For those who were waiting for this let's gather here while praying for Jay this journey was spiritual and ask God wisdom and knowledge how handle this
Mungu akufungulie njia, umjengee mama nyumba upumzike kulipa hiyo alfu tatu yako, davi sikia mawaidha ya dci na fans wako, ubaya uwa husikii, baraka zatoka kwa mzazi
Waooo DF look iko mwaa bt mama na SD I love everything about you DF, MAMA, SD,KITO and JAY GOD PROTECT YOU ALL MAY BE COVERED BY the PURE BLOOD of JESUS CHRIST
Fred your adviices are encouraging nd onanother level. Dave usibishane na DCI anakusaidia hadi kwa advices, ukifuata hizo footsteps utaenda mbali.Mtu hawezi fanya kila kitu lazima atahitaji msaidizi ndio afaulu. We also pray for the mission to be successful so that Jay is found wherever he is
❤❤devi nakupenda sana nskufatilia nikiwa Dubai .Frim 🇹🇿 ninanushaur hiyo nguvu unayotaka kujiludisha kwa msitu kwa watu waliotaka kukutoa uhai .Huruma zingine zipunguze hiyo nguvu mfanyue mzazi wako upate pepo ya kesho .Sijapenda unavyo mwambia pasta eti ukasaidie hao wauwaji waliokuweka kwa maji na kukuweka bangi puani tengua hiyo ksuri Dc kanyamaz ila najua na yy hajapenda .
Badilisha maisha ya mamako kwanza, yani umununulie mahali, umjengee, alafu uwendelee na kuokoa watu wa mungu, davi wacha nikwambie, ata bibilia inasema uwanze na familia yako ukiacha watu wako na njaa na upeleke pesa kanisani, pia huezi pata baraka, na sikwaubaya anza na mama kwanza
Dave still needs more deliverance; let's continue praying for him. David, remember kama wale magaidi lost their colleagues because of you, don't think even if you slaughter them an elephant, they will appreciate you. Pray for them, God, to save them. God has his own way of saving people: We have thousands of pastors in Kenya yet God have not sent them to the forest, so usijitume kwa kazi ya Mungu kama Mungu hajakutuma otherwise utaenda na Mungu hatakuwa nawe.
Ww sdave shukuru mungu alimtumia dci fred ukaokolewa SSA wataka kurud nenda pekeako cjui kama utarudi angalia hivi vdio zako ulizo okolewa ndio utaheshim huo msitu
Dave stop being stubborn. Listen to what dci is telling you. You are giving him difficult times. If you want to bring change to those guys, pray for them
Dave pliz sikiza advice kutoka pastor na dci mbna uko na mabishano sana hivi na ilhali mama ako kwa rental acha ujinga dave charity begins at home toa mamako kwa plot kwanza ak dave ujue anaendelea kuzeeka harudi nyuma sai yafaa mamako akuwe na kwake bt sio rental so toa aibu kwenu kwanza eeeish 😮😮😮😮😮
Samaani Devi usikubari kukosana na watumishi wa Mungu,Muombe Mungu akusaidie akuepushe na mabaya yote,Mungu awasaidie wewe na mke wako mludiane,muaibishe sheitani,Asanteni nyote kwa kushilikiana kumtafuta K tv.
Ujuaji wako Davie unachallange Freddie utajua hujui juu huelewi kuna mtu alipoteza maisha yake na walikujua wewe ndio ulifanya hayo yafanyike. Tulikuona vile ulikua anafanya cover up ukiwa Kwa maji. Sasa kama hutaki msaada wenye unapewa your argument doesn't make sense juu huwezi saidika.
Remember those guys in the forest;even as they were carrying senior to the car,reminded DCI that he manyuriad their leader!Be careful when handling that!They can revenge.
We love you mom and your team may God lead you
Thank you good people for sacrificing your souls inorder to rescue a soul, may the lord God's power go with you.,and succeed in Jesus name.
Amen
Mbona hamuoni look ya our DCI Fred ā golden heart
Waah.our D c I you look good.
DCI fred hiyo fashion style keep it up Fred
Bwana DCI you are doing good job, you need to remind Senior Dave to trade carefully... Atembee polepole adui ni wengi sana
Asante sana pst.nancy,huyu sasa ni real senior Dave
For those who were waiting for this let's gather here while praying for Jay this journey was spiritual and ask God wisdom and knowledge how handle this
Mum tumefurai kukuona God bless yuo
Good job pastor for the wordof God.
