Dave Kuna kitu nlifikiria kukwambia kitambo ,a party from your studio ,kale karoom unawekanga watu uende ueke hidden camera ndio ukifungia watu hapo wakitoboa Siri zao uwapate kwa urahisi chenye wanaficha, hiyo ni maono yangu.
Dave round hii ni mission ya kuokoa maelluminati wewe sasa kua muombaji mungu akuongoze akutetee na akufunike na damu yake siku zote na popote uendapo Kila wakati tembea na yesu christo amen
Ni kweli hizi mission amekutana na ... story za illuminates ...but uzuri ya Dave yy ana amini.. Mungu sana..chenye hajui ni kuomba so..tukiwa huku tumuombee sana tushikilie imani 🙏
Tena nimeona paka yenye imekuja hapo imechanganyikiwa inakaa pepo may God continue using u dave to save innocent life from this devil who gave blood for riches .... may God cover you with his blood
Kenya inatiya woga, wa sichana, wa baba, wa mama , wote wanategemeya kazi ya mauwaji tu, na hawana woga, kama uyo demu, unajuwa alisha towa wasichana wangapi? Na wavulana wangapi? Na hana aibu, pole sana
Watch part 2.th-cam.com/video/9GwqUkKiaVs/w-d-xo.htmlsi=IX-H5S1fYdkUlPl8
Dave Kuna kitu nlifikiria kukwambia kitambo ,a party from your studio ,kale karoom unawekanga watu uende ueke hidden camera ndio ukifungia watu hapo wakitoboa Siri zao uwapate kwa urahisi chenye wanaficha, hiyo ni maono yangu.
Na Dave hii story utafte mkubwa wa hiyo shule ujue nn inakua inaendeleanga
Dave round hii ni mission ya kuokoa maelluminati wewe sasa kua muombaji mungu akuongoze akutetee na akufunike na damu yake siku zote na popote uendapo Kila wakati tembea na yesu christo amen
🙏🙏🙏🙏🙏
Ni kweli hizi mission amekutana na ... story za illuminates ...but uzuri ya Dave yy ana amini.. Mungu sana..chenye hajui ni kuomba so..tukiwa huku tumuombee sana tushikilie imani 🙏
True 🙏
Hii kesi DCI Mark ndio angeezana nayo, huyo n kama Apostle
True ❤
Wee! Dave itabidi ukuwe pastor by force by fire juu hii kazi inataka mtu ambaye anamjua mungu kwa udani sana🙏🙏
Eee na kulive very holy na maombi kali sana ..tena sana ..hadi Anitta lazima a change pia
Ujue kuwa pts c kumcha Mungu n c pts wote wamesimama n Mungu w kweli
Aje sasa? Itasaidia? Wafungwe hawa devil worhippers
Dave usifuatiliee hii maneno.....peleka boy child kwa church...😭😭😭😭😭
afuatilie aokoe wengine God has sent him
Aiiii bona asifuatilie,there others he need to deliver
@@TabithaWaiharo-f9gAkifwatilia wataanza kumwandama
Dave okoa huyu boy alfu pia ni vizuri ujulishe hii maneno mkubwa wa hio shule aki Mungu awalinde watoto wetu aki
Si labda wame silikiana
Maybe mkubwa wa shule ndo kazi yake umesahau magrate macharia
Dave mungu amekuchagua kuokoa watu. Omba sana mungu akuprotect
Hizi hukuwa drama, stage managed..its for entertainment tu ...uziichukuliwe kwa uzito
Amina 🙏🙏🙏🙏, Dave amechaguliwa na Mungu.
Thanks a lot senior Dave for the work you have been done may the a
Almighty Father bless you abundantly 🙏🙏
Yani Dave you should be writing a list of all the people umeokoa
Good job
Angel!
