#LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- @vugaonlinetv
Join this channel to get access to perks:
/ @vugaonlinetv
#vugaonlinetv, #siasatz #zittokabwe #jussa #mazurui #mikutano #mazurui #politics #actwazalendotv #omo #
Sisi Wengine Tumepoteza Umri wetu kwa ajili ya Kupambania Nchi Hii iwe na mamlaka kamili, Tunasema Hatukubali na ujinga ujinga sasa basi
#LIVE 🔴MKUTANO WA HADHARA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO #KIVUNGE KASKAZINI #UNGUJA #ACT #OTHMAN #MASOUD 2.2.2025
Othman ndio mtu pekee mwenye uchungu na Zanzibar na wananchi wake kura zote kwa viongozi wa Act wazalendo 2025❤
Asante Mazurui unasomeka vyema tena uko sawa. Waambie waone na wahisi aibu na wafiche hizo aibu zao.
Mwaka huu watawajaza kibaoo aowapiga kura kutoka Tanganyika kwasababu Wazanzibar wote hawaipendi hiyo ccm 😮
❤❤❤..
Othman masoud othman InshaAllah 2025 ni rais wa jamuhuri ya watu wa zanzibar
Ndugu msikubali kuendeshwa na TANGANYIKA, piganieni UHURU wa nchi yenu ZANZIBAR.Mrudisheni kwao MKURANGA , tunahitaji viongozi WAZANZIBARI , sio watu wanaoletwa kutoka TANGANYIKA.
Ndugu msikubali kuendeshwa na TANGANYIKA, piganieni UHURU wa nchi yenu ZANZIBAR.
Maneno ya njaa kali na tamaa za pesa Tu hamna kitu ndio yale yale
shida kupewa nchi
Nani alieona apo muheshimiwa othman masoud akikwepa mkono wa mwanammke au nimeona mm tu wazungu usishangae wanaweza kupiga zogo amemdhalilisha bila ya kujua kwa muislamu ni haramu kugusa mkono wa mwanammke ambae sio mahaarim wako kwa maana asiekuwa mkeo mama ako watoto wako na wale ambao sheria imewataja
Kama huna D mbili huwezi kumuelewa huyu mwamba othman masoud othman
Ulikuwa wapi Muheshimiwa miaka yote hiyo sijakusikia kusema virginity kama ivo. Naturalisation kuisikia sauti yako leo Allah akupe umri mrefu. Namtaka Jussa+Mansour niwasikie nawo.
WATANGANYIKA wakapige kura kwao TANGANYIKA.
2020 ccm haikushinda Uchaguzi walipewa sio wao na tume yao ya ccm.
Uchaguzi ni siku moja tu.
Ana sijida la UNAFIK
WATANGANYIKA wasiruhusiwe kupiga kura ZANZIBAR, kura ni ya WAZANZIBARI.
Waondoeni WATANGANYIKA wote walikuwa kwenye serikali ya ZANZIBAR, ZANZIBAR inahitaji viongozi WAZANZIBARI.
Kesho ratbag wp
Miaka yote Uchaguzi ni siku moja Ulimwenguni mzima.