Dada Farida mi nakufatilia sana Niko najifunza huku napenda unavyosuka na Mimi natamani kujua kama wewe nakupenda sana kipenzi mungu azidi kukutunza akubariki mno na akuinue pia kwenye KAZI Yako barikiwa sana dada angu asante Kwa mafunzo Yako mazur mno nikutakie jioni njema by
Mimi sijui kusuka kabisa Ndio naanza kujifunza, Dada Farida kwa sisi ambao ndo tunaanza kabisa naomba utufundishe kusuka nywele za kawaida (njia tatu na mbinjuo)🙏
Dada farida hongera sana ila mm ndo najifunza kusuka yeboyebo ko nilikuwa naomba unifundishe ninapokuwa naunganisha nywel moja na nyingne man huwa me nikisuka yanakuja mafundo ko nilikuw nakuomb unifundishe man me najua za mikono tu na mungu akutangulie katka kitengo cha usukaji
Asante Dada kwakukutuelekeza nimeelewa kwer mm huwa najaribu lakini nashindwa kuzishika vizur hizo raster ninazokuwa naongeza hivyo huwa haziniletei muonekano mzur nifanyaje?
Nashukuru dafarida yeboyebo kwasasa nakula hela ila naomba kitu kimoja utufundishe aina ya nywele flani zinaitwa zipu ubarikiwe Kwa kazi ya mikono yako
Honger xan da farida kwa mafunzo mazuri❤❤
Hongera dada utufundishe zaidi
Farida mamy mm inanishinda kuaza apo mbele, nataman nijue vizuri kusuka yeboyebo mana ndo nywele inayotrend , nakupenda mafunzo yako barikiwa mno
Dada Farida mi nakufatilia sana Niko najifunza huku napenda unavyosuka na Mimi natamani kujua kama wewe nakupenda sana kipenzi mungu azidi kukutunza akubariki mno na akuinue pia kwenye KAZI Yako barikiwa sana dada angu asante Kwa mafunzo Yako mazur mno nikutakie jioni njema by
Waoonh appreciate 🥰 Akina Farida tumebarikiwa wajina na mim ndo najifunza I wish niwe Kama wew♥️💝
Kwakweli hii ni nzur imenisaidia, maana hua nna changamoto ya kuongeza rasta japo kusuka najua. Asantee❤
Barikiwa sanaaa
Hongera sana dada Farida mie nahitaji kujua mwazo kwenye kuanza kuchonga na nimejalibu kusuka Kuna sehemu Rasta inatuna inakuwa ni nn msaada wako
Nilikuwa sijui kabisa kusuka ila kupitia channel yako sasa naendelea vizuri asante sana dada😍
Yan me natamani kujua dada farida sas nashindwa kuunganisha vzr app dad nifanyeje etiiiiii
Mungu atupiganie mama na azidi kukutumia tunakutegemea wewe mwalim wetu
Duh hongera sana Farida najua ntajifinza mengi kupitia wewe shida yangu ni kupangilia panasumbua sana apo
Mimi sijui kusuka kabisa
Ndio naanza kujifunza, Dada Farida kwa sisi ambao ndo tunaanza kabisa naomba utufundishe kusuka nywele za kawaida (njia tatu na mbinjuo)🙏
Unakipaj kukubwa saana Cha kuongea vizur maelezo Yana nyooka asante saana dada farida ❤️
Nataka mawivingi
Hongera dada mafunzo Yako ni mazuri pia NAMI natamn sana nijue kusuka yeboyebo
Sijaelewa bado dada farida Mungu akubariki kwa kipaji
Natamniii sana kujua yebo naamini kupitia wew da faridaaa nitajua ty
Waoooooo 😘 nimeelewa mpnz ahsante
Asante dada farida nimejifunza kitu
Dada faridaaaa natmni kujuaa yebooo upande wkushotooo uninisumbuaaaa inajigungafungaaa nifanyejeee dada angu mungu akulindeeee uwe na moyo uouo
Dada falida ongela kwamafundisho mazuli Mimi ebo nashindwa kuduka mkono wakushoto
Nakupenda saana kipenzi farida asante 🙏🙏mngu akubalik saana
mungu abaliki kaz ya mikono yako Amiiiin
❤❤safi da
Nzuri
Yaan nakupenda bure tuu mm kiukweli huwa nakuelewa. Shida yangu n kukata t mistar ilingane
Sehem gan mnapatikana dada farida
Una kipaji Cha kufundisha dada Farida nakuelewa vizur
hongera sana farida kanzi nzuri
Upo vizuri dada kama mie nami nataka niungane na wew
Dada farida hongera sana ila mm ndo najifunza kusuka yeboyebo ko nilikuwa naomba unifundishe ninapokuwa naunganisha nywel moja na nyingne man huwa me nikisuka yanakuja mafundo ko nilikuw nakuomb unifundishe man me najua za mikono tu na mungu akutangulie katka kitengo cha usukaji
Jaman dada naomba unieleweshe tena kwenye kusuka yeboyebo bado sijaelewa
Mibando nashidw hapo tunapo anziya
Jmn apo kwene kuungnisha Rasta yani kuongeza
Jamn dada mm nashindwa kusuka yebo yebo nielekez vizur
Me nimejifunza mpaka nimejua
Nakupenda sana mwalimu Mungu akujalie
Ongera dada ❤