Mungu akufungulie njia, umjengee mama nyumba upumzike kulipa hiyo alfu tatu yako, davi sikia mawaidha ya dci na fans wako, ubaya uwa husikii, baraka zatoka kwa mzazi
Waooo DF look iko mwaa bt mama na SD I love everything about you DF, MAMA, SD,KITO and JAY GOD PROTECT YOU ALL MAY BE COVERED BY the PURE BLOOD of JESUS CHRIST
Senior's smile is killing, you are handsome maaan🎉🎉💕
Mungu awalinde na kuwaongoza.Mungu awafanyie njia pasipo njia mpate K tv 🙏
Fred your adviices are encouraging nd onanother level. Dave usibishane na DCI anakusaidia hadi kwa advices, ukifuata hizo footsteps utaenda mbali.Mtu hawezi fanya kila kitu lazima atahitaji msaidizi ndio afaulu. We also pray for the mission to be successful so that Jay is found wherever he is
❤❤devi nakupenda sana nskufatilia nikiwa Dubai .Frim 🇹🇿 ninanushaur hiyo nguvu unayotaka kujiludisha kwa msitu kwa watu waliotaka kukutoa uhai .Huruma zingine zipunguze hiyo nguvu mfanyue mzazi wako upate pepo ya kesho .Sijapenda unavyo mwambia pasta eti ukasaidie hao wauwaji waliokuweka kwa maji na kukuweka bangi puani tengua hiyo ksuri Dc kanyamaz ila najua na yy hajapenda .
Unamasna gani unaposema 'pepo ya kesho?
Badilisha maisha ya mamako kwanza, yani umununulie mahali, umjengee, alafu uwendelee na kuokoa watu wa mungu, davi wacha nikwambie, ata bibilia inasema uwanze na familia yako ukiacha watu wako na njaa na upeleke pesa kanisani, pia huezi pata baraka, na sikwaubaya anza na mama kwanza
Tunangoja kuona Fred akijidrive that's our humble prayer
Amen
In the mighty name of Jesus Christ Amen 🙏 very soon tuko na Imani kuu kwa mungu
Kube Dante you can cooperate in good missions too , congratulation for that change....you are a good soul now. How is Jerry???
@lucyconsolata8414 hope Jerry he is ok mahali alipo
@@rachelranyawa8866 aki asalimiwe sana. Have been praying for him
Akii Fred smile yako 🤏 dope
🙏🙏🙏
❤🎉sahiz nimefurahia sanaà kuwaona mko na displine nzur Dci Fred much love u
Am liking this company buana.
..yaani hapa story imeshika baya😂😂😂🎉
Team jay wote barikiweni sana
Mungu awalinde na kuwaongoza
Pastor amefufua vipawa za wimbaji nani agejua DCI ni mwimbaji glory to God
God be all on your side to safe Jay .God is with you and we BELIEVE AND TRUST IN JESUS MIGHTY NAME AMEN!!! 🙏🙏
Ameni Ameni mungu awaongoze director apatikane ohh yesu
Fred wetu miwani weee enjoy na mungu akubariki sana
I spick the blood of Jesus in each and every step of the way, tunawafunika na damu ya yesu, mtakua zaidi ya washindi,,,,
I love this ❤DCI❤❤❤❤
Dave still needs more deliverance; let's continue praying for him. David, remember kama wale magaidi lost their colleagues because of you, don't think even if you slaughter them an elephant, they will appreciate you. Pray for them, God, to save them. God has his own way of saving people: We have thousands of pastors in Kenya yet God have not sent them to the forest, so usijitume kwa kazi ya Mungu kama Mungu hajakutuma otherwise utaenda na Mungu hatakuwa nawe.
