Big up brooo nakuelewa kinomaaaaa inaonesha wazi kuwa kabla ya kuigiza unafanya research hukurupuki2 kama wanovyofanyaaaa wasaniii wengine hongeraaa kwa hilooooo kakaaaa🖒 kama na nyinyi mnamkubali gonga like ili twende sawa
Clods mnafanya kazi nzr sana but mahojiano kama haya mnapaswa kupost full interview co crip kama HV. Kipindi kama hiki kinapaswa kuwa kina postiwa full kw ss tunaoangia TH-cam. Km Leo madebe n bong l msanii ss ilibidi tupate full mahojiano.
Movie za madebe zitumike shule Sio wabana pua Watoto wanapgwa kwa kuongea kiswahili ili waongee kiingereza! Kwanini? Nivema niwe mtumwa kwwtu sio najituma kwetu kwa wageni
Shabaan robert kipo madebe advance kiswahili kwenye vitabu.
kanumba hakufikiiiiiii hataaaaaa
bigup jembee
Uyu jamaa anajua hadi kelo
Jamaa anajua sana..Sema wabongo vitu vya maana huwa hawapendi..!!!
Samwel Sumbi kabisa mkuu
Kweli bro vitu vyakijinga ndo vinapaishwa
Sanaa anajua balaa
Madebe kweli kioo cha jamii,, he speaks like a mystic
Wewe ni best Tanzania na duniyani
Mimi uwa najifunza sana kupitia madebe
Kaka upo juu sana hongera sana Mungu akubariki akuwezeshe uishi maisha marefu uipeleke sanaa ya nchi yetu juu
Sikuzote madebe wewe ni kiboko yao nakuaminia🙌🙌🙌
Kuna ku koma na kukomaaa... We jamaa unajua sanaaaaa.. Allah akuongoze mzee
Matumizi mabaya ya matobo... Brilliant!
Madebe nakuelewaga sana ktk kazi zako
Asante Sana bro welemishe maana ya kiswahili
Mashaa wa bongo movie sasa hivi wanao ongoza tz kwa wanaume ni gabo na madebe
#Madebelidai kuna kupuliza ili ipoe na kuna kupuliza ili iwake ,ahsante sana kaka nakukubali
','''''imo'''''''
Big up brooo nakuelewa kinomaaaaa inaonesha wazi kuwa kabla ya kuigiza unafanya research hukurupuki2 kama wanovyofanyaaaa wasaniii wengine hongeraaa kwa hilooooo kakaaaa🖒 kama na nyinyi mnamkubali gonga like ili twende sawa
Upo kwenye kiwango cha peke yako katika sanaa hata angekuwepo marehemu Kanumba bado wewe ulikuwa na nafasi yako ya kipekee
Kweli yupo vizuri sana
Karim Amir hivyo vitu unavitoaga wapi?
Big up bro movie zako zimetulia Zina maadili ndo Mana Kila Basi ukioanda now ni movie zako tu
upo vizuri sana madebe
Piga kazi Mzee baba unajua sana
Matumizi mabaya ya MATOBO
🔥🔥🔥🔥
du noma sana madebe
Madebe Ni Mtu Hatari Sana
Madebe akuna msanii yeyote bongo anae fanya cha umuhimu km ww
Madebe Mungu akujalie maisha mema
Nimekua wakwanza kuon hii pls naomba like zinu hapa
Huwa hamsikilizi kwanza sasa like zann
😂😂😂
Hizo like zitakupa ugali au ni nini fanya kazi
Mswahili Kweliiii Huyu Jamaa
hahahaaa nkpnd bure madebe ww fundiii🔥🔥❤
Huyu jamaa kwanini tusimuunge mkono nakununua filamu zake kwa wingi? Maana ana maneno yakuelimisha sana.
Nikweli
Jirani yangu kinoma madebe nakukubali sana
Ilijamaaa nalipendaa2😃😀😃😀😃😀😃😀😂😭😂😭😂
Tuzo lazima #Upate madebe
Jamaa ana wisdom!
Nice kabisa hahahaha
Naona hapo kuna haja ya kuwaweka meza moja na mrisho mpoto ili wajenge hoja tuelewe zaidi maana huyu jamaa kweli anajua
Usimsahau na muhogo mchungu
Shaaban robert alikuwa msomi wakati wake, na kitabu chake KUFIKIRIKA bado kipo ktk mtaala kidato cha 5na6
Iyo logo ya cloud digital bora mngeiweka pembeni chini kulia au kushoto au juu kwa corner uko apo unakuwa huoni vizur
Uko vzr
nakuelewa umetuludishia bongo movier
Madebe Ni noma
Madebe atabaki kuwa Madebe Ila Lidai atakuwa juu cku zote over
Madebe utabaki kuwa juu
Huyu noma sana
Hongera Sana bro unafanya kitu asil ya ktanzania tofaut hz filamu za love story we ndio msann wangu wa mwaka
Matumizi mabaya ya .....
Madebe huwa nakuelewa cna kwa kzi zko
Vyombo mnaniweka mbali
Saut haiskiki vizur jaman
Nyuma aliwahi kuliwa duh
Ujamaa Anamfanya....M2 Arudi chuo eeh bwanaeeh
Fundiiiiiii wa Bongo Movie
😂😂😂😂😂umetisha madebe lindayii
adam naniii,, adam mchomvu 😂😂😂nmeiskia peke yangu
Big up brother
Natamani siku moja Madebe na Mrisho Mpoto waungane kuelimisha
Siku hizi wanafunzwa mapenzi et sayansi darasani.huwezi kuamini watoto wajuwa kuvaa kondom kuliko hesabu.ajabu saana.
Matumizi mabaya ya matobo
Matumizi mabaya matobo🙌🙌🙌🙌🙌😍😍😂
Peke yangu nitumia vizuri matobo.
Wewekiboko
Dear God bring back Kanumba and then we gonna give to u Duma please
😅😅😅😅😅 hapo kwenye matumizi mabaya ya matobo pamenikuna uuuwiiiii
Hahahahahahaha we Jamaa anajua sana
Tunasoma kitabu cha shaban robat
Madebe kanoga leo
madebe penda Sana
Maarifa ya jamii ipo bwana.. Social study
Clouds D nawakubali ili sound iko chini
Ijamaa ukikaaa utambua kua kitu gani anakusudia
clouds nyie ni digita media lakini mbona leo mmeyumba kwenye sound naomba mfanyie kazi hilo tafadhali
Clods mnafanya kazi nzr sana but mahojiano kama haya mnapaswa kupost full interview co crip kama HV. Kipindi kama hiki kinapaswa kuwa kina postiwa full kw ss tunaoangia TH-cam. Km Leo madebe n bong l msanii ss ilibidi tupate full mahojiano.
tatzo n matumiz mabay ya matobo
Madebee lidai duu hatari
Kaka vitabu vya Shaban Robert vipo,
Naheshimu kipaji chako but jaribu kuonge vitu vyenye uhakika
Wee dada ni muhuni
huyu jamaa inafaa aandike vitabu sio kucheza filamu tu ni filozophi
Ndivyo nilivyofikiri mara ya kwanza kuiona filamu yake
Akoni tvi
Madebe umefanana na makambo😃😃😃
Duh
Movie za madebe zitumike shule
Sio wabana pua
Watoto wanapgwa kwa kuongea kiswahili ili waongee kiingereza! Kwanini?
Nivema niwe mtumwa kwwtu sio najituma kwetu kwa wageni
Fund uliebkia wa hyo michezo"
Muongo uyo
patam hapo
Hahaha Et Adamu mchomvu