AT THE AIRPORT:SWAHILI CONVERSATION
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
- SWAHILI CONVERSATION:
KATIKA UWANJA WA NDEGE
(AT THE AIRPORT)
Hali ya 1: Katika dawati la kuingia
Ajenti: Habari za mchana! Unasafiri kwa ndege kwenda wapi leo?
Wewe: Moskow.
Ajenti: Naomba pasipoti yako, tafadhali?
Wewe: Sawa, hii hapa.
Ajenti: Je, unakaguliwa begi zozote?
Wewe: Ni hili tu.
Ajenti: Sawa, tafadhali weka begi lako kwenye mizani.
Wewe: Ndege yangu si ya moja kwa moja, itasimama Istanbul, - je, kuna haja ya kuchukua mizigo yangu huko?
Ajenti: Hapana,ndege yako ni ya moja kwa moja hadi Moscow
Hizi hapa stakabadhi zako za kuabiri- ndege yako inaondoka kutoka lango la 15A na itaanza kupaa saa 3:20. (saa tisa na dakika ishirini).
Nambari yako ya kiti ni 26E
Wewe: Asante!
Misamiati
KISWAHILI ENGLISH
Kusafiri kwa ndege Traveling by plane
Ndege aeroplane
Leo Today
Hii hapa Here it is/here you go
Ni hili tu It’s only this
Tafadhali Please
Weka begi lako Put your bag
Kwenye mizani On the scale
Ndege ya moja kwa moja Direct flight
Itasimama It will stop
Kuna haja? Is there a need?
Hapana No
Stakabadhi Documents
Kuabiri To board
Inaondoka It leaves
Kutoka From
Itaanza It will start
Kupaa To fly
Nambari ya kiti Seat number
Kugagua To check
Asante Thank you
Ndiyo asante
Ndio
A: Good day, where are you flying today?
W: To Moscow
A: Can I have (I would like) your passport please
W: Okay, here it is
A : Do you have any bags to be checked?
W: It's just this one
A: Okay, please put your bag on the scale
W: My flight is not direct, it will stop in Istanbul, will be needed to take my luggage there?
A: No, your flight is direct to Moscow. Here are your boarding cards, your plane leaves from gate 15A and will take off at 13.20. Your seat number is 26E
W: Thank you
Vizuri sana 👏👏👏👏
Ni hii nzuri. nimejifunza mengi leo. Asante Mwalimu!!
Karibu
Hi, thanx so much for your efforts, I'm in South Africa 🇿🇦, After I learnt the numbers I thought 3:20 wil include Tatu and ishirini, ile, instead you talked about tisa, why is it like that?
While saying time in Swahili we read the opposite digit... because we count the number of hours if the day or night( for the day we start counting from 7:Am- which we will say saa moja (The 1st hour) ..3:20 Pm in Swahili will be saa tisa mchana since that is the 9 hours after 7: 00Am in the morning
Nilisafiri kwa ndege.
Nilisafiri kwa Ndege
Asante sana mwalimuu
nimewahi kusafiri na ndege mara mengi... uwanja wa ndege ilikuwa imejaa na watu.. kuna makelele hapo kwyene uwanja wa ndege☺☺
Vizuri sana kaka...mimi sijawahi kusafiri kwa ndege
Vizuri sana 👏👏👏
Ndiyo
Vizuri sana
Ndio nimewai kusafiri na ndege kutoa dar es salaam mpaka Abu dhabi
Vizuri sana... safari ya ndege ilikuwa vipi?
@@KiswahiliWithAbdulkarim ilikuwa nzuri ingawa inatessha😂 unaona mawingu tu
Mimi sijawahi lakini siku moja natumai nitapanda ndege
@@KiswahiliWithAbdulkarim sawa mwalimu
Sasa uko wapi