Penda sana kaka hii nyimbo imenibariki sana na ile nyingine inasema nenda wee nenda nimekusamehe wee nenda 😢😢😢 ilifanya nimsamehe baba yangu alitutelekeza toka tukiwa wadogo MUNGU WA ELIYA akuinue zaidi ufikie ngazi za juu kuliko wafalme huo siyo wimbo tuu ni ibada barikiwa sana
Watching all the way from Thika. Feeling very blessed. Wishing i can meet you live. May God's blessings be upon you, your family and your entire community.
HELLO SUBSCRIBE Kama unamkubali mwamba ❤
Nipee bro
@@ronaldoledama1007 uko wapi?
God bless brother nyimbo zako zinanijenga
Hakika ✍️✍️
Mungu akubariki my brother Paulo...nko Kenya lkn napenda sana nyimbo zako za mungu
Hakika 🔥🔥
Penda sana kaka hii nyimbo imenibariki sana na ile nyingine inasema nenda wee nenda nimekusamehe wee nenda 😢😢😢 ilifanya nimsamehe baba yangu alitutelekeza toka tukiwa wadogo MUNGU WA ELIYA akuinue zaidi ufikie ngazi za juu kuliko wafalme huo siyo wimbo tuu ni ibada barikiwa sana
Wow Mungu akutunze sana, Dada yangu, nafurahia kujua mnatilia maanani mafundisho
Paulo siria ...inajua sanaa....penda sana nyimbo zako jirani angu wa donyomurua❤❤
Amen 🙌🙌🙏
Amen 🙌🙌🙏
Wow Paulo siria sijuiii nikupe nn ndugu yangu bat Mungu akubaribu sana jembe wetu umefanya mila yetu iheshimiwe
Hallelujah, Jina la Yesu Kristo litukuzwe
Hallelujah, Jina la Yesu Kristo litukuzwe
Mungu akuonekanie Paul siria uedelee
@@ElizaSankale hallelujah ✅✅❤️
@@MtazameKristoTv ambia Paul siria tunampeda Kama nyama pia nyimbozake wachekunyamasa sana achangamke kwenye Wana coment yeye
Wow! That's good bro lai omelok 💗. God bless you abundantly. Glory to God who have done it to you
Good and glory to God who raised him
Nakupendaa sana mungu akutunzeee siku zoteee za maisha yakoo
Hakika ✅✅
I am watching from kibish the border of Kenya and Ethiopia
God bless
Glory to God be blessed wherever you are
Wow wow wow very amazing my brother watching from Dubai
Thanks and welcome
Mr Paul God bless you in Christ name, for good job that you are doing well done
Amen glory to God 🙏
❤❤ ndugu yangu Paulo siria sina lakukupa ila Mungu atalipa God 🙏 blessing umetufanya ss Wamasai tueshimiwe sana du 🦁 amenguruma
Hakika ni Simba , Mungu anamtumia
Akika nimungu ametenda sio uwezo wako inyimbo ime nibarikiy sana watching from Ethopia kazi nzuri bro
Wow Amen ubarikiwe sana
Napenda Sana nyimbo nzuri sana for us 🇱🇷🇱🇷
Mungu akutunze sana ulipo
God bless you paul siria kila kitu ni mungu be blessed brother your becoming a testimony kwa wengi...
Kabisa he is an icon
Congrat a lot indeed ni Mungu imenifanyia ❤❤
Hallelujah ❤️❤️
God bless you my brother siria baki kumtukikia mungu ndiyo kulicho bakia kwa ulimwengu wa sasa ❤
Kabisa ✅🙏
❤❤❤❤
@@juliasmolellmolell4815 Mungu akubariki sana
Brother achia hii song ...itabariki wengi😭
Hii imeachiwa kitambo na inaendelea kuwabariki wengi sana
Kwakweli kaka kwa wimbo huu
Umenibaliki sana
Ni wa baraka sana
Paulo siria tunangoja Sana hiiii wimbo
Tayari kitambo sana
Congratulations Mtazamekristo Tv Mungu akubariki Sana kwa kazi nzuri Sana
Glory to God ✅
Hakika nimebalikiwa mungu akuinuwe
Hakika 🙏
Mungu akutie nguvu mtumishi wa mungu
Amen 🙌🙏
Very nice song may God bless you abundantly my brother ❤❤❤❤❤
Glory to God ✅
Mungu akuzidishiee kibali may God bless you my dear dud
Hakika 💯✅✅
You are so amazing in music bro love your music 100% watch from South Africa
✅✅✅🙏💯🔥
kazizuri kaka nikweri kabisa
Hakika ubarikiwe sana
Jamani Paulo mungu akibariki uendelee kutuimbia kiswahili nyimbo zako zinanibari.ila nilikuw Sina tafsir..
