Duuh.! LISSU AFUNGUKA MAZITO MUDA HUU KILA KITU KIPO WAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Pole rais wa mioyo ya wtz

  • @user-jacob-Peter88.
    @user-jacob-Peter88. 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Always ukweli hujulika a mwishoni🙌🙌

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana Brother, you suffered beyond words. Jipe moyo uck umeendelea sana kitambo kidogo kutakucha. 'As Christ died to make me holy, let's die to make men free'.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa huu mwenendo wa mtu kuumizwa na serikali kukaa kimwa na vyombo vyake vya usala wanatengeneza hasira Kwa wanainchi kuja kuanza kulipiza kisasi ombi tendeni haki kabla hatujafika huko

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 8 นาทีที่ผ่านมา

    USIE UNAROPOKA 2 WEKA NA AKIBA YA MANENO KUMBUKA WEWE ULIWAMBIYA WATU WA SINGINDA KUWA KWENYE UCHAGU WAKISHINDWA WATUMIE MAPANGA NA MAJEMBE ALAFU UKAYAKANA SASA NI MTUU WAINA GANI HATA HAWO WAFUASI WAKO WANA KUCHUKULIA AJE ACHA KUONGEA YALIO PITA JIBU YA SASA UNA SIASA ZILIYO PITWA NA WAKATI UPUUZI MTUPU

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa tukio lile hawana la kupeleleza bali kurikuwa ni kukamatwa wahusika ndiomana sisi watanganyika hatuna Imani na jeshi la police upelelezi wao tunautilia mashaka na walijitia dowa

  • @SethMwakangata
    @SethMwakangata 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila kitu nje tu