MCHEZAJI MPYA SIMBA ATUA BONGO, NI STRAIKA wa MABAO, JUNIOR LOKOSA....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 156

  • @emmanueljohn7
    @emmanueljohn7 4 ปีที่แล้ว +47

    Aliyemuona shabiki wa Utopolo akipigwa na butwaa kwa mshangao a like hapa

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 4 ปีที่แล้ว +3

    Imooooooo oyooooooooo imeishaaaaiyoooo babaake hii ndo simba shooo shoooo🙏👍😀🔥🔥💪🏻💪🏻💪🏻

  • @fredyemmanuel4303
    @fredyemmanuel4303 4 ปีที่แล้ว +12

    Aliye muona shabiki wa yanga akimtolea macho lukosa lake zunu hapa😁😁😁😁😁😁😁

  • @cosmasdickson4941
    @cosmasdickson4941 4 ปีที่แล้ว +7

    Welcome Tanzania welcome Simba sc Taifa kubwa

    • @IgurusiAmcos
      @IgurusiAmcos 6 หลายเดือนก่อน

      Magazeti

    • @IgurusiAmcos
      @IgurusiAmcos 6 หลายเดือนก่อน

      Viongozi msitudanganye mwenye mitandao

  • @MachiaSeme
    @MachiaSeme 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu San simba

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 4 ปีที่แล้ว +3

    Kalibu msimbazi Simba nguvu moja 💪🏼

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila huu si utamaduni wa watanzania ktk kupokea wageni.
    Mimi ni Shabiki wa SIMBA ila sijapenda kabisa namna ya mapokezi yalivyokwenda. 🙏

  • @wilsonkimaro6375
    @wilsonkimaro6375 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKUBARIKI KILA MCHEZO UTAKAOCHEZA SIMBA ISHINDE NA UFUNGE MAGOLI ZAIDI YA MAWILI KUENDELEA YAANI UKAFANIKIWE KUISAIDIA SIMBA KTK MICHEZO YOTE YAKITAIFA NA KIMATAIFA, KARIBU SANA MSIMBAZI, KARIBUSANA SIMBA SC NGUVU MOJA NGUVU KAMA ZOTE, IMEISHA HIYO

  • @linucefurgence356
    @linucefurgence356 4 ปีที่แล้ว +3

    Chanel hii nmeikubal Sana coz mnatoa video make picha 2nakuwa a2ziamn💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼

  • @jamessichimata3100
    @jamessichimata3100 4 ปีที่แล้ว +6

    Ingekua ni Yeboyebo platnum fc, wangeandamana kwenda kumpokea.

  • @hadijamavumba567
    @hadijamavumba567 4 ปีที่แล้ว +2

    Karibu sana

  • @ramadhanirama6636
    @ramadhanirama6636 4 ปีที่แล้ว +9

    Sisi hawapokelew na vikundi wala vigeregere na wanatisha uwanjani. Chezea mnyama wew!

    • @elishatate9806
      @elishatate9806 4 ปีที่แล้ว +1

      Nnge kuwa wale wengine wange andaa na Mdundiko

    • @vanynadymhamad1996
      @vanynadymhamad1996 4 ปีที่แล้ว

      Yan mnawapend wazeee

    • @vanynadymhamad1996
      @vanynadymhamad1996 4 ปีที่แล้ว

      Anaingia Tanzania kw mbwembwe atarud kwao na kilio

    • @razakimikwanga4719
      @razakimikwanga4719 4 ปีที่แล้ว +2

      @@vanynadymhamad1996 baba yako mzee na mama ako

    • @ramadhanirama6636
      @ramadhanirama6636 4 ปีที่แล้ว

      @@vanynadymhamad1996 Ndio wanao tupa mafanikio

  • @piusiwerosi2854
    @piusiwerosi2854 4 ปีที่แล้ว +9

    Safisana mnyaamaa

  • @khadijamisayo7476
    @khadijamisayo7476 4 ปีที่แล้ว +11

    nimemuona utopolo kwa mbali anashangaa shangaa

    • @mwahijaismaily538
      @mwahijaismaily538 4 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe umeonaeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @edwardsoteli5261
    @edwardsoteli5261 4 ปีที่แล้ว

    Hii chaneli mko vizuri wengine waongowaongo sana

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 6 หลายเดือนก่อน

    Naapenda sana mijitu yenye sura za kikatili kama alivyokuwa Kagere.

