Good kwa kutuletee update mapema ❤ , Nambona Alphonse ni muongo kweli kweli? Huko inje nurse anamliza, mbona huko kwa wheelchair? Hapo akandaganya kwa nurse... Alafu ndani kwa hos mmmm mamake Jimmy "Alphonse" anamkumbuka kweli kweli mamake anamliza mbona huko kwa wheelchair? Another question mmmmm hata mamake nimuongo kama kijana yake. Huyu mama hata yeye nikujifanya 😂
Good work, wonderful highlights ❤❤😂
Glad you like them❤
Thanks for the update ❤
You're always welcome
Thanks for the update momie ❤️
You're always welcome ma'am 🥰
Serenge Acha mungu aitwe mungu
Ninawashukuru kuniletea episode ya Neema na Mungu hawabless kuleta episode ya Neema.Serenge awache roho mbaya kwa kila mtu.
Asante Sana pia Kwa kuwatch
Waa mdomo ya Alifonze ni ya kushangaza 😂😂😅serenge alkuwa amechill kustuka boom😂😂😅
😂😂😂
Thanks for watching 🙏
Leo nmefika wa kwanza yaaay
Yaay♥️ thanks so much dear ❤️
Good🎉🎉🎉
Thank you 🙏
Mna prefer Neema ama Beki , sultana , Maria???
Good
Thanks 🙏
Thanks
You're welcome 🙏
Thanks for letting us know ahead I love you baby girl 👍
You are so welcome❤
Beki, sultana am a Neema ? ?
After Neema ni movie gain next
For now bado hatujajua . Thanks for watching
Kwan inaisha dear
@JosphineMwende-f6q hapana ,badoo
Your welcome
Man prefer Neema ama Beki , sultana
Good kwa kutuletee update mapema ❤ , Nambona Alphonse ni muongo kweli kweli? Huko inje nurse anamliza, mbona huko kwa wheelchair? Hapo akandaganya kwa nurse... Alafu ndani kwa hos mmmm mamake Jimmy "Alphonse" anamkumbuka kweli kweli mamake anamliza mbona huko kwa wheelchair? Another question mmmmm hata mamake nimuongo kama kijana yake. Huyu mama hata yeye nikujifanya 😂
Mamake Jimmy Alphonse 😂🤣 anakumbuka akimwambia, anyowe ndefu, mama Jimmy Alphonse anajifanya.
Pia mi somehow niliona ni Ka huyu mathe ako sawa 😂
Si uzae wako Naomi
Haki huyu neema ni fala sana, ananiboo, anapendushwa tu akili yeye ni kufuata tu kila kitu anaambiwa.
Neema anaashiria venye wanawake wengine hukuwa tu swayed
Shukran kipenzi
Most welcome kipenzi
Jojo is smatter than the mum Neema. Neema is easily swayed.
Could be true 💯. Thanks for watching 🙏
Thanks for the update ❤❤❤
You're always welcome ❤️