Huu wimbo umenikumbusha Mbali sana kama umewahi kutana na hali kama hii huu wimbo huu utakuwa umekutoa machozi binafsi today sijalala nikajikuta natafakari nilikotoka na nilivyofukuzwa alafu majira ya saa tatu Usk nimetoka kesho nikasingiziwa kesi miaka 7 hakuna ndugu ambaye alinitambua kama ndugu Maumivu ya kutengwa na Ndugu alafu hauna kwa kwenda maumivu yake misiri ya kutaka ufariki alafu ukiuluza kwenu ni wapi no answer ila Mungu ni fundi mnooooo.
Pole San Mama Mungu pekee ndie rafiki wa kweli mnganganie sana 😢😢🎉🎉
From kenya 😢😢😢 but this is my story ila ashukuriwe mungu wa mbinguni kwa upendo wake wa ajabu❤❤❤❤❤
Nyimbo nzuri sana barikiwa sana
❤❤🎉🎉🎉 ubalikwe sana pasta good my friend uzidi kupata kibali kila mara
Umenitia nguvu sana huu wimbo
Ameni nimebarikiw sana MUNGU akutie nguvu zaidi ya hapa
Waoooh madam martha umeimba kweli kusamehe siyo rahisi ila tunasamehe kwa faida yetu ya baadae
Ujumbe mzuri sana,, mziki umetulia Mungu akubariki sana na akutunze mtumishi wa Bwana Yesu.❤❤❤
Huyu ndo martha baraka nnaemjua Mimi sasa
AHSANTE dada MUNGU akubariki kwa ujumbe mzuri
Amen,barikiwa kwa nyimbo yakutia moyo
Hongela Sana mtumishi mama yanga nakupendaga Sana
Wimbo huu umenijiya Kwa wakati ufaao Neema ya Mungu na iwe juu yako Dada
Ongera mama angu nyimbo nzuri Mungu azidi kukuinua zaidi
Amen kubwa saaaaaan wimbo hu unanikumbusha mbari😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏😔😔😔😔😔 Ashukuriwe mungu wamasikin
Ujumbe mzur barikiwa sana mtumishi wa mungu.mungu anabadilisha🎉
God bless you 🙏 🙌
Salute🤝ubarikiwe . Hakika Mungu akuinue zaidi hapo.🤝 Shikiliabusukani usiachie🤝
Nakupenda sana
Jumbe ni nzuri sana, God bless you mom❤
Producer mzur❤❤ big up sana ujumbe mzur nakupenda dada yangu
Wooow GOD BLESS YOU MARTHA BARAKA
Kanitoa kule kanileta apa waooooo kanibadilishaa
Mungu akubaliki Sana kwakazi nzuri dada yangu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Barikiwa dada yangu
Ubarikiwe dada yangu
Honger sana ati madam
Shalom
Nyimbo nzuri sana ubarikiwe sana my 🎉🎉
Congratulations
Good song
Wimbo mzuri sana huu dada
Hakika.mungu.nimwenye.huruma
🎉🎉🎉
Huu wimbo umenikumbusha Mbali sana kama umewahi kutana na hali kama hii huu wimbo huu utakuwa umekutoa machozi binafsi today sijalala nikajikuta natafakari nilikotoka na nilivyofukuzwa alafu majira ya saa tatu Usk nimetoka kesho nikasingiziwa kesi miaka 7 hakuna ndugu ambaye alinitambua kama ndugu Maumivu ya kutengwa na Ndugu alafu hauna kwa kwenda maumivu yake misiri ya kutaka ufariki alafu ukiuluza kwenu ni wapi no answer ila Mungu ni fundi mnooooo.
Wow nice song ❤❤
❤❤❤❤good
😢😢😢😢😢❤🎉
HONGERA SANA DADA GOOD SONG
Nmeipenda hi
Amen 🙏🙏.
Will you please translate in English my sistsr.
May Almighty God continue to bless you more and more
Sauti kama Ya Aslay
congratulations my sister,
Top up my new song hitting on 🔥🔥 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU God bless you all
Nyimbo nzuri sana barikiwa sana