SIMULIZI FUPI: KIBATARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 มิ.ย. 2022
  • Oparesheni tokomeza KIBATARI kijijini inazua majanga makubwa kwa wanakijiji... Sikiliza Simulizi hii fupi mpaka mwisho utapata mengi ya kujifunza..

ความคิดเห็น • 28

  • @jamalabdishakur4574
    @jamalabdishakur4574 2 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah . Nashukuru sana na simulizi nzuri yenye mafunzo makubwa kwenye Jamii yetu wanao wadharau wanawake ama mabinti wakike hawana maana na hawafai kusomeshwa Asante sana natumai tumenufaika .

  • @selemanikiumwa836
    @selemanikiumwa836 2 ปีที่แล้ว +2

    Simulizi itaishi miaka mingi sana na ujumbe wenye tija kwenye jamii

  • @mezeaali4559
    @mezeaali4559 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Kwa simulizi nzuri na yenye mafuzo mwenyezi mungu awabariki

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 ปีที่แล้ว

    Asante simulizi mix kwa simulizi nzuri na yenye mafunzo
    Amakweli mchumia jangwa hula nawakwao namwiba wakujindunga hauna pole
    James alijichagulia maisha yake mwenyew

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalla Allah

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 2 ปีที่แล้ว +1

    Saluti kwake jogoo poll simulizi zake zinakuwaga za 🗣🔥🔥🔥🔥

  • @maryrungwe1373
    @maryrungwe1373 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda kwa mafundisho yako asante kwa simulizi

  • @jacklinequeen3214
    @jacklinequeen3214 2 ปีที่แล้ว

    Thanks so much d oen and all family ya simulizi mix yoote

  • @Adonai810
    @Adonai810 2 ปีที่แล้ว

    VERY EDUCATIVE THANKS MR D OEN👏👏🔥🔥

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 ปีที่แล้ว

    Asate sana smix media d oen Mbalikiwe sana

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥👌

  • @mezeaali4559
    @mezeaali4559 2 ปีที่แล้ว

    KiLa nikisikiliza simulizi zako, uwa ninapata mafunzo mengi sana , usi ache kutuelimisha na kuiyelimisha jamii pia ,ninajuwa watu wengi sana ,Katika jamii WaPo waliyopotea na kukata tamaa ya Maisha hiLa wakiisikiliza simulizi hii, ninaimani itawatia nguvu na kunyanyuka Tena. Asante sana mwenyezi mungu awabariki Katika Maisha yenu,Kazi zenu, family zenu,pia mwenyezi mungu awafanyiye wepesi Kwa kiLa jambo 🤲

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 2 ปีที่แล้ว

    Alfu 1 na mie 2 zingemwagwa hadharani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Director D .O. N salute kwako 🙋‍♂️

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 ปีที่แล้ว

    🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️Elf mojaMia mbilii kweli hazarani

  • @happinesshelkon3015
    @happinesshelkon3015 2 ปีที่แล้ว

    💓💓💓😊😊😊sana tena simulizi za huyu mkaka ni nzur mno

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 ปีที่แล้ว

    Asate sana smix media d oen

  • @rajeshrajesh-lp2oy
    @rajeshrajesh-lp2oy 2 ปีที่แล้ว

    Shukrani saner 🙏 kwa kuelimisha jamii

  • @vero756
    @vero756 2 ปีที่แล้ว

    Huku mumezima kibatari au basi .asante D kwa simulizi ya leo

  • @philipomasicho6391
    @philipomasicho6391 2 ปีที่แล้ว +1

    Data napenda kusikiliza simumulizi

  • @evelynemichael9949
    @evelynemichael9949 2 ปีที่แล้ว

    Asanta sana kwa mafunzo mengi ubarikiwe pia na mtungaji kweli ni kisa chenye elimu sana👏

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 ปีที่แล้ว

    Hao wazee wenyekiti walifikirii kila siku ni jumatatu mke wahuyo baba alikuwa naakili naaliwafundishaa adabuu walifikiri huyoo mama Ashaa😄atabeba talaka kwenyelesho 😄😄😄inahusuu😄😄😄 kikao kilifungwaaa gafulaa na umasikini umewaingia kijiji lixima kwa mtuuuu mmoja tuuu asie nafaidaaa

  • @mwanajumarama9788
    @mwanajumarama9788 2 ปีที่แล้ว

    💝💝💝💝

  • @fatumajumanne3529
    @fatumajumanne3529 2 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 2 ปีที่แล้ว

    Sarut jogoo por

  • @ZainaB-vt6uv
    @ZainaB-vt6uv 2 ปีที่แล้ว

    Sio kwa alfu na miambili hiyo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 ปีที่แล้ว

    Wapi ulisikia umepeana talaka tena mbele ya wazee pili ww baba ukatuma ukatuma kigodoro kuendaa kutukana mkeo halafu Leo hii etii nikurudie nani kasema kilamtu apambane na hali yake

  • @shyrosetemba8668
    @shyrosetemba8668 2 ปีที่แล้ว

    Kusema ukwli hawa wengine hawajui kusimulia wanaboa felix mwenda pekee ndo anaweza kusimulia hizi simulizi