Àmen 🙌🙏
Amen this song makes me to cry thanks for the spiritual song
Be blessed my friend 🙏
Siria Baki tu kumtukia mungu maan ndo iliyo bakia rafk wng
Hallelujah ❣️
This song hits🔥🔥🔥🔥🔥am not tired of listening be blessed Paul🙏🙏🙏
Hallelujah ✅✅
A very nice song happy to see my lovely sister evar keep shining ❤
Glory to God 🙏
Hakika nimebarikiwa sana mungu akupe kubali na neema
Hallelujah ❤️
Kanyor wimbo sana continue rocking ❤❤
Amen keep enjoying
Penda nyimbo zako sanàaa❤❤❤❤
Amen 💦
Mungu akubari Paulo siri ninapenda sana wimbo yako ananikupusha mbali
Àmen
Can't get enough of this 😢, God bless Paul
Hallelujah ❤️
God bless you brother watching from the united states of America
Hallelujah 💗👑
wauh hii wimbo inahit Mungu akubariki following you sanar ❤
Hakika
Kweli kuheshimiwa n mungu amenitendea ,Amen
Amen 🙏
Tumsifu Yesu kirsto ❤❤❤
Milele Amina
Mungu akubariki chombo ya mungu.....❤❤❤❤❤
Hallelujah 💞
Lovely song bro keep up too.
Very nice
That's song is a massage from God and I miss to see that man
Sure blessings
God bless you my brother l like your music ❤
Glory to God, enjoy 💪🔥 and be safe
At least maasai imeomoka kuimba sio kitambo ilikuwa Vita tu ❤❤❤
🔥🔥🙏
Watching from Kenya, very nice song.
Sure ✅
The song slaps differently,, it's soo touching❤❤,, hats off Siria👏👏
God bless you
Mungu na azidi kukubariki na akupe kibali
Hakika 🔥🔥
Hongera sanaaa kaka
Kwa kweli Pongezi nyingi mno
Pafect continue man of God
Glory to God 🙏💪
ubarikiwe mwana wamungu
Hallelujah 🔥🔥
Watching all the way from Thika. Feeling very blessed. Wishing i can meet you live. May God's blessings be upon you, your family and your entire community.
Hallelujah ✅
Kwa kweli ni mungu nice one
Hallelujah hakika ni Mungu tu
Hello I'm watching your videos from Namibia Africa
God May keep you safe there
Paul siria nimejua sio mmi akh🙏🙏
🔥🔥🔥 Kabisa
Endelea Mungu akubariki
Hallelujah
Congratulation paulo 🎉🎉🎉
🔥🙌🙌🙏
Wow
Bro Paul much blessings
Àmen a great man of God 🔥🔥🙏
santii bro lai mungu akuonekanie popote pale ulipo
Hakika 💥✅
.....Jehovah all the way 🎉 fantastic
Hallelujah 💥
Congratulations broo big up🔥
Anajua Sana 🔥🙏🙏
God bless you siria you are touching ❤❤❤❤
Hakika this is a great man
Ubarikiwe man of God
Hallelujah 💟
Pongezi kwako mtumishi Kwa kuinua vipanji vya wasanii wenzako,opo ni mswKini
Hakika ✅✅✅
Wow what a beautiful song 💞
Hallelujah ❤️
Hallelujah ❤️
I like it carry on and be blessed 🙌
Amen 🙌🙏
Kaka hongera❤❤❤❤❤
Hakika
Uko vizir mtumishi was mungu
Hakika ni mbarikiwa sana
Hongera sana
💥🔥🔥🔥✅
May God bless you Soo much your passing great information to us
Wow glory to God
Watching from SA,,,i love this song can someone please translate for me😢
The whole message is God has done it for me
@@MtazameKristoTv thank you so much dear, God bless
@@nomsandlovu5444 Amen
Wow God bless you so much ❤❤❤
Hallelujah ❤️
💕 love this song
Be blessed 🙌🙏
Nice songs Paulo siria
🔥🔥🔥✅
What a song It's God ❤❤❤❤
Hallelujah
Mtanzame Kristo be blessed with Living God
Àmen God bless you
𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑎𝑘𝑢𝑏𝑎𝑟𝑖𝑘𝑖 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎
Kabisa hakika 🔥🔥✅
Congratulations 👏
Hallelujah 💕
Ninaishi narok laini naomba Paul atume number zake Niko na wedding nataka akuje
Paulo Siria 0769 782 852
Amen be Blessed bro
Hallelujah 💖
Always thank God Amen 🔥🙏
Àmen ✅🔥
Kweli wewe ni Shujaa wa imani.
Hakika 🙏
Poa xna bro lai Niko Kenya napends xana wimbo xako
Àmen
Kweli ni mingu
Hakika jina lake libarikiwe
Congratulations❤❤❤Paulo siria😅
Hallelujah ✅✅✅
Wow amazing
Àmen
Nice one
Enjoy 😍
Asana kwa kuimba na kiswahili
Ubarikiwe sana
Nice song
🙌🙌🔥
Amen Amen be blessed 🙌
Hallelujah ❤️
Gòd bless you
Hallelujah
Kabisa huyu ni jembe katueshimisha sisi wamasai waoo
Hakika kabisa ✅
Baki tu kumtumikia Mungu maana yy ndio hutendea tu mja wke
Hallelujah 💘
Amen 🎉🎉🎉🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
God bless you 😇❤️
Pamojadogosana
✅✅✅✅
Ameeen,glory to the Lord
Amen 🙏🙌
God must bless you
Hallelujah 💝🎁
God bless you
Amen
Amen🙏
Be blessed 🙌🙏