Asante mze kwa historia nzuri. Leo kiswahili imekuwa lugha kubwa Afrika hata ulimwenguni kote watu wanajifunza kiswahili. Nina furaha kubwa kuwa msema kiswahili.
Mimi nazani hapa ungegawa hata ikawa na parts nyingi sbb Mzee anamengi yakutupa, Sasa kama vile muda unakuwa mdogo kulingana nakua hatuwezi kusoma kwa dakika, Sasa tunaomba hii iwe kama muhustasari kisha gawa awe anakuja kutufundisha angalau hata dakika 30, maana Kuna hivyo vitabu vilivyoandikwa sisi hatuna ila Mzee atakua anatupa mengi Zaid
Mimi ni mtz kuna kitu sijaelewa mzee amesema kiswahili burundi ni kabila ila tanzania kiswahili ni lugha na watu wanamakabila yao na lugha zao za asili, mfano mimi kabila ni msambaa natoka tanga ninaongea kisambaa pia kuna makabila kama wadigo, wabondei na wengine ila lugha ya kiswahili ndio hutuunganisha, sasa iweje kiswahili kwa burundi iwe kabila ?,je hao waswahili wa burundi pengine wana makabila yao ya asili kama wanyamwezi,waha,ila tu hawajui asili ya makabila yao
Mzee kidogo amekosea mswahili sio kabila, kamwe!! waswahili au uswahili ni culture, na practices zakiswahili ambazo mtu alizonazo yaani ukishiriki katika culture ya kiswahili utamaduni ukazungumza na lugha na kuishi kiuswahili ndio mswahili wala sio kabila. MSWAHILI ni nation. Kila sehumu ambapo kiswahili kinazungumzwa somali(chimini) tanzania, kenya etc.. wote hao wana kabila zao na tamaduni zao. Uswahili na kiswahili ni lugha inayo wakutanisha kwa pamoja Kama ndugu. halafu kingine ndio kuna warundi waswahili wengi tu. Nyie chimbuko lenu ni congo or kigoma(wamanyema) ambao wapo congo pia na kabila zenu bado zipo( wabwari, warega, wavira, bangubangu, wabembe n.k) basi hivyo huwezi ukadai kwamba nchini burundi nyie au mswahili ni kabila. Hiyo ni uungo
Historia nzuri sana
Kweli nakubali muzeh wangu❤🤙
Kazi nzuri sana ISANAMU TV. We need more.. ..
Duuuh nilikua sijuw kabissa mzee big up saana nijuu myak tuu tuu inaend mbele talk time big up saana
Nimeyipenda hii kwa kweli so endeelesheni kuelimisha jamii.talk time✔️
Mzee umenifunzakitu nilikuwasijuwi mungu akujalie na akulipe ameen ❤❤
Santa Sana Mzee hazuruni
Asante mze kwa historia nzuri. Leo kiswahili imekuwa lugha kubwa Afrika hata ulimwenguni kote watu wanajifunza kiswahili. Nina furaha kubwa kuwa msema kiswahili.
Salum bichuka kijana Idrissa baba wa mkandama huy
Asante sana mjomba, wataelewa
Nimempenda
Tunashukuru sna nilifaidika sna kwakweli
Nimempenda sana huyu mzee
Assalaam alaykum warahmatulahi wabarakatuh
MashaAllah nampenda huyo mze❤
Nice kbsa
Very informative, tumeelimika sana kwa kweli we need more of these...
Huyu mzee niHatali
Nimependa sanna hiki kipindi huyu Mzee ni very smart
Manshaallah nimependa sana ikikipindi
Nashukuru mzee
Kipindi kizuri sana ikiwezekana kiendelezwe 🙏🙏🙏🙏🙏
T
Mtu kyjuwa historia yake nimuhimu sana. Asante kwa kutoa ilimu kwa kizazi cha leo, nimuhimu sana kujijua wewe ninani. Kunasaidia kujiamini.
Nzuri saana,inapendeza kwa kweli👌
Tunashukur kwa ilim hii go on brother
Mzee wa kiswahili wa Burundi akishusha Nondo za historia ya Burundi
🔥🔥🔥
Wakoloni walikuwa wanawakandamiza sana waislam, na mpaka leo hawana haki sawa na waafrika wakristo.na ndio waliowagawa waafrika
Nmeilimika vyakutosha
Hao wajama hawaokop waswahili wanaokop Uwislam
Mswahili mtaalam!
Mimi nazani hapa ungegawa hata ikawa na parts nyingi sbb Mzee anamengi yakutupa, Sasa kama vile muda unakuwa mdogo kulingana nakua hatuwezi kusoma kwa dakika, Sasa tunaomba hii iwe kama muhustasari kisha gawa awe anakuja kutufundisha angalau hata dakika 30, maana Kuna hivyo vitabu vilivyoandikwa sisi hatuna ila Mzee atakua anatupa mengi Zaid
Naon mpaka Idrissa anachok HhhhH njoo uone kwa mzee mkanadam nyumb ya Uhuru ipo Buyenzi ku 14 hhhhhh