Price tunayolipa kufanikisha our dreams| Mtanzania aliyejiunga na jeshi kisa content zang💪🏻

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @EliaJohn-l9q
    @EliaJohn-l9q หลายเดือนก่อน +3

    Daaah kweli bro umeongea pia hatakama sisi elimu yetu ya shule ndogo tutatumia kila njia tufike malengo yetu it is important to trust god in everything🎉🎉🎉🎉 I mean god is good❤ kikubwa jitihada from Dom city🎉🎉❤

  • @Ashi_Mushi
    @Ashi_Mushi หลายเดือนก่อน +3

    waaahoooooo ongera sanaaaa kwake... i am the NEXT

  • @webstermulenga3039
    @webstermulenga3039 หลายเดือนก่อน +1

    Keep on saying the truth brother. We glad we got yh mshana

  • @JosephDamiani-ci2lj
    @JosephDamiani-ci2lj หลายเดือนก่อน +2

    una ni inspire sana!! nataka kujiunga na jeshi la ulaya

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland หลายเดือนก่อน +2

    Unanipenda hasira mzee nashindwa hata cha kufanya ila ngoja tuongeze juudi mkuu from mwanza tanzania brother 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @NasibuMbaraka
    @NasibuMbaraka หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mmoja tyu ambaye unamjua but uko na watu wengi una WA inspire

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali sana mshana from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @rahimsaid-sj2bl
    @rahimsaid-sj2bl หลายเดือนก่อน +2

    Hatar sana your boy sadbwoy....una influence kubwa sana

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana bro mshana hii vlog unaongea kwa hisia kweli kweli ila ucjl tupo pamoja sana sisi pia Tuzidishe jitihada ya Mafanikio for futures

  • @NasibuMbaraka
    @NasibuMbaraka หลายเดือนก่อน +2

    Big up bro kwa hii elimu

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 หลายเดือนก่อน +2

    8:01 bado

  • @johnjplusfood2135
    @johnjplusfood2135 หลายเดือนก่อน +2

    Wa Kwanzaa

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 หลายเดือนก่อน

    Well done!! Bro Mshaana

  • @SophiaChiloleti-w6n
    @SophiaChiloleti-w6n หลายเดือนก่อน

    God blessing Mshana

  • @Therealcurtis
    @Therealcurtis หลายเดือนก่อน +2

    👏🏾👏🏾🔥🔥

  • @brightonshango6824
    @brightonshango6824 หลายเดือนก่อน +5

    Unaweza kujiunga na jeshi la marekani hata kama hujasoma? Wengi wetu tunataman ila elimu yetu n ya form four na hatukupata hata cheti

  • @augustinejames2416
    @augustinejames2416 หลายเดือนก่อน

    Nipo Mwanza

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 หลายเดือนก่อน +2

    Tupo pamoja kk

  • @naimuothman3493
    @naimuothman3493 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka bana. Aslam alaykum em tunaomba japo skumoja tufanyie video Moja vip uliweza kudriving left hand uko marekani please am from TANZANIA but am lingi in Zanzibar

  • @highlights973
    @highlights973 หลายเดือนก่อน +2

    brother mshana unaniinsipire sana kuna interview ya cybersecurity ya TCRA nimeifeli kizembe inaniuma sana ila kupitia video hii umeniinsipire sana

  • @priscusgodwin
    @priscusgodwin หลายเดือนก่อน +1

    Hello brother.. Umenishawishi siku nikipata nafasi ya Visa ya US (like DV).. nijiunge jeshi.
    Profession yangu ni Agricultural Engineering. Kwenye engineering za hapo jeshini hiyo ina vitengo vyake pia???

    • @priscusgodwin
      @priscusgodwin หลายเดือนก่อน +1

      Nimekutext insta pia.. username kama hii

  • @Bigsaint-xq7ur
    @Bigsaint-xq7ur หลายเดือนก่อน +3

    Good narration.
    I suggest you improve on your Thumbnail to make your videos more attractive.
    Well done bro, be safe there.

  • @SabriSaleh-ot5tv
    @SabriSaleh-ot5tv หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Assalamualaikum,nauliza je ukiwa mwanajeshi marekani unaruhisiwa kusoma?mfano kufanya Bachelor au masters degree programs

  • @DINASSOUR
    @DINASSOUR หลายเดือนก่อน

    Mshana next year tutakutana mwakani....panapomajaliwa...😅

  • @emanuelcholela8679
    @emanuelcholela8679 หลายเดือนก่อน +1

    Sifa zipi za kujiunga

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni หลายเดือนก่อน

    Tutafutie hata kazi za kulisha NGO'MBE huko marekani bro

  • @augustinejames2416
    @augustinejames2416 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kufahamu uliwezaje wewe kama mtanzania kujiunga na jeshi la Marekani ile hali wewe uraia wako ni mzaliwa wa Tanzania na siyo USA..... nisaidie kuelewa...nimekua nikifuatilia video zako na zinanifundisha sana... binafsi napenda sana kazi ya jeshi

  • @kabamjukuu800
    @kabamjukuu800 หลายเดือนก่อน

    How can i get u contact for more details my bro..and this my Gmail