What do you mean madam
Atleast our mum is around,
Thank so much my friend s
We pray for director Jay
May God be with you and guide you all through. Jay will be found in Jesus Name🙏🙏🙏
I love DCI Fred ❤🎉
Mungu awafunike Kwa damu ya yesu .nawaombea mema nikiwa Oman uarabuni
All the best ❤ love you all mama Derrick mum wa nguvu all the from mombasa ❤❤❤❤❤
Ww sdave shukuru mungu alimtumia dci fred ukaokolewa SSA wataka kurud nenda pekeako cjui kama utarudi angalia hivi vdio zako ulizo okolewa ndio utaheshim huo msitu
Amen and Amen mungu yupo na nyinyie wote 💯🤲💯❤
Usiweke sikio kwa ujinga dave weka mungu mbele kila kitu itakuwa sawa mahali umetoka ni mungu
DCI Fred God bless you, and you talk to Davie and you advise him
Jengea mzazi dave
paster Nancy na DCI Fred tunakupenda sana
Mungu awafikishe salama mupate kufaulu kupata jei
SD, you need to walk with Pastor Nancy to help grow your faith. Yako iko chini kiasi
Aki labda jay amepelekwa kwenye senior alikua amepelekwa😢😢😢
Mungu awaongoza kwasafari mfike vizuri
Safe journey, walk with the lord amen amen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
May God protect you in Jesus name 🙏
My lovely DCI you are killing with those looks. 😂😂
Plz nataka no ya poster plz Dave plz🙏🙏🙏
Aki bangi yenye senior alipewa bado inakoroga akili...dave skiza dci and try to be obedient wacha kunishana
May God protect you and cover u with his blood 🎉
We pray for director jay 🙏
Our handsome fredie❤❤
God protect this team in Jesus name
Let God intervene in all ways 🙏 till we get our Jay back
Hivyo mumeenda na pastor nancy hakutaharibika lolote😢😢😢
DCI outfit poa sana.
Senior wacha kuongea hivyo Na vienye DCI freid aliteseka akikutafuta aki
Dave stop being stubborn. Listen to what dci is telling you. You are giving him difficult times. If you want to bring change to those guys, pray for them
Lakini senior anakuaga kichwa ngumu follow DCI instructions usijitie kwa shinda ukithani unaokoa
Hio team yote tunaipeda sana God is with you amen
DCI Fred amepiga luk
Naomba mungu awatangulie😢😢
Mnipe fred akk❤❤
May God bless you guys mission iwe sawa kabisa
K mimi nawPenda wuote❤
May our good Lord cover you with the blood of Jesus christ
God be with yuo on yuor way God will do it
DCI hiyo smile nayo inaua🤣🤣🤣🤣
Mungu hawasaidie kwa jina laki mfiki salama mpate true k
😊😊😊 kwelihuyo ni kasongo na kinjwa ngumu
Senior Davviey,,umefanya makosa kubwa sana kufukuza wambuu,,hio nayo Mungu anakuona,,,umesahau wambuu wat they face wakiwa na Freddy,,,,hujafanya poa
Dci umetulia sana mbona😢😢
Dave pliz sikiza advice kutoka pastor na dci mbna uko na mabishano sana hivi na ilhali mama ako kwa rental acha ujinga dave charity begins at home toa mamako kwa plot kwanza ak dave ujue anaendelea kuzeeka harudi nyuma sai yafaa mamako akuwe na kwake bt sio rental so toa aibu kwenu kwanza eeeish 😮😮😮😮😮
Fred twakupeda Bure .Gari twangonja
This is not the time to go there. First seek for wisdom and revelation. Pray pray and God will show you the direction senior.
Mungu awalinde sana mahali muwendapo na watungulie
DCI Fredrick your very smart
Samaani Devi usikubari kukosana na watumishi wa Mungu,Muombe Mungu akusaidie akuepushe na mabaya yote,Mungu awasaidie wewe na mke wako mludiane,muaibishe sheitani,Asanteni nyote kwa kushilikiana kumtafuta K tv.
Mungu amibariki sana
Fredi,I love your job and may God bless you
SD should know that he can't change lives of all trodden people in the world. Jesus said that we will always have poor people amongst us.
Good job
Nawatch nikiwa saudi all the best
Dave tembea pole pole upishi maisha marefu
UkiAchilia fredy sharing yako
Frediie n wangu forever walahi nikishuka 254 harusi tunayo
Dave kusaidia ni vizuri.but omba God akupee wisdom na uwe mtu wa kusikia uweche kihereheke mingi
Ujuaji wako Davie unachallange Freddie utajua hujui juu huelewi kuna mtu alipoteza maisha yake na walikujua wewe ndio ulifanya hayo yafanyike.
Tulikuona vile ulikua anafanya cover up ukiwa Kwa maji.
Sasa kama hutaki msaada wenye unapewa your argument doesn't make sense juu huwezi saidika.
DCI orders. SD follow the orders. Please.
Kazi mzuri wakuu
Naomba j apatikane kwa jina la yesu
Kwa kweli dave anasahau haraka sana
Remember those guys in the forest;even as they were carrying senior to the car,reminded DCI that he manyuriad their leader!Be careful when handling that!They can revenge.
I love u all team dave
Aki bangi wewe senior
Devi anacho sema fredi ni sawa, unaanza nyumbani kwanza, mm yako anahitaji sana kuwa na kwake. Na pia kunakufa hakuna anaejua kesho yake, fanya sasa.
Church ya pst jodhua is the best