ความคิดเห็น •

  • @kingoman7895
    @kingoman7895 4 ปีที่แล้ว +10

    Allah atawalipa kwa kila mwenye kutoa mchango wake wa hali na mali na ALLAH TUNAKUOMBA UMPONYE NDUGU YETU MZEE WETU SALIM na umpe nguvu mama yetu mlezi mke wa mzee salim Ameen nafarijika sana ninapoona umoja huu namuomba Allah nami niweze kuwa miongoni mwa watoa msaada kwa uwezo wangu Amiin

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 4 ปีที่แล้ว +14

    Dini ya kweli ni dini inayojali wagonjwa , wasiojiweza , mayatima , wajane na wenye matatizo mbalimbali !

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว +1

      Alhamdulilah dini zote zinajali wagonjwa mayatima na wasiojiweza ila kwa Waislam huwa mara nyingi huwa hawapendi sana kuonesha.

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว +12

    HD machoz yamenitoka jmn😭mbarikiwe sn Tena sn mungu atawalipa inshaallh 😢

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 ปีที่แล้ว +10

    Yote tumshukuru mungu wanaopata msaada na wasiopata wote tumtegemee allah

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 4 ปีที่แล้ว +9

    Allah atawalipa wote mlojitoa kumsaidia huyu mama na mumewe na familiar yake

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 4 ปีที่แล้ว +7

    Dunia hii bhana wagonjwa ni wengi wenye uwezo wapo lakin daa Tajiri anakufa na utajiri wake maskini anakufa na umaskini wake na wapo wanaokufa kwa kukosa msaada sitasahau nilipokosa pesa ya matibabu ya kansa ya shavu stage ya kwanza na mgonjwa akateseka mpaka kufa

    • @klaragreen7999
      @klaragreen7999 4 ปีที่แล้ว

      Acha kabisa ndugu. Tuombe Mungu atuepushe NA hya majanga..natumshukuru sn MUNGU

  • @victorkatiti8251
    @victorkatiti8251 4 ปีที่แล้ว +2

    Great blue skies (peter & paul) I’m impressed sana

  • @ibrahmwamboli9527
    @ibrahmwamboli9527 4 ปีที่แล้ว +5

    mungu awabariki na kuwafanikisha

  • @bakarichamshama1877
    @bakarichamshama1877 4 ปีที่แล้ว +3

    Ameen inshallah mungu awazidishie na nyie Millard ayo mnafany kzii nzrii Sana'a

  • @ahmedsuleyman206
    @ahmedsuleyman206 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah awajaliee nyote mlio jitolea kusaidia huyo mginjwa
    Amiin

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Allah awape Barka na nyie mlotowa misaada yote hiyo Allah atusimamishe katika njia ya haki sote Amiin YAARABIY Allah atampa takhif YAARABIY

  • @joycejoseph8632
    @joycejoseph8632 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awabariki na hawazindishie pale mlipotoa.

  • @maryclaralema2577
    @maryclaralema2577 4 ปีที่แล้ว +2

    mungu wetu atalipa kwa kila anayejitolea nampenda Sana huyu doctor anajua kumpa faraja mgonjwa, dini ya kweli ni dini inayomjali mgonjwa

  • @abdallamkingi1183
    @abdallamkingi1183 4 ปีที่แล้ว +2

    Kutoa ni moyo mungu awafanyie wepesi

  • @wendestiven7201
    @wendestiven7201 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki saana na awarudishie mlipotoa

  • @hjhj6230
    @hjhj6230 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah Kareem

  • @bakarichamshama1877
    @bakarichamshama1877 4 ปีที่แล้ว +3

    Ameen inshallah

  • @salimzaidi9203
    @salimzaidi9203 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tanzania wabarki watanzania kwa umoja mlio nao utapona baba twakuombea

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 4 ปีที่แล้ว

    Allah is great 👍🏻
    Allah will bless you more and more
    Insha Allah Ameen

  • @nickodemmwandambo8924
    @nickodemmwandambo8924 4 ปีที่แล้ว +1

    Maombi pia. Kuna neema izidiyo kwa watumishi wa Mungu mfano tb joshua

  • @lavieestbelle3263
    @lavieestbelle3263 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu awazidishie pale mlipo punguza..