  • @hendricksjohn6201
    @hendricksjohn6201 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu uwape nguvu viongozi wetu wawe wawe na jicho la kuona wachezaji bora

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu sio bondia kweli mmetuletea jamani😂

  • @neemasamwel7900
    @neemasamwel7900 4 ปีที่แล้ว

    Shikamooo simba

  • @dioncmusic402
    @dioncmusic402 4 ปีที่แล้ว +2

    Amezoea magar ya kwao reft hand alitaka akakae kwa dereva🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pendoelias4822
    @pendoelias4822 4 ปีที่แล้ว +1

    Karibu msimbaz

  • @michaelaloyce6439
    @michaelaloyce6439 4 ปีที่แล้ว

    Simba baba lao

  • @neemaraphael660
    @neemaraphael660 ปีที่แล้ว

    Simba nguvu moja

  • @hassanabo4214
    @hassanabo4214 4 ปีที่แล้ว +7

    jitu la mtumba kwa migori mijutu ya ivyo balaa

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 ปีที่แล้ว

    Welcome simba sc

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa simba hiyo ajiandae kurudi na mabegi yake.

  • @martinanappa9406
    @martinanappa9406 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kazeeka.

  • @njikunjiku9096
    @njikunjiku9096 4 ปีที่แล้ว +2

    Mpanda milima huyooo

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekubali limwili lake,Ila asiwe Kama yikpe😂

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa alichokua anashangaa nini uyo majini FC 🐸👈 au alitumwa na mzee mpili 😆😆😆

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @martinanappa9406
    @martinanappa9406 4 ปีที่แล้ว

    Huyo tunamkabidhi Abdall shaibu Ninja..Februar 20.

  • @fadhirimwaruka8789
    @fadhirimwaruka8789 4 ปีที่แล้ว

    Lackdube kaingia bongo simba vuzi moja nguvu moja

  • @malimusi-uf4ib
    @malimusi-uf4ib 6 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅😅lokosa wa miaka 900000😊

  • @gracesiwale7066
    @gracesiwale7066 4 ปีที่แล้ว

    Simba raha atunaga kiherehere cha kuenda kujazana aipot

  • @naimunaimu2312
    @naimunaimu2312 4 ปีที่แล้ว

    Bumbuli Kama nmemuona hapo na mtishet wake😂😁

  • @kyambarungwematv6828
    @kyambarungwematv6828 4 ปีที่แล้ว

    Kalibu mwamba Cha la wana

  • @ibrahimmusician2355
    @ibrahimmusician2355 4 ปีที่แล้ว +1

    Funga gori,ndo tunashangilia,hatushangilii ujio was mchezaji cc

  • @RaymondCharlesSaliboko-to6vx
    @RaymondCharlesSaliboko-to6vx 6 หลายเดือนก่อน

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 4 ปีที่แล้ว +5

    Ingekuwa malamiko fc 🐸🐸 mapokezi njia zima

  • @altojaphet3394
    @altojaphet3394 4 ปีที่แล้ว

    Apo ndo utaelewa kwann sis mashabik wa Simba na wale utopolo atufanan kaja kapokelewa na mwenyej wake inatosha ata atuna shobo utopolo jifunzen kitu

  • @jonathanjj.pachajjpacha9127
    @jonathanjj.pachajjpacha9127 4 ปีที่แล้ว

    Karb SIMBA NGUVU MOJA

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu kwanza unamkabaje?

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni Lokosa wa miaka miwili iliyopita. Acheni usanii.

