Pole mama mungu yupamoja nawe yote yatapita… nahuyo bwana atakula pesa zote na zitaishaaaa na atarudi kuwa maskini km ulivyo patananae zaman in Jesus name amen 🙏
aise ukiongea vibaya utakuwa shetan dada huyu ni mkwel alafu si wa shoo ofu anachotaka ni msaada wa serikal na anataja mtu kwa majina kwa kujiamin.makonda awaite wote
Atahurumiwq na Mungu kama ni kweli mume aliyechuma nse kwa uchungu akumuhurumia unafikiri1 huruma xa watu wengine itanisahidia? Pole yupo Mungu mwenye huruma atayenda dear usimuhurumie
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
Pole mama mungu yupamoja nawe yote yatapita… nahuyo bwana atakula pesa zote na zitaishaaaa na atarudi kuwa maskini km ulivyo patananae zaman in Jesus name amen 🙏
Daaaaah ila dunia hii ina neema nyingi sana zilizotuzunguka sisi wanadamu neema ambazo huwezi kuzijua mpaka neema hizo zikutoke
Dada muombe saaana Mungu atakujibia mwanaume ukimfata saaana anaona bado unampenda
Huyu mama ni mkweli mimi namjua sana alianza kumhisi mume wake muda mrefu.ila ndio yakatokea haya. Anapitia mengi tumwombee
Yaani pole tu kwa kweli dada, uuuw wanaume wanaume wanaume
aise ukiongea vibaya utakuwa shetan dada huyu ni mkwel alafu si wa shoo ofu anachotaka ni msaada wa serikal na anataja mtu kwa majina kwa kujiamin.makonda awaite wote
Angekuwa mjinga au hana uchungu angekubali kuuza nyumba
❤❤❤❤❤
Pole sana mwanamke
Ndomambo ya ndoa hayo, sio mambo mageni hayo
Sasa huyu nimemfatilia jamani ameniuliza roho
Sana wanawake tujigunze kwa huyu mwenzetu aya mambo yapi
Ni nani atamsaidie huyu dada Jamani?
nikweli huyo mama namjua namume wake namjua pamoja nawatoto wao nilishawahi kukaa kwake
Huyu dada asaidiwe ni mkweli kabisa
😢😢
Pole sn
sabina hayupo kwa shoo wala kutrend haya si madogo ni vema apatikane mume aliyekimbia.gar zitaozea polis had wamalize kesi
😭😭😭
sabina hayupo kwa shoo wala kutrend haya si madogo ni vema apatikane mume aliyekimbia.gar zitaoz 12:30 ea polis had wamalize kesi
Huyo mwanamme kipo anchor tegemea ndio maana anakua jeuri
Mtangazaji kaanza kuwa buwa
Tunapewa story mwandishi amezidisha maswali kama Hakim
Mtangazaji katuharibia story jinga kabisa
Siwez ona huruma kwa huyu mama. Cjui kwann
Utakuwa ni ndugu ya aliyekuwa mume wake
Wewe ni shetani utaonaje huruma😂😂😂😂😂
Hujalazimishwa uone huruma
kweli ww ni shetan mm mwenyewe machoz yamenitoka
Atahurumiwq na Mungu kama ni kweli mume aliyechuma nse kwa uchungu akumuhurumia unafikiri1 huruma xa watu wengine itanisahidia? Pole yupo Mungu mwenye huruma atayenda dear usimuhurumie