Mimi nimeipenda sana kwa sababu wao wanauwa na wanabaka na kujelui watu hovyo kufa ni harari sana hata Tanzania sheria hoyo ipitishwe tu panya rodi watowa ibirisi na makundi yoyote wabakaji wauwawe
Vijana tujitahidi kutafuta pesa kwa jasho, inasikitisha sana vijana wadogo kama hawa kupata adhabu ya kifo kwa matendo yao maovu 😢 hili liwe fundisho kwa wote wasiopenda kufanya kazi halali.
Hyo ndio Congo jamn jinsi watu wao walivyo na roho mbaya za kuuza watu kama kuku tena wanawapiga bastora wamesimama jamn eeh Mungu tunakukosea mangapi mbona watu wanajimilikisha Hali ya kuuza hvyo ? Congo sio nchi ya kukaa kabisa na hapo kuna wengine hata hawana hatia ila tu mtu kajisikia awauwe 😢😢😢
@ wamemuua nani nawewe huyo mtangazaji mwenyewe kasema hapo ni kama vijana wa Panya road kwahyo hao vijana wa Panya road pia huku waliuliwa? Nawewe ndio walewale mijitu yenye roho mbaya kama nyie hamfanyaji makosa
Kipekee kuisafisha nchi sikitu rahisi wavijana SIO kwamba hawajawai kukamtwa bahathiyao Huwa wanatoka jela kwanamnatofauti kumakiza vifungo au ruswa. Pia wakitoka wanalipiza visasi kwa maaskari au laiya wdlioisaidia pilisi. Vipi apo?
Watoto ooh why didn't the government give them a second chance to see whether they change, you know lack of job's might force them to steal I'm not supporting thuggery but human rights 😢😢😢😢
Nyonga wote hao tena wangepelekwa uwanjani kabisa ili iwe funzo na kwa wengine. Maana hao ni zaidi ya minyana ukiona matendo wanayo fanya. Juzi kati wamekua wanakata na mapanga wa dereva wa ma lori wa east Africa wanao pita DRC. Ukiona izo video utaumia sana
From 🇧🇮 mimi naona wafe tu wa livyo mukata baba yangu kichwa sina uruma nao 🎉🎉
Pole kwakumpoteza baba
Pole
Subhana Allahu!! pole sana,,,, Allah amtamlaza mahala pema fiinal jannah!! InshAllah!!🤲
Mimi nimeipenda sana kwa sababu wao wanauwa na wanabaka na kujelui watu hovyo kufa ni harari sana hata Tanzania sheria hoyo ipitishwe tu panya rodi watowa ibirisi na makundi yoyote wabakaji wauwawe
Very good 👍 my minister lazima wapate walicho kipanda
Life is precious irrespective of who is doing it. Life sentence could have been fair.
Wanao sema sio sawa.. kifup ipo ivi.... msiba usikie kwa mwenzio.... ukiingia kwako ndio utajua....
WAFE KABISA
Hii ni safi sana na Tz wanajeshi wafanye namna
Na hao wanao iba madini yenu huko congo makontena kwa makontena mbona hakuna suruhisho.. hii noma Sana.
Wengi washatolewa sema wanabaki wachache 😊
Jacob ndugu yangu omba Mungu inshi yenu ikose vyote siyo amani
Apo sawa wauwawe kbs wanatiya nchi kwanye matatizo 🇨🇩🇿🇦
Aishiye kwa Upanga atakufa kwa Upanga
Dereva anaenda Kongo anajua huu mziki wa vijana hawa ni sawa haki yao
Hii habari ilitaka bundala mwenyewe kwenye 360
Mzee wa fact😂
Kweli kabisa
Wakubali na wengine ndugu kwani haujaelewa ?
Sio poa kwani huyo ubaya wake nn 😢
Vijana tujitahidi kutafuta pesa kwa jasho, inasikitisha sana vijana wadogo kama hawa kupata adhabu ya kifo kwa matendo yao maovu 😢 hili liwe fundisho kwa wote wasiopenda kufanya kazi halali.
Mimi nimependa kwa sababu hawa ni washenzi sana , wakishika mwanamke wa mbimba wana mpasuwa tumbo na kutowa mtoto tumboni
Hyo ndio Congo jamn jinsi watu wao walivyo na roho mbaya za kuuza watu kama kuku tena wanawapiga bastora wamesimama jamn eeh Mungu tunakukosea mangapi mbona watu wanajimilikisha Hali ya kuuza hvyo ? Congo sio nchi ya kukaa kabisa na hapo kuna wengine hata hawana hatia ila tu mtu kajisikia awauwe 😢😢😢
We ndo huelewi kitu siku yangekukuta kwako ndo ungeelewa .. kwahivyo wao kuua sawa ? Acha kumshirikisha Mungu kwenye mambo yasio ya halali
@ wamemuua nani nawewe huyo mtangazaji mwenyewe kasema hapo ni kama vijana wa Panya road kwahyo hao vijana wa Panya road pia huku waliuliwa? Nawewe ndio walewale mijitu yenye roho mbaya kama nyie hamfanyaji makosa
Kaz mzur
Ni sahihi kabisa
Nisawa. Tuu na wao kuuliwa maana na. Wao wanaua na muhujumu raia wengine
Ni kweli uku kwetu ni hatari
Yaaa
Duuu atr sna
Wanaoona si sawa hawajakutana nao hawajapigwa matukio ukikutana nao au wakakubakia mtoto wako au mdogo wako utaelewa
Mamuzi magum nimuhim sana kwa Dunia yetu ya sasa
Kipekee kuisafisha nchi sikitu rahisi wavijana SIO kwamba hawajawai kukamtwa bahathiyao Huwa wanatoka jela kwanamnatofauti kumakiza vifungo au ruswa. Pia wakitoka wanalipiza visasi kwa maaskari au laiya wdlioisaidia pilisi. Vipi apo?
