Safi Sana ndugu yangu kangeta Nimefuata nyayo zako bana nimeanzisha TH-cam channel inayohusu kilimo na mifugo nikiwa huku Israel unaweza ichek ukiwa na mda nejaribu kuweka Mambo ambayo yanafanyika huku Israel kwenye kilimo tukiyaiga na sisi tutafika mbali
Hongera!!!
Safi Sana ndugu yangu kangeta
Nimefuata nyayo zako bana nimeanzisha TH-cam channel inayohusu kilimo na mifugo nikiwa huku Israel unaweza ichek ukiwa na mda nejaribu kuweka Mambo ambayo yanafanyika huku Israel kwenye kilimo tukiyaiga na sisi tutafika mbali
Channel ako yaitwaje
Bwana shamba
Maelezo hayaeleweki hakuna mpangilio sahihi