Rais Magufuli Alivyompa MIL 3, Mtoto Shujaa!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • MBELE YA JPM: Ajitokeza Mtoto Shujaa, Amkabidhi MIL 3!
    Ziara ya Rais Magufuli mkoani Morogoro imeendelea tena leo, baada ya kaunza jana ambapo alifanikiwa kuzindua barabara ya Ifakara.
    Akiwa Njiani kulekea wilayani Kilombero, ambapo atazindua daraja la Mto Kilombero, Wananchi wa kijiji cha Sanje wamesimamisha msafara wake na kuzungumza nae kuhusiana na kero zinazowakabili.
    lnstal GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 26

  • @cvanocharles6001
    @cvanocharles6001 6 ปีที่แล้ว +6

    Jembe Lipo kazini! ubarikiwe na Mungu

  • @jacobkajingati6065
    @jacobkajingati6065 6 ปีที่แล้ว

    hongera boss wangu nakukubali sana

  • @seraphinemyowela9210
    @seraphinemyowela9210 6 ปีที่แล้ว

    amazing & wonderful presdent

  • @وليدعلي-ظ3د
    @وليدعلي-ظ3د 6 ปีที่แล้ว +1

    mung akubarik rais wetu

  • @josephinedavid3072
    @josephinedavid3072 6 ปีที่แล้ว +1

    my presidaar lov u. God bless u

  • @charlssam5931
    @charlssam5931 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante BABA

  • @saidikijiu4176
    @saidikijiu4176 6 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akutangulie mheshimiwa.
    Maana bila kutokuwepo kwa choo/ vyoo kuna hatarisha mengi

  • @makungwadominico3374
    @makungwadominico3374 6 ปีที่แล้ว +1

    baba mungu akusaidie rais wetu

  • @King_186
    @King_186 6 ปีที่แล้ว +2

    Bila kupepesa macho, tutafika mbali kwa kasi hii ya JPM

  • @mohamedymwinyi
    @mohamedymwinyi ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @fredyomalla8241
    @fredyomalla8241 6 ปีที่แล้ว +1

    baba umetisha pigs kaz mbaba.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 6 ปีที่แล้ว +2

    baba tunakuombea mpaka tuzeeke jamani chaguo letu haaa

  • @kassimmandwanga8221
    @kassimmandwanga8221 6 ปีที่แล้ว

    MMMT, UWOP na vingine vyote vimekufa karibu mang'ula karibu kilombero

  • @josephs9465
    @josephs9465 6 ปีที่แล้ว

    mm

    • @fafa1219
      @fafa1219 6 ปีที่แล้ว

      asante baba

    • @cakeshoparushamalocake7794
      @cakeshoparushamalocake7794 6 ปีที่แล้ว

      safi

    • @monalisa7742
      @monalisa7742 6 ปีที่แล้ว

      tunakuombea baba safisha mafisadi wote na sisi wengine tuliokimbilia nchi za watu kutafuta kazi tuweze kurudi nchini kwetu.

  • @abdallahsalum6449
    @abdallahsalum6449 6 ปีที่แล้ว +3

    BWANA AKUTANGULIE

  • @issahmkwawa3948
    @issahmkwawa3948 6 ปีที่แล้ว +2

    Ni Mkombozi wa wanyonge hasa wakulima wadogowadogo, big up.

  • @saidikijiu4176
    @saidikijiu4176 6 ปีที่แล้ว +4

    Hapa kazi tu.

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 6 ปีที่แล้ว

    Wewe jembe bwana namuomba Mungu mwanangu aje kuwa kama Wewe

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 6 ปีที่แล้ว

    HALAFU 2020 UNAZUNGUMZA MASWALA YA FISADI LOWASSA? BIG BARLUNEY !!!!!!!!!!!!!!!!!

    • @danielmichael2755
      @danielmichael2755 6 ปีที่แล้ว

      godfrey mbwambo kiumbe mafisad unawajua? Bas huyu MTU ndii fisad mkubwa haijawahi tokea nakuambia ,ebu niambie kipind cha miaka 3amefanya nn hasaa? Niambie tu wala usiwe na hasira,baada ya hapo ntakujibu

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana jpm