Kenya imejaa mashetani !GenZ !wengi hawana roho
Walking side by side with someone you "love" knowing, to well in a month's time, anakumaliza. 😢😢😢
Ooh God protect our childrens
This lady anafaa apelekwe church and immediately after church apelekwe police station
Churches are sacrificial butchery 😢😢
😂😂😂😂
@@MariethaAgricola-xi9sz ama vipi
Wee kusurvive nowerdays ni neema ya mungu evil everywhere
May God expose all evil in this country in Jesus name
God's power is much stronger against evil🤲🙏... This is the reason why this lady give in after she was resistance.. God expose them on day light
May the blood of jesus christ cover you guys in jesus name 🙏
Ooh my God,kwani tunaishi Dunia Gani😭😭
Tunaishi KENYA 🇰🇪 MPYA
@@rosemuthoni8109 Very sad😭😭Yaan illuminate hawataki watu wazee,inatka young generation,May God protect us from such evils🙏
Shakahola😢😢😢😢
Great job senior Dave❤
Dave you must have been sent by God ... kindly expose that pastor and church
eeh! okoa maisha
Ndii hyo pastor Elius amegeuka paka 😅😅😅😅,,,,,, Anyway may God protect that's boy and a family in Jesus name amen 🙏🙏
Kumbe umeonae.... Ata Mimi nimeona akigeuka paka na camera man akaizoom
Kwani pia watu wa devil ukosa pesa? 😅😢😢
Senior Dave tafuta huyo pastor akuje kwa show n pls be a prayerfully man
Dave is prayerful man amepigana vita Hadi ya illuminati na akashinda I salute you Dave
Dave peleka huyo kijana Kwa church atenganishwe na kifo haki aombewe
Ushawai jua watu wenye huwa wanatoa watu sacrifice huwa hawaongopi hata wakishikwa 🤔
Am watching from Uganda. But Sir please put subtitles to yo shows its needs to go international.
LORD HAVE MERCY
Boychild run to safe your life
Na bado ako na nguvu ya kubishana
Lakini nairobi mmezidi
My God this is KENYA 🇰🇪 New (KENYA NJERU)
Waaah this Lady is sick .Jesus please protect our young men.
Dave this is a police case although today we have no kenya police
Ama tutumie serikali ya Uganda au TZ
Ama tutumie serikali ya Uganda au TZ?😂😂😂😂😂😂
Ila kenya mko aje jamani😢😢Dave Mungu Atakumia kwakweli uwetu pastor 👌🇧🇮🇨🇦🇨🇦🧚♂️
𝕄𝕓𝕦𝕣𝕦𝕟𝕕𝕚 😅😅😅𝔸𝕟𝕒𝕞𝕥𝕦𝕞𝕚𝕒 𝕤𝕚 "𝔸𝕥𝕒𝕜𝕦𝕞𝕚𝕒"
Dave peleka hunyo kijana church aombewe plz msaidie then hao mapastor waanike ndio waachane na hinyo story wataongopa
Senior Dave you are on a mission be prayerful
Jesus Christ save our children from evils please
Thank God the guy is safe 🙏🏿 🙌
Uwiiii wonder's shall never end.Almighty God protect our kid
Kenya mambo imechemka.. thanks sana Mr Dave.. Kee it up
God protect the innocent ones hii dunia inaisha
Dave umetumiwa na Mungu kwa kazi loyalty Yako umefanya na zingine aky Yako inasaidia
Very true Senior Dave is a God sent in this work....
Mr Dave i like your shows ukiwa na DCI Fred haki,congratulations....hebu enda kwa Alfoga umsaidie haki kumedhoka huko,we need help from you guys
Women love for soft life, has led them to do the craziest stuff unimaginable.
Sure
Young people hawataki kufanya kazi hawadai kuchoka imagne sacrificing other innocent men ooh God have mercy this generation is rotten
Wueh,, this is so shocking,,am happy the young man is saved
Dave Mungu amekutuma kuokoa roho usi give up Mungu you pamoja na wewe
Thank you Dave God has used you to save life
Dave you're a God sent
Tena nimeona paka yenye imekuja hapo imechanganyikiwa inakaa pepo may God continue using u dave to save innocent life from this devil who gave blood for riches .... may God cover you with his blood
Wapi,,,,sinjaona😮😮😮
@@eunicewanjiru5162imepita hiyo paka
man foward izi cases asap! huyu alale ndani aswahi tolewa
Aty utatembea hvo utataka viatu this girl oh God
Boy child run for ur life unahitaji maombi ya nguvu aky God akuprotect sn
Weeeeee mungu wangu what a devil
Dave hii mambo ya sacrifice na ushetani imezidi,mungu atusaidie😊
Walae huyo boi n mpole Ingekuwa n Mimi Ningekuwa nimemunyonga mara kama 5 Akufe kuu
Never try to wear those shoes,they will monitor your movement using them.