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe katika biashara yenu

  • @zakirazakira7469
    @zakirazakira7469 4 ปีที่แล้ว +1

    Ata mimi nawaombey barak tele kwa Mungu

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah amponye .....hii ndo mitihan ya dunia na hakuna ajuaye kesho yake ukiwa tajir usimdharau maskin ukiwa mzima cyo ujanja wako ni neema ya MUUMBA wetu

  • @khairatjecha3635
    @khairatjecha3635 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atamuaaf

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 4 ปีที่แล้ว

    Dactory umenibariki sana.

  • @neemamlay-om4bb
    @neemamlay-om4bb ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kwa msaada wenu

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 4 ปีที่แล้ว

    asanteni jamani mungu nimwema jamani mubalikiwe sana😍😍😍😍😘😘😍😍😍😍😘😍

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 4 ปีที่แล้ว

    God bless you

  • @idyjumanne9796
    @idyjumanne9796 4 ปีที่แล้ว

    doctor taira kautaja uislamu Alafu akazuga dini ya kweli uislamu

  • @luqmanhamed9710
    @luqmanhamed9710 4 ปีที่แล้ว +1

    Angalau video haina dislike nimefurahi sanaaa👍😊

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 4 ปีที่แล้ว

    Amin 👏👏

  • @harounali9057
    @harounali9057 4 ปีที่แล้ว +2

    Sawa doctor kwa mawazo yako ulipo sema Dini ya kweli ni pale unapo jali ya watu ume sema kweli lakini mimi yangu haya.
    Kuwa na Dini watu wengi wana jinasibihisha na dini lakini jee wana imani na dini yao au yake huo ndio mtihani.
    Kutowa kuna hitaji imani na sio lazima uwe mkriso au muisla.
    Mimi nilivyo mfaham doctor kama ana ulizia mko wapi waislam na ndugu yenu huyu ana teseka?
    Subhanallaah mimi kila niki fatilia hii natokwa na Machozi.
    Namuomba Allaah subhanahu wataala awajalie kila la kheri na awafanyi wepesi na muzidi kumsaidia huyu mama na mumewe.
    Namuomba Allaah subhanahu wataala mlipe ujira makubwa mama huyu kwa kumuuguza mumewe.
    Aamin Aamin yarab alamin.

    • @cecilialyimo9236
      @cecilialyimo9236 4 ปีที่แล้ว +1

      Siri ya mafanikio ni kutoa na sadaka za kweli ni kusaidia wasiojiweza ni kwel kabisa docter mbarikiwe sana mjaojitoa

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      Ndio maana huwa nasema mbinguni wataenda watu sio kwa dini bali matendo mazuri. Uwe mkristo au muislam unaswali swala 5 lakini humjali jirani au ndugu yako na umepewa Mali kamwe huwezi ona mbingu. Hiyo ni hesabu rahisi kujua

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu uislam na ukristo ninini subiri ufe utajuwa dini ya kweli kwani ni dini ipi inazuia msisaidiane wee daktari hujielewi

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      Wivuuu huo😁😁 dini ni matendo baba!!!sio porojo porojo tu.

    • @hasanially9294
      @hasanially9294 4 ปีที่แล้ว

      @@ilovejesus9303 je mitume walitumwa kwa dini ipii ikiwa ni matendo haya shetani nae ana matendo

    • @hasanially9294
      @hasanially9294 4 ปีที่แล้ว

      @@ilovejesus9303 yesu kwako ni Nani

    • @hasanially9294
      @hasanially9294 4 ปีที่แล้ว

      @@ilovejesus9303 pauro ana maneno yake katika wakorinto wa pili mstari 7 aliye lala katika kiristo amepotea

    • @hasanially9294
      @hasanially9294 4 ปีที่แล้ว

      @@ilovejesus9303 na mtu akipotea mahali pake pabaya sasa jiandae kwa mambo mawili maana nyumba ni mbili hamna ya tatu pepo na moto sasa kazi keako