Asante dada unafundisha vizuri nakuelewa mi nakosea kuanza tu kusuka yebo Ila natamani nijue zaidi naomba msaada wako
Sante snaaa
Dada hongera nimejifunza Sasa nimeweza
Asante sana farida umenisaidia sana kujuwa kusuka yeboyebo mungu azidi kukulinda nakukuimarisha zaidi
All the best mamaaa
Nzuri sana
Dada nywele zote nasuka bado yeboyebo ❤❤❤
Samahan kipenz me nikisha suka upande wa kulia kusuka upande wa kushoto nashidwa unaweza nisaidia happy plz
Asante kwa mafunzo mazuri
Asante kupitia wewe nimejua mitindo mingi
Habari rasta naongeza kwa juu au ndani
Dada farida ahsante sana nashindwa hapokuhongeza rasta
Mi niliweza kupitia huyu dada ubarikiwe sana
Asant kwa mafunzo da Farida
Namshukuru nimejifunza yeboyebo kupitia Chanel hii
Mimi cjaelewa dd napenda kujua vizuri yebo napiya najua ila cyovizuri kama hivyo
Hongera sana mungu akubariki
Thanks M.faridah
Mungu akuzidishie kipaji kingine
It's so nice
Nimeoenda kwa kweli
Napenda sana jinsi unavyofundisha farida
Mm pia nimependa😊😊
Asantee kipenzi
Asanteeee Sana dada mungu akubariki mno
Naelew San mwalimu wanguuuuuuu
Ubarikiwe dada
Ameen
Farida mpenz wangu,mim najua kusuka kidogo Ila ninachofeli kuanza mbele kipenz,Ila natamani sana kujua yeboyebo kiufasaha
Asante sana kwa darasa lako la online limetusaidia sana
Shukran sanaa❤️❤️
Mimi sijui kabisa
Mi nashindwa vitunguu vywa kunyonga dada
Uko vizur dada farda asante san naomb unifundish kusuk notres
Kukupenda tu mwalimu wang
Mimi nataka nijue alipo niende kujifunza
Habari za kazi da Farida mi nashindwa kuweka penseli vizuri jamani nifanyeje mamy
Asante sana dada ila me nikisuka nywele zinatokea juu nashindwa kuelewa nakosea wapi dada angu❤
Da farida me nakupenda bure
Naomba nioneshe jinsi ya kushona apo juu
Asante Dada kwakukutuelekeza nimeelewa kwer mm huwa najaribu lakini nashindwa kuzishika vizur hizo raster ninazokuwa naongeza hivyo huwa haziniletei muonekano mzur nifanyaje?
Ila chaneli yako imenivusha sana ubarikiwe
Thanks da Farida. Ila pls, nashindwa jinsi ya kuongeza rasta jtk kusuka yebo yebo, tafadhali natamani kujua
Nam dada ndo naanza.kujifunza naomba kujifunza kwako.make.unafundisha vzl.mngu.akubaliki sana ameeee
Naomba nijifunze yebo penseli dada
Ur the best 💞
Dada Farida hongera San kwa sas naelew sema tatizo ambalo ninalo ni mwanz ambapo natakiwa kuchong bado sijaelew
May God bless you 🙏
Asante Sana Dada farida lakini ndio naanza kujifunza sijui nifunze
Hongeraa sanaaaaa
Da farida hongera sana ila mi sijaelewa namna ya kuongeza rasta
Hongera
❤ 12:07
Nimependa jinsi unavyofundisha
Nimelewa
Nimependa mafundisho naomba nielelekezwe jinsi ya kusuka twist passion
Jaman nimeshindwa kuelewa apo mbele jinsi y kuazia na kwenye kuungaa
Da Farida mapenda sana mambo ya urembo naomba nijifunze nawe Kila hatua
Karb sanaa
@@faridaothman asante sana dada
Naomba unionyeshe kwongezea rasta ikuwe size moja
Nashukuru dafarida yeboyebo kwasasa nakula hela ila naomba kitu kimoja utufundishe aina ya nywele flani zinaitwa zipu ubarikiwe Kwa kazi ya mikono yako
Naitwa lornah natokea Kenya je nataka kujua kusuka.nitajifunza na pesa ngapi za Kenya
Nataka kujifunzaa
Nice
Asante kwa darasa je mwanzo unaanza na nywele yake au na Rasta??
Asante San dad🌹❤️
asante sana mom hatimae najitaidi kupitia chanel yako
Dada asante mm naomba unielekeze jinsi ya kusuka upande wa kushoto inanitesa sana jmn
dada farida mm nataka msahada mimi leo nime suka yebo lakini nyele zina chomokea nje ya rasta najaribu kusuka lakini nashindwa😢
Yaan jaman unajua kufundisha dada bigap
Asante dada farida kwa mafunzo mazuri ninasuka yeboyebo lakin nikisuka haing'ai kama zako pia nashindwa kuchonga mbele hata nijitahid je nifajaje?
Mungu akutunze my❤️❤️❤️❤️❤️🙏🥱
Asant dada Farida unafundisha vizuli cana
Kwaiyo kuongeza hatua moja moja haiwezekan
Farida mamy mm inanishinda kuaza apo mbele, nataman nijue vizuri kusuka yeboyebo mana ndo nywele inayotrend , nakupenda mafunzo yako barikiwa mno
Asante dada
Nimependa video Yako naomba unionyeshe twist
Asant mwalim
Nakupenda napambana nipate hata lak tatu nije Nina salon sijui kusuka napata tabu Sina wateja sababu sijui kusuka