One thinks is about my parents that think isn't good at all
Waaa senior Dave mungu hua anakutumia sana kusaidia watu god bless your au nimesema uongo wadau
God,,,not god please......
Nanikweli hio kiatu Iko na 🌟,shindwe in Jesus
Mfukuze huyo Mzee aliyebeba begi aliye simama pembenj
Dave utawezana na hii vita ukicombine na nguku wa nguli na ndollo na njagi but you will win in Jesus name tutakuombea
Plz hyui kijana apelekwe tu church afanyiee deliverence
Eti mahogany hotel 😂😂😂aki dave wee
Dave Mungu anakutumia xna na kukupea njia, so be careful xna na kuomba mara mingi 🙏
Davee pls expose this Pastor so that the school does not loose ny more kids ...this gal is wicked killing her own friend
mkobozi na malaika wa mungu l ❤you umesaidia huyo njamaa weee
Mpeleke polisi David siyo kanisani
Hiyo paka ndio pastor Elias
😂😂😂😂😂😂
Enyewe dave we ni God sent be blessed
Run for your life young man . Utatolewa kafara.
Gaii 😢😢😢😢😢😢watoto wetu mungu wng kwan dunia imeisha na mm cjui
Hii no police case senior Dave, please involve Dci.
Na anatapika mbone Kenya 🇰🇪 ujinga iko mingi,senior Devo huyo mujinja haumiyitiye 👮♀️?
Dave kwanza sugulikia kijana mpelekea church
Mungu wangu tena ulliminat dave take over 😮
Dave usiwahi wacha hii voluntary job..... You're God sent to save people
Senior dave mpeleke kanisani huyo msichana
Hiyo paka imetumwa🤣🤣
😂😂😂😂
Dave saidia huyo kijana na wazazi wake,na wanafunzi wanaopangiwa kuuliwa na huyo demu asikubaliwe any school in Kenya waa mungu saidia kenya 🇰🇪
Kenya imeoza.watu waokoke.mungu wangu.🙏🏾
Wooi Gai shule gani
Wooie watoto wetu wameisha aki,God
Kenya imekuwa sodom na Gomola.Jesus keep our children safe.
Kwa hiyo shule aexposiwa uko ameua watoto wengi Sana huyu afungwe na babake
😮😮😮 boy child unakataa shule juu ya mapenzi ama no brain wash 😢😢😢
Ghai mwathani 😮
Ni mungu tu
Mimi nauliza kwa Illuminate huwa wanaenda kufanya nini na vile wameparara
Senior Deve ona paka Iko hapo weee🤔🤔🤔🤔🇰🇪
Camera man, huyo paka ndo agent wa pastor
Maskini😢😢 dave musaidie huyo kijanaa 😢😢😢
Dave leo umeamua mastyle ni deadly! deadly !unaona vile unanengua kiuno😂😂😂
I feel for this boy haki. God protect Kenya
Hee boy child run for your life!!!!!
Senior David, umpeleke polisi huyu Dada
Mashetani all over ohh God protect us with blood of jesus
Kenya inatiya woga, wa sichana, wa baba, wa mama , wote wanategemeya kazi ya mauwaji tu, na hawana woga, kama uyo demu, unajuwa alisha towa wasichana wangapi? Na wavulana wangapi? Na hana aibu, pole sana
Dave peleka huyu JAMA Kwa church
Paka imetumwa weeeeh
Iyo church Iko wapi tuchome Hawa wachawi 🤦😭
Waaaaaa aki huyu aende to church then police imagine the innocent lives taken aki God indeed works in His own ways
Dave ambia huyo boy aende kanisa😢😢😢😢😢😢😢
Dave peleka huyo kijana church aombewe please.