ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
wasafwa na nduguzetu wanyakyusa tugonge like hapaaaa basiii
Babatoni hiyo nimeimisi sana
Nashukuru ITV kwa kutambua vipaji vya kabila langu la WASAFWA. Nami kama msafwa original nafarijika sanaaaaaaaaaaaaaaaa
Walola bwana
@@rahmalezza8786 Mwagona Rahma Leza
Hizo ndizo sauti za Afrika... Ambazo tuna-miss.. big up vijana..! Mziki kama huo niliusikia Botswana wakati fulani.. the similarity is just amazing..!
Daaah bro zangu wako vizur sana Tasafwa pamwanya.
Safi sana ndugu zangu mpo vzr sana ITV mpoju
These guys are natural.
Hongereni vijana Mbeya. Hongera ITV
Hongereni vijana wa Mbeya. Hongera ITV
Mimi siyo msafwa lakini nimeipenda na nawapenda sana Wamwiduka
asili yang safi sana bhakuhaya
Pamwanyaaaaa
Vijana hao nmehaso nao sanaaa tasafwa yaani tili pamwnya
Kaka zomboko hongera kwa kuwapokea vijana tupo pamoja
Sounds of Africa. Sounds of Mbeya...! #Wamwiduka
Miongoni mwa audition ambazo Zomboko amewahi kuzifanya ambazo jimebahatika kuziona hii ni bora sana kuliko zote
Kazi nzur
Awa nawakubali sana 2020 wako vizuli sana
Mpo vzr itv
safi sana vijana itv ndio kilakitu
Mimi nataka kua dance wenu mnitafute
tasafwa pamwanya sana
Hongera sana, Ngoma ya Wanyiha kutoka Mbozi Mbeya,( BABATONI).
Wasafwa hatuna kaz mbovu wasafwa tujuane hapaaa
Blessed mungu awape moyo sikuzote msikate katik halakati zenu akaya wakaya nguluvi awendo kila handu
Nawependa sana Wamwiduka
Ao jamaa nimewakuta feli hakika nimewapenda
Pendaelhagai.Official Gospel music
nimewakubali sana hawa jamaa
Wasafwa noma❤
Nawapenda sana tu
Hii ngoma inaitwa Babatoni hapo limekosekana gitaa kubwa la nyuzi tatu, Chimbuko la hii ngoma ni Mbozi_ Songwe kwa Wanyiha, Wengine wameiga.
Kwel vijana zidy kupambana tyu
Hawa jamaa ni balaa, kumbe sauti original za kiafrika bado zipo
Tasafwa pamwanya asante waholo
Twasafwa pambeye
🔥🔥🔥🔥🔥
Iko njema madogo zangu
hao vijana wako poa sanaaaaaaa
Madogo mko poa sana sauti zenu zinalizisha
habari zenu nimejaribu kufatilia interview yangu mpaka Leo sijaona toka mwaka Jana jamani kwel
0757679345 nipigieni
Sanaaa watuwanyumban pamba nenimtafikatuu