Mimi nipende kushukuru bossi hii kazi ni hatari hii sio movie wasanii wooote wa boncena mumetisha jamani naombeni like zengu hata 500 wanaokubali hii mgeni wa kijiji
Series iko vizuri ila kwenye umekoseya niku ongeza watu bila kuendeleza wenye walikuwepo zamani kama rose, mama fatuma kwa sababu season ambazo zilipita watu walikuwa nafika kama wageni !
CHUMA KWA HEWA YANI BALAAA NDIO KWANZA LINAANZA MGANGA APA
Nipitie unipee hata subscription moja
Jamani najua siyo wa kwanza lakini nipeni like za kutosha na ruta mnamkubali?
Vizuri sana kobero anafaa kua Kwa mpango hivo tu😂😂
Sawa vizuri sana boni hii ndio kipaji chako kabisa😮
Waoooooo umejua kunifurahisha boncena 🎉🎉 Good job🎉❤❤❤
@@SterinaJulius 👋👋👋❤❤❤hello
Wakwanza. Kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunawapenda San tulikuwa tumesubil kwa hamu
Hivi ndo vitu vyakoo sasa bocena achana na high school ilikua imepoa sana. Hiii naimani itakua🔥🔥🔥🔥 asante kwa kutuburudisha tunawapendaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wah mgeni wa kijiji amerudi jamani 🎉🎉🎉
Mimi ndo wakwanza kutoka Congo 🇨🇩 🇨🇩 💖 🇨🇩
Wa kwanxa leo ❤❤❤ kenya finest
Ruta man kazi mzuri sana man,,nawapenda sana na your team🎉🎉
Asante kwa kusikia maoni nimefurahi kumuona kipepeo ❤❤❤❤
Happy mwaya nakupenda🎉🎉
Nimefurahi kumwona sam .umu mamb yatakuwa mazur san❤❤❤❤🎉🎉
Aya ndo mambo sasa luta❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana
Jamani murikawa mumetucherewesha nirikuwa ninahamu ya mgeni wa kijiji ilove you so much kobelo😅😅😅😅😅😅 from Burundi 🇧🇮 nawapenda bure
Wapili kutoka Kenya 🇰🇪
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
We kobelo bhan we 😂😂😂😂😂dish kwel limeyumba
Mganga mwenye nyota zake
Much love 💕😮😮😢😢ila jjjjjjjjjjjjjjjj
Huo wimbo ati kuku anabweka 😂😂😂😂😂 kuku huwika si kubweka jamani kwani ni mbwa😂😂😂
Waaaah...thanks a lot for the continuation, hapa Kenya tulimiss sana show yenu
Tulio miss kuona Ruta n Kobelo pamoja semeni hi🤗🤗🤗🤗
Nakubali kazi zenu vijana wenzangu
Asante dada mchambaji 3 kwa mpigo
Wooooooooow wakwanza tuliokuwa tunaisubiri kwaham gonga like hapa
Kobelo dreds ulinyolewa😅😅😅😅❤🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇸🇦❤❤
Nilimiss hki hii sana kz safi
Kobero mpango mzima nauoga wako huo utakoma 😂😂😂😂
Mimi nipende kushukuru bossi hii kazi ni hatari hii sio movie wasanii wooote wa boncena mumetisha jamani naombeni like zengu hata 500 wanaokubali hii mgeni wa kijiji
Jamani mugeni wa Kijiji inanza tena
Hii mumecheza uhalisia sio maigizoo jamani wanaosema bossi boncena Aishi miaka mingi naombeni like zenu 300
Kazi nzuri snaa 🎉🎉🎉🎉
Kazi kubwa 😂😂😂😂
Tuko pamoj sana lutaman🎊
