Hivi Tanroads ule utaratibu wenu wa kujenga barabara katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam umeishia wapi? Huku Salasala mmepatupa kabisa, Yani barabara ya lami hakuna, maeneo mengi hayapitiki na hayafikiki nyie wala hamjali wala hamjali wala kufikiria.
Hongera kwa juhudi zenu, vipi kuhusu daraja la juu la jangwani tuliambiwa pesa Ilipaikana
Kazi badi ipo kwani hiyo michanga inawekwa kkwenye kingi za mito bila kushindiliwa Mvua kubwa zikinyesha michanga yote itarudishwa kwenye mito
Haijawahi tokea oparesheni kama hii mama anapiga kazi jamani hapo awali watu walikuwa wanapiga tuu kula kodi zetu
Hivi Tanroads ule utaratibu wenu wa kujenga barabara katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam umeishia wapi?
Huku Salasala mmepatupa kabisa, Yani barabara ya lami hakuna, maeneo mengi hayapitiki na hayafikiki nyie wala hamjali wala hamjali wala kufikiria.
mbona sisi watu mashewa wilaya ya korogwe hatutiliwi lami tangu m bunge kingazi akaja majimalefu na sasa ni m bunge mzava je hili nalo sitatizo
Tumieni iyo mito kama bustani