukani goba center 😎😎😎😎
Goba saisai hapa. Pamoja sana mwamba. Twende nae huyu
Nice song,na hiko na ujumbe
Unajua sanaaaaaaaaaaaa co powa
Kazi nzuri sana Tanzania haijawahi kutokea kazi ya namna hi ndo mala ya kwanza kuona Tanzania kuona msanii anaye imba Rhumba vzr kama huyu hongera sana kaza ndugu wataelewa tuuuu
Sahihi kabisa. Haijawahi tokea
Rhumba ya kwenda hii bro angu...
The Swahili Ferre Gola
Ujakosea kivile umejitaidi kiasi
Nakumbuka Hizo Enzi zakina Longombas Top hit
Me sho yong de la press Africana 💪🏾👍👍👍
Napenda sana movie ya Lorenzo
Napenda tamthilia ya secredo de amor
Much love from Kenya
Wimbo tamu sana mithili ya halua listening from Kenya 🇰🇪
Du ngoma Kali sana hi
This guy sings! Ferre Gola of Tanzania indeed!
He is copyright of Ferre GOLA in Swahili
@@karimmasoudy933who told you he's coping
@@divinahogambasomebody
Haijawahi kutokea Tanzania RHUMBA ya namna hi kwa mala ya kwanza ndo nasikia kwako umetisha sana hi ni changa moto kwa wakongwe wa dans Tanzania
Sahihi kabisa
Hu wimbo kila nikisikiliza hamu haini ishi jamani hawa kuwezi miaka 100%
Ongera sana pro unaweza
nakusikiliza kutoka Mozambique 🇿🇼🇿🇼🇿🇼🇿🇼 washaaa🙌🙌🙌🙌🙌
Uko vizuri Kaka
Nauzunika kuona huna jina na ujuzi wote huuu😭😭😭😭🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️
Emagine
Unajua sana ndugu
Mnoooo
Ngoma mzuri ,mwimbaji mwenye sauti Kama ya ferre gola
Chuma hatari sana hiki, umetisha bro
Hii ndio miziki sasa
Nimeipenda leo huu mwezi 6 ndo kujuwa nyimbo zako tangu nahanza fatilia 2023 leo ndo nimeona nyimbo mzuri sana mungu akubariki bro
Upovzr xn mdogo wangu ahsante xn
Kenya loves #rhumba more than any other non-French speaking nation. #MFALME, hii sauti ukija Kenya utakuwa booked Monday to Sunday.., you'll make big money kwa clubs ukicheza liv
Kwa uimbaji hu umenifanya mpaka nimemuhama Christian bella maana sikuizi anaimba upumbavu tu naomba na wewe usilewe sifa ukaanza kuharibu kazi tafadhali tuna kutegemea sana kwanza unaimba Rhumba la kisasa ambayo ina kwenda kwa kila lika safi sana
Video vixen 😘😘😘
kiufundi zaidiiii tamu
Wawoooo Iko poa sana
We jamaa mbona kama nilisha wahi kukuona Bss bongo star search majaji walisema hujui kumbe wao ndio hawa jui wasenge sana hawajuagi hata watu wenye vipaji kaza kaka wewe unajua tena sana watu wenye kipaji kama chako ni wachache sana wengi wao wana unga unga tu ila usivimbe kichwa Mwenyezi Mungu akutangulie
Wataelewa tu dam yong
Uko sawa papa keep it up
Niko haka kwa sababu ya juma nature
Kila sana mwanangu
Kubwaa mzee baba
Da hi Rhumba ni kali jamani acheni masiala huyu mbena wa wapi anaimba hivi jamani bonge la ngoma mzee
Safi sana
Rhumba Rhumba safii sana
Tanzanian ferre gola yuko top
Good video
Safi sana kazi nzuri kakaaa
Ferre Gola wa Tanzania
I have never heard this Swahili rumba I can say ooh fere gola is here please any one knows lingala teaches me please . Well right now we have this Swahili rhumba Asante I enjoy sana
Nyimbo nzuri
Kaza sana kakaa
Ngoma Kali sana kinoma
Ndugu yangu, we sio wa hapa Bongo kabsa
Kazi nzuri sana mfalme pharao
Kazi nzuri aseh
kiukweli kwa Tanzania hi kwa mala ya kwanza ndo nasikia Rhumba kali ya kiswahili hi haijawahi kutokea kwa Tanzania hata CONGO ni Ferre gola tu anafanya staili hi naweza sema kwa Tanzania wewe ni Best musional wa Rhumba
Aisee sijaipata sikia Rhumba kama hi Tanzania kweli sasa watanzania tunasonga kimusic kwa hali hi sio mchezo
Rhumba tamu
Keep it up I love your song 👏👏👏
Boooonge la bengaaaa. Much love brooo. Asanteeee
Nipo usa nahanza fatilia nyimbo zako
Good one
Your style is a replica of Ferre Gola
Muzuri sana From Mombasa,Kenya.
Rhumba Taratibu.
Falling in love with youe music Kenya tunakupenda sana❤❤❤
Hi ni mashine wewe jamaa wa wapi ungekuwa kabila yangu ninge jivunia hata kama sio ndugu yangu unajua kaka hongela sana wapo wa kongo wengi tu hapa Tanzania lkn hawawezi kuimba hivi halafu wewe Mtanzania lkn unaimba hivi hakika Mungu kakupa kipaji
Yani umeni guza kabisa wimbo inanichoma maze
Mkuu hi ngoma Kali sana hi ni Rhumba la nguvu
Hii kweli rhumba ya Dunia Tanzania sijawahi kusikia rhumba kama hili umetisha mzazi hii ni kazi kweli kweli miaka mia 100
Huyu jamaa ni mkali sana
Sauti tamu kama ya ferre Gola😍😍🤩
From kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪with love ❤️❤️❤️❤️... Good music
Hii ngoma ni Kali sanaa... Niliisikia Claus nikasema Nani huyu kairudisha rumba #Hili dundo nyokooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hi ni shida kwa Tanzania wewe ni Hatari
wow!
Another version of Christian Bella
Umetishaaa mzeee
Brother uko vizuri sana 💪 nimefurahi tu kula matoki wimbo mkali sana 😍😍
Good
Just discovered u today and am a definite fan
Kaka umenikosha sana hu ndio music
mnala wa babeli umetisha kinomaaaaa
you are our tanzanian ferre gola bro. keep making good rhumba music.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa fundi xana
Mi mgeni kwenye hii chanel nimeona clip sehem nikakimbia chapu😳 bro unajuaaaaaaaaaaaaaaaaaa na ulokole wangu nimeelewa unachokiimba
jamaa anajuwa sana
video kali
Nyimbo kali sana broo
I know love your songs after listening to the "usiwasilize " song
Hi nyimbo huwa inafanya siku yangu inaenda vizuri sana kila ninapo isikiliza yaani huwa silali Dacota akianza tu kipindi cha bonanza mimi huwa si lali mpaka nisikie songi hili jamani sijui huyu jamaa alitungia hi nyimbo chooni jamani maana inanikosha sana
Sounds like ferre gola
Felicitations
Goma kali