Wana kata watu na mapanga na kubaka
Mwenye haki yakuua ni Mungu sisi wote niwakosefu kwa Mungu akuna dhambi kubwa wala ndogo sis wote nisawa
Nnani akakudanganya
Kaseme hivyo uarabuni
Kwendraaaa
Mtu mwenzako azini na demu ww upige nyeto dhambi ziwe sawa sio kweliii nakataaa😂
Kwa hivyo wao wana haki 😂 good job
Wapigwe chuma2 hata huku kwetu wafanye hiyo itasaidia kuwanyoosha wavivu
Tuandalieni makala ya 360 mtusimulie kwa undani hii taalifa😢 sky fanya kitu hii ni habari kubwa mbona inasimuliwa juu juu sana?
Ukiona video zao mambo wwnayofanya hawa vijana wa kuluna.. Lazima ufurahie adhabu hiyo
Check gari wanazotembelea viongoz plus maisha wanaoishi raia huku wakishangilia 😂jaman
Usione gari kubwa hiyo ni gari cheap.
Sheria nzur angemaliza ufisadi ili vijana wapate ajira inchi ni tajiri ila wanainch hawana ajira migodi ipo mingi wamalize uasi kwanza
Watoto wa ibilisi mmmm
Kma umesha za aca kusema ivo
Wanyongwe maan hawana faida
Jamani tuombeeni jamii zetu
Kwa nini hadi leo hii hawaja waua wanasubiri nini hakuna habaru za haki za binadamu wengi wanadai haki za binadamu kumbe ni shoga hua kabisa hao
Tanzania unauliwa kimya kimya tu
Yaani wauwe kisha wakapumzike jela kisha wale jasho la wallpaper kodi😢
Niliwambia mnakuanga nyuma sana kwa kila kitu😂😂😂😂
Nisawa zaidi kwanza zanakawiya wawahuwe zaidi
WENGINE NI WATOTO KABISA NI BORA WENGEFUNGWA WAKALIMA MASHAMBA KIBAO WASHAPATA WAKULIMA HAO WANAWANYONGA😢😅 IT'S NOT GOOD
Ungejua bitu bana Fanya uwezi sema vile
Nisawa maana naao wanauanga watu salut selikali yao
Sio sawa kuwaua nbora wangefungwa maixha gelezani🥱🥱🥱🥱
Uta walisha uko jela
Utaongea Ivo kama hawajakuulia ndugu yako
Kn wao waliweza kuuwa kwnn na wao wasiuawe ili kupunguza wahalifu?na hii inakuwa fundisho kwa wengne na wataogopa kufanya matukio km haya
Awa wavijana wahalifu kweli kweli wanauwa
Nikikumbuka kifo cha dereva wa derina Kongo Bora wafe to
So sad
African bhana😂😂
Tatizo kubwa ni serikali
Tuna baita ba kuluna congo siyo maibobo
Adhabu ya muuaji ni kifo. Mfano panyarodi wanapo vamia sehemu ni majonzi tu. Jee mnataka waendelee kula sembe la bure gerezani?
Kuluna ni kama panya rod
Watoto ooh why didn't the government give them a second chance to see whether they change, you know lack of job's might force them to steal I'm not supporting thuggery but human rights 😢😢😢😢
Naaminia sns but hii haujachunguza ukajua kiini ya hawa vijana... this is a falled coup please do more research ....
Naunga mkono
Sorry sio maibobo wanahitua kuluna
Nyonga wote hao tena wangepelekwa uwanjani kabisa ili iwe funzo na kwa wengine. Maana hao ni zaidi ya minyana ukiona matendo wanayo fanya. Juzi kati wamekua wanakata na mapanga wa dereva wa ma lori wa east Africa wanao pita DRC. Ukiona izo video utaumia sana
Washa fariki wiki bili zilizo pita
Mbona huongelei walotaka kumpindua raisi
Wamenyongwa
@@AngelBakranahawasubutu kuwanyonga wale ni raia wa marekani
Hua hao umbwa 😂😂
Ukiua nawe utauwawa
Sasa ni nchi ya Congo au ni Democratic Republic of Congo, ambayo zamani iliitwa Zaire? unaongelea Congo ipi ndugu mtangazaji?
Sas mbona umejijibu mwenyewe NDUGU muangaliaji
@Somebodytz kuna Congo mbili, sasa anaongelea Congo ipi? Ni Congo kinshasa au Brazaville
@@eliachalamila2259acha zako
@@eliachalamila2259aliaza kusema drcongo kwani ukusikia
Ukumu ya kifo sio sawa
Wawanyonge na M23.
Hawa ndo usiseme wengi wao wamekimbia wapo uganda for now
Ukiua naww pia uwaawe