,,😂😂baisa anaonekana mshamba
Yaani ududu mwingi sana 🌹🌹🌹
Team boncena kazi nzuri tupo pamoja mpaka tamati💪💪👊
Nakubali sana Ruta man
Nyimbo ya kisingeli mbaya imba nyingine au rudia ya mwanzo
Nampenda huyo lamgomba kobelo
mganga baisa hii inayo fuata tuna poteanaaaaaa👋👋👋👋
Team strong njoon mgen w kijij anrudi kimbien😅❤
Kobelo oyee
Kazi nzuri sana kaka
New KAZINI KUNA KAZI
LUTA MAN
10.30 director ume zinguwa, kwa action zako
Sah umerudi kwa kac sna
Kamanda baisa nakubali sana
Kazi nzr
Sasa hii ndiyo moviee❤❤😂😂🎉🎉😮😊
Nilikumis sana kobero 🎉🎉🎉
Na mm hujanimiss
mim wakwaza jaman naombeni like ❤❤❤❤❤❤❤ I love you so much ruta man
Yaan kobelo sifa sote kumbe ulikuwa unataka ukope elfu 10 😂😂😂😂😂😂😂
Mnashindwa kazi kwa Nini muliacha rosi,ma fatuma,Na bengine
Ila kobelo😂😂
Bora ata ruta umeacha kusema boy maana tulichoka😂😂
Kumbe nilikua nawenzangu😂😂😂😂😂
@@MwanalimaMwalimu-c4m ndio hukua pekeako 😄
@@SharifaKapera okay sawasawa 😀😀😀
happy 😃 to see my qalby ya salaaaam sasa naeza watch till the end,ruta type tupe Hadi mwisho
hizi zote hovyo towa kama tazrn story zimeisha ah vip
❤
Nakubalisana 🎉
Wimbo WA mgeni ni Nani mgen mtetezi Wachawi wnakoma
Director kaongea Hadi nimesikia "sasa ondoka" 😂😂😂😂
Nc san Rutaman❤❤❤
Baki na hiihiii usituzungushe
😂😂😂😂
Gumbwa nakubali
Hii ni moto❤
From camp 👏
Nimefrahi kumwona samiry
Mm Nilijua itakuja unyago
Hadi mimi niljua ni unyago,,,lakini n sawa tu kumuuona kobelo😂
@tommyokillah 😁😁😁🙌
Yan uku ndo kusema ss
Kama umefulahi hii move kurudi gonga like hapa tujuane🎉🎉🎉😂😂😂😂❤
Walete br
Mimah ❤
nimalize kwNz then nitoe maoni😮
Jmn nmempend kipepeo,, jmn kam yup single,,,
Nc🎉🎉
Tunaotamani kumwona Mwakinego, like za kutosha hapa
TULIO KUWA TUNAISUBILI LIKE ZANGU KOBELO
Woyoooo
❤❤❤🎉🎉🎉
WAHI SASA UTAMU WA FILAMU PENDWA UPO HUKU LIKE ZENU HAPA❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nzur sana
❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂
Sas hap nawez nikapoteza MB zangu kutizama hii move hawa watu wako rutawanafaa kwenye hiz mov sio kwenye move zamapez unatupoteza bn😂😂😂
❤❤❤❤
Welcam ❤❤❤
Tulikuwa tunaisubili sana
Kumbe ilikua bd kuisha
Kama uogozi uwa kenya
Huyu bi asia kafanana na luta
Khee kumbe ngoma ilikua I inaendelea jamani hadi nilishaisahau
Sijamuona sapna mpen script nayeye
Jitaidini kutoa mameno wakati mnashuti kuwa yanasikika
❤❤😂😂😂
Kama umesikia gandaa ondoka baada ya bhaisa kugeuka kunguru na kuondoka gonga like 🤣
Nipee sapoti guza jina langu
Series iko vizuri ila kwenye umekoseya niku ongeza watu bila kuendeleza wenye walikuwepo zamani kama rose, mama fatuma kwa sababu season ambazo zilipita watu walikuwa nafika kama wageni !