  • @abdulishaban7795
    @abdulishaban7795 4 ปีที่แล้ว +3

    Ndo inatakiwa mchezaji aje ivi cyo unapokea mchezaji utafikiri unapokea m.pesa ya biko mpaka mchezaji anashindwa kujitambua kucheza anawaza mapokez

    • @azizaalmas9624
      @azizaalmas9624 4 ปีที่แล้ว

      Wanawatia presha Kisha wanashindwa kuonesha ubora kiwanjan,

    • @munarayes9822
      @munarayes9822 4 ปีที่แล้ว

      Karibu sana

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 4 ปีที่แล้ว +2

    Asiwe Sarpong wa Simba!!

  • @naftaliwilliam514
    @naftaliwilliam514 4 ปีที่แล้ว +3

    Imoooooooooooooo!!!!

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama vile nimemuona shabiki wa utopolo 🐸🐸 akirandaranda uwanja wa ndege maana mashabiki wa weng wanasifa za kupokea wageni

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 6 หลายเดือนก่อน

    Tatiz weng awajuw uwanj wa deng ndiy tatiz hilo

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 ปีที่แล้ว

    Utopolo wangejazana hapo Airport mpaka basi

  • @theofridmtulima3666
    @theofridmtulima3666 4 ปีที่แล้ว +1

    hiii!! siyo bob male huyo😱😱

  • @GideonEzekieli
    @GideonEzekieli 6 หลายเดือนก่อน

    Unyama mwingi

  • @michaelgideon625
    @michaelgideon625 4 ปีที่แล้ว

    Haya kazi unayo mwamnyeto na lamine Moro mwenzako Kwa mashine hiyo. Mpo hapo yaan nacheka Kwa mbali huku nikishushia Pepsi baridi.

  • @bensimon7330
    @bensimon7330 4 ปีที่แล้ว

    Sula lakazi

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 4 ปีที่แล้ว

    Naona.wanaongezeka.tu.simbaa

  • @geofreychalamila9778
    @geofreychalamila9778 4 ปีที่แล้ว

    Utopolo washamba wangejazana hapo kama manyumbu

  • @minaahussein5056
    @minaahussein5056 4 ปีที่แล้ว

    Utopolo nimemuona KWA mbali anashangaa simba sio washamba utopolo wangejazana uwanjani kumpokea wengine kuja kushangaa uwanja hahaha

  • @shalomabdalla3045
    @shalomabdalla3045 4 ปีที่แล้ว +1

    Good

    • @mohamedmussa3174
      @mohamedmussa3174 4 ปีที่แล้ว

      Hajapokelewa kwa shangwe huyo.

    • @likazengo5983
      @likazengo5983 4 ปีที่แล้ว

      Yanga ndo wanafanya hayo

    • @hassanali-ck2we
      @hassanali-ck2we 4 ปีที่แล้ว

      watu wako na kazi hawana muda wa kushinda uwanja wa taifa

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 4 ปีที่แล้ว

      hassan ali bali kujaa kwa kiwanja cha mpira co

  • @renathaalois2499
    @renathaalois2499 4 ปีที่แล้ว

    Wa msimbazi kwel huyu Hadi mavazi yanasadifu

  • @paulinamangi230
    @paulinamangi230 4 ปีที่แล้ว

    Katokea taifa gan huyu

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 4 ปีที่แล้ว

    Sijuwi

  • @samwelsteven1127
    @samwelsteven1127 4 ปีที่แล้ว

    Washamba wakuwafuata wachezaji uwanja wa ndege utopolo mfuarlteni na uyu basi

  • @buherokozi1097
    @buherokozi1097 4 ปีที่แล้ว

    Nimemuona

  • @lazarojr8923
    @lazarojr8923 4 ปีที่แล้ว +3

    Yaani mashabiki wa utopolo sijui huwa hawana kazi za kufanya hata inshu haiwahusu wanaenda tu hovyo kabisa hahahaa

  • @kacherosimba5762
    @kacherosimba5762 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣waiteeeeeeeee

  • @fredmabena6308
    @fredmabena6308 4 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndizo taarifa tunazotaka

  • @RamadhanSagondo
    @RamadhanSagondo 6 หลายเดือนก่อน

    nikweli jaman au masiala

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 6 หลายเดือนก่อน

    Raster fc,😂😂😂😂😂

  • @solemba595
    @solemba595 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh, at least angekuwa na mwenyeji japo amtoe kutoka mjengoni mpaka kwenye gari au hotel

    • @lubavaclassic7048
      @lubavaclassic7048 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwaiyo uyo mwenye jezi ya SIMBA nae ni mgeni?

