JAMADA MWANA WA KASIM MAFUTA AUMBULIWA NA IMAMU ASSIJZIYY..UST MOHAMED MZEE ASSUWFIYY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @abuuahmadalathary620
    @abuuahmadalathary620 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani neno BILAA KAYF mana yake bila sehem ?
    Mbona wadanaganya watu kijana

  • @bashirusalumbigapsana673
    @bashirusalumbigapsana673 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa sana na hio ndio itikadi yetu sisi ahlu sunna waljamaa

  • @AbuuMinhaal
    @AbuuMinhaal 2 หลายเดือนก่อน

    Jitahidini Kwanza ule msikiti usimamishwe swala tano kw kudumu Tena ,ndio ueendelee na mambo ya kujadiliana na akhl sunna

  • @abuuahmadalathary620
    @abuuahmadalathary620 2 หลายเดือนก่อน

    Kuwepo juu ya Arsh hakupingani kuwa kwake Allah hajambatana na Arsh
    Kuwepo juu ni jambo mbali na kuambatana kijana

    • @abumuhammadmbwana3964
      @abumuhammadmbwana3964 2 หลายเดือนก่อน

      Ameshafafanua maana ya huo ujuu uliokusudiwa nao ni ujuu wa cheo

    • @abumuhammadmbwana3964
      @abumuhammadmbwana3964 2 หลายเดือนก่อน

      MaashaAllah

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@abumuhammadmbwana3964
      Kwa dalili ipi nani alie mtangliia kwa tafsiri hiyo

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe nijaaahili murakkabu...ukisema ni faukiyaa ya kicheo huku wasema bilaal qayfiyyat!!!!! Huoni wajichnaganya!!!!!? Allah faukal,arshi bilaal qayfiyy,

  • @sijartv9554
    @sijartv9554 หลายเดือนก่อน

    Wewe unasema urongo ngoja nikusaidie kidogo ebu kasome sharhi muslim ya imamu annawawi hadithi zote zinazozungumzia Allah kushuka au kucheka au au au imamu annawawi anatafsiri vipi pili soma kitabu kinaitwa الجواهر الكلامية naimani utajifinza kitu nisikupe vingi na hao watunzi ni maimu munaowakubali soma kwa umakini lakini

  • @IbraFareed
    @IbraFareed หลายเดือนก่อน

    Sheikh usichoke kuweka haki wazi

  • @MahamuduKichatu
    @MahamuduKichatu 2 หลายเดือนก่อน

    Tufafanulie hapo 2:59 2:59

  • @ahmadsaid6118
    @ahmadsaid6118 2 หลายเดือนก่อน

    We jamaa ni jaahil na huelewi ibara za wajachuoni
    Allah akuongeze

  • @MahamuduKichatu
    @MahamuduKichatu 2 หลายเดือนก่อน

    Tufafanulie hapo

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      Skiliza mfululizo wa RADDI zake kaelezea sana
      KAMA HUJAELEWA NA HUTAELEWA
      Anatumia maneno ya wanachuoni na sio maneno yake
      Fuatilia zipo audio zake

  • @MahamuduKichatu
    @MahamuduKichatu 2 หลายเดือนก่อน

    Naswali langu kwanini mtume wakat alikuw anatolew roh baad yakumaliz kupig mswak akasem anaend KARAFIKI WAJU piy kwanye sijda tunasem ametakasik mila wajuu tupe ufafanuzi hapo

    • @MshihirDguyya
      @MshihirDguyya 2 หลายเดือนก่อน

      Unapo sikia rabbilaala maana yake juu kwamaana yyautukufu hata fir,auna alisema hivyo akasema anaarabukumu l,aala hukuwa namaana yupo juu alimaanisha utukufu bwana muhamadi

    • @MshihirDguyya
      @MshihirDguyya 2 หลายเดือนก่อน

      Sawa Maha mudu

    • @jumangodu2402
      @jumangodu2402 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe mwisho utasema Allah ni mjuzi bila elimu kwa sababu ukisema ana elimu utakuwa umemfananisha na viumbe vyake maana hata viumbe pia wana elimu
      Na sifa nyingine nyingi utazikataa maana hata viumbe pia wanazo hizo sifa

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi niliuliza swali naomba nifahamishwe maana ya tashbiha,tashhisi, na sitiari na mifano 2 kwa kila 1 halafu utasema wapi watu wanekufuru huyu shehe anahitaji asome kwanza halafu atakaa kwenye kamera

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 2 หลายเดือนก่อน

      Nani alokwambia hivyo

  • @jumangodu2402
    @jumangodu2402 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mwisho utasema Allah ni mjuzi bila elimu kwa sababu ukisema ana elimu utakuwa umemfananisha na viumbe vyake maana hata viumbe pia wana elimu
    Na sifa nyingine nyingi utazikataa maana hata viumbe pia wanazo hizo sifa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      Si ndo maana hafanani na kitu chochotr

  • @arrawaahiyahtv9800
    @arrawaahiyahtv9800 2 หลายเดือนก่อน +1

    Piga kazi habiib, hawana sera wahabi hao

    • @jumangodu2402
      @jumangodu2402 2 หลายเดือนก่อน

      Apige kazi? Waislamu wote wamekubaliana kuwa Allah yuko juu arshi na zimekuja aya kuthibitisha hilo na hadithi ya jaariya alipoulizwa Allah yuko wapi akasema yuko juu
      Mcheni Allah acheni itikadi chafu hiyo

    • @arrawaahiyahtv9800
      @arrawaahiyahtv9800 2 หลายเดือนก่อน

      @@jumangodu2402 hebu tuambie ni muislam aliyesema Allah Yuko juu kwa dhati yake? Tutajie mmoja tu asiyekuwa wahabi

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 2 หลายเดือนก่อน

      Wacha uongo waislamu wa wapi​@@jumangodu2402

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      @@jumangodu2402 Skiliza mfululizo wa RADDI zake kaelezea sana
      KAMA HUJAELEWA NA HUTAELEWA
      Anatumia maneno ya wanachuoni na sio maneno yake
      Fuatilia zipo audio zake

    • @IbraFareed
      @IbraFareed หลายเดือนก่อน

      @@arrawaahiyahtv9800akikujibu niambie

  • @uwitonzedjafari5854
    @uwitonzedjafari5854 2 หลายเดือนก่อน

    Tafuta kazi mzehe

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani hiyo sio kazi!? 💉💊💉💉💉

  • @MahamuduKichatu
    @MahamuduKichatu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tufafanulie hapo

  • @MahamuduKichatu
    @MahamuduKichatu 2 หลายเดือนก่อน

    Tufafanulie hapo 2:59 2:59