    • @hamadintogwa5418
      @hamadintogwa5418 4 ปีที่แล้ว +1

      Duuuh kazi kweli kweli

    • @lubavaclassic7048
      @lubavaclassic7048 4 ปีที่แล้ว

      @@hamadintogwa5418 watanzania sijui tunakwama wapi?

  • @robertmrosso2901
    @robertmrosso2901 4 ปีที่แล้ว

    kimya kimya

  • @agnessjulius366
    @agnessjulius366 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa hana pigo za kilembo kabisa

  • @tellyandrew7030
    @tellyandrew7030 4 ปีที่แล้ว

    Wangekuwa Utopolo hapo ungeona umati wa watu na viti vya kubebea masultani!!

  • @lamecksitta4601
    @lamecksitta4601 4 ปีที่แล้ว

    mbona Ana mabegi mengi kabeba nn jaman naomba mniambie nko mbali

  • @Frank1301-y4t
    @Frank1301-y4t 4 ปีที่แล้ว +1

    He is nothing just an average player who stayed without a team almost more than 6 months

  • @ironmantz3453
    @ironmantz3453 4 ปีที่แล้ว

    Sasa uyo ndio gol mashine sio sapoon

  • @gabrielnyangasi3801
    @gabrielnyangasi3801 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa wa utopolo anamshangaaa

  • @abdallahally1829
    @abdallahally1829 4 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @jackisonngosha5533
    @jackisonngosha5533 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kama anaenda mlima kirimanjaro kutarii

  • @idirisadukani267
    @idirisadukani267 4 ปีที่แล้ว

    Kama jamaa zetu hapo pangekua hapatoshi kwa makundi ya watu.

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 4 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa hata kumsaidia kupanga vitu sasa umeenda kufanya nini

  • @fatumakassim64
    @fatumakassim64 4 ปีที่แล้ว

    Simba cc watu wazima atuele kupoke wakuja mwenyewe

  • @cosmecosta2631
    @cosmecosta2631 4 ปีที่แล้ว

    Utopolo mbona hatuwaoni wakimpokea uyu mgeni. Kwasababu ndio kazi yao.

  • @karimunjaulesahihi1459
    @karimunjaulesahihi1459 4 ปีที่แล้ว

    Utoporo wangejaa saan hap uwanja wa ndege

    • @sundaysindole1978
      @sundaysindole1978 4 ปีที่แล้ว

      Hawana kazi za kufanya hao na hawaamini kuwa jamaa angeshuka leo. Umbea tu ndo ulowapeleka hapo.

  • @mustafahassan8023
    @mustafahassan8023 4 ปีที่แล้ว

    Mbona hamna shangwe

    • @maxmaizer4631
      @maxmaizer4631 4 ปีที่แล้ว

      Ss ni next level atujifunzi utoto km wawenzetu

  • @anyelwisyemwakibinga875
    @anyelwisyemwakibinga875 4 ปีที่แล้ว

    Ingekua washamba wale wangejazana kibao

    • @matronapeter6247
      @matronapeter6247 4 ปีที่แล้ว

      Hv mbona mnajitekenya na kucheka wnyewe,,bila kuitaja yanga hamkamiliki

  • @ScolaMasanja-fg7hi
    @ScolaMasanja-fg7hi 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu yakaxi

  • @jimmycroud1027
    @jimmycroud1027 4 ปีที่แล้ว

    Uyo n killing mashine LUKOSA hatar iyo mwaka huu lazma watu tuwanyooshe aisee Simba DONE👍

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 4 ปีที่แล้ว

      Mtawanyoosha lakini soyanga kumbuka yanga kiski

    • @jimmycroud1027
      @jimmycroud1027 4 ปีที่แล้ว

      @@meshajoni5662 yanga ndio nan cc kila rais tunawapga 4,5 mpaka6 ss leo uje kuongelea utopolo ww kwel umechanganyikiwa kwan nyny kule zanzbar mulitufunga na muliweka full mkoko na mukashindwa kutufunga ndan iv tungetimia na cc mungepata ilo kombe la elf3 munatupgia kelele kombe lenyew la elf3 tu

    • @jimmycroud1027
      @jimmycroud1027 4 ปีที่แล้ว

      @@meshajoni5662 utopolo akuna kisiki mungeluusu gepu simba akinda vpolo vyake3 yuko juu kwa magoli alaf unajiita kisk labda kiski cha madela🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 4 ปีที่แล้ว

      @@jimmycroud1027 aaaa hahahahahahaha,Simba tunawajua,minajua kuongea,saaaana ,Sina uakika Kama mtashinda viporo vyote maana kila Tim,inajihami,nakwaizo tabia zenu zakuingia namatokeo uwanjani lazima mtaisoma nambaa

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 4 ปีที่แล้ว

      @@jimmycroud1027 sawa mmeshatufunga ilikua zamani somsim huu acha histolia ,msijifarji kwa lolote yanga juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuiiiiiii,

  • @hijarajab5449
    @hijarajab5449 4 ปีที่แล้ว

    Wabongo bwaba mtu ajui kiswahili unamwambia mambo duuh

  • @mohamedsuleiman2231
    @mohamedsuleiman2231 4 ปีที่แล้ว

    Yanga mmejifunza nn

  • @GeorgeRichard-ww1cb
    @GeorgeRichard-ww1cb 6 หลายเดือนก่อน

    Tano zko palepale

  • @omaryally198
    @omaryally198 4 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @IddyMrisho-g8x
    @IddyMrisho-g8x 6 หลายเดือนก่อน

    ritakufajitu mwaka huu

  • @barakangolokela5800
    @barakangolokela5800 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha hayawi hayawi yamekuwa sasa

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli hapa Simba ni timu yangu lakini wameniudhi. Mchezai mkubwa mzuri wa Kimataifa (Lukosa)a anashuka Airport hamna hata Kiongozi mmoja wa kumpokea, kweli? Hii siyo sawa. Akiibiwa na yanga kama ninyi mlivyomwiba Chikwende juu kwa juu mtalalamika?

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 4 ปีที่แล้ว

      Rafiki hiyo ndo safi Simba ni mnyama wa mawindo siyo Utopolo wanapokea kwa mbwembwe mnyama kimyakimya vitu uwanjani pamoja Simba nguvu moja💪💪💪

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 4 ปีที่แล้ว

      @@godfreymasele8853 anatokea nchi gani Na timu gani huyu mchezaji na ni mzuri ?

    • @jamesmelkiadesmpinika6337
      @jamesmelkiadesmpinika6337 4 ปีที่แล้ว

      Usjal... Haitakiwi iwekwe wazi kiivo... Unaaminije km kaja simba sc.....!!! Viongozi wangekuwepo ingezagaa sana mtandaon mapema hata huyu Alieapload bado hajasema....!!! Kingine wengine km chikwende, lwanga wametajwa unazan hakna wengine.... Subiri press conference

    • @charlesphillip1855
      @charlesphillip1855 4 ปีที่แล้ว

      Mbwembwe ni hatari sana kwa mchezaji

    • @castrocastro9615
      @castrocastro9615 4 ปีที่แล้ว

      Inaonekana we ni utopolo tu sio bure. Namna ya yeye kufika anakokwenda imeandaliwa kidigali ndio maana amepokelewa na kuelekea sehemu husika.
      Nyie endeleleeni tu staili zenu za kwenda kuwabeba kwa machela hahahahaha. Utopolo mtapata tabu Sana.

  • @michaelsukwa4371
    @michaelsukwa4371 4 ปีที่แล้ว

    Karibu msimbazi

  • @piusiwerosi2854
    @piusiwerosi2854 4 ปีที่แล้ว +1

    Safisana mnyaamaa

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 4 ปีที่แล้ว

    Hatunaga vurugu kwenyeviwanja vyandege