Wapelelezi wa DCI wamtambua mwanadada anayeaminiwa kuua Eric Maigo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Wapelelezi wamemtambua mshukiwa mkuu wa mauaji ya kaimu mkurugenzi wa fedha katika Nairobi hospital Eric Maigo. Sasa imebainika kuwa anne adhiambo, ndiye mwanamke aliyenaswa kwenye kamera za CCTV akitoroka baada ya mauaji ya Maigo. Wapelelezi waliokuwa wanaendeleza uchunguzi wamepata nguo alizokuwa amevaa wakati wa tukio nyumbani kwake mtaani kibra.
What a daring and corregous murderer!!Going over razor sharp wires is another level. Proper crook.
Let us dedicate our life to Jehovah God 🙏,as in you will be always at the right place at the right time with the right people,,rip maigo
Amen
Amen
Nakuelewa Ndugu au dadangu
Pitia kwanguuu akhy
If this us how police identify and track corrupt govt officials tugekua far as a country
things are changing we as kenyans are heading samewhere
Facts....hii kma ingekua ni kesi ya MTU mkubwa serikalini izi CCTV zisingepatikana for some reason....
@@mahmoodmohammed1679but the truth will always kam out free data ikiwa after years it will kam out
😂😂😂😂
Imagine
its the courage she has that is still shocking me
Recidivism, she's an ex convict
True her courage is on another level.....
Yote hii ni ku panic cz ametowa roho ya mtu already akiliaio yake
She may have taken drugs. How can she stump someone 25 stabs?
@@phoebewanjiru1955 ata sio drugs huyu ako na roho ya mapepo yanafuata labda alishawai kufanya kitendo kibaya zaidia hio
Mauaji imekua mob huu mwaka sijui kwanini😢
No matter what in this life try to create a relationship with God that you may be safe in his hands, the world is fading and the life itself is not parmenent
Don't forsake God for fame Remember there's death give your life to Christ and be saved God bless you.
She is analogue, the digital world caught her
My condolences to the family wababa wachaneni na dogodogo this really sad 😢whats goes around comes around sasa watoi wamebaki bila baba this so evil
Woooo jamani,na by the way unaweza pata ni mtu anajuwa huyo jamaa vizuri juu hawezi ingia pale kama hajui hapo
Watoi wagani, I think Eric was not married
People are coming up missing nowadays.
Remember the NHIF lady who was shot,There was no case,no follow up... Nothing.
Now a finance manager at a big hospital.
Someone doesn't want something to be known.
The effort and the courage she has if she can put it in money finding activities,,,haki angekuwa billionaire,,she is a risk taker if she can jump over an electric fence😳
Isn't an electric fence.
' Tiger woman gachagua said there are tigers in Kenya you said it's not true, this tiger was spotted recently. Despite all it's a sad situation
That is a seriously traumatized character because the behaviour clearly is daring and dangerous
I hear most ppl from those areas are hardcores!
That dangerous
@@alicehappiness509she is not a hardcore the evedence is overwhelming
This CCTV footage is not complete. Show also the entry of the two. And how is she really jumping over electric fence? Was it really LIVE? Traumatizing.
That's not electric fence, electric fence is thin like a thread
Kwanza kabisa adhiambo ni nani kwa iyo nyumba 😢😢😢
hyo ndio sja jua bka ssa😢
Ni mkuli wa mkulaji
A very good question...it should start here.
Wakati akipambana kuruka fence ndo wange alert security haraka but they delayed so much
Mimi sijaelewa hili tukio. Nikama naota.yani dem anajitokeza na kuua MTU , badae tunasikia ati anatafuta vyatu, uyu ni mwizi au muuaji? Anyway we leave all to almighty God who is in heaven.
@@thomasmarende2445she's both,a murderer and a thief.
Maybe they thought she wanted to commit suicide ndio wakatake time kumbembeleza
@@thomasmarende2445nikama viatu vyake vilianguka wakati alikua akichinjwa na hizo wire za fence.
@@CleophasKoech-yi6yp anyway wacha Tu believe, Mimi tangu citizen TV iyanze porojo za abnuasi huwa siamini citizen TV news zao.
Cctv mbona isionyeshe vile aliingia,wabanaz na ndogo ndogo😢😢😢
Showing us how she escaped, how did she get in? Something left out.
Wanaume mtaacha kuchenzea wanawake , all the man 👞 ujifunzwe kuheshimu wemen ok , wanawake fire 🔥
Kwa vifo ama
You are also a killer
Waah, nae anaugua hapo alipo,.... Haya atapatikana tuu.. Siku za mwizi ni 40 only
Waah! Maswali ni mengi majibu ndiyo hakuna😢
I know they will catch her soon, she has no where to hide now that she is known and she has serious injuries. On another note ,could you be doing the same with mweshimiwas , don't just be telling as that one mweshimiwa is involved in illegal gold business or wash wash and you don't give us the name or picture.
Double standards on another level
Kwani ilikuaje hadi akaingia ndani kwa dr..? kuna problem somewhere walikulana au? Kamfanya nini hadi afanye hayo mauaji mabaya namna hiyo........baby girl come out useme ukweli wako.
Maybe maigo sexually assaulted her and she was not in her right mind
@@lilac8794 for sure dear, kuna kitu behind.
Maybe former mboch na hakulipwa
A woman climbing those fence like a spiderman is shocking. She might have gone through tough times in life,but killing a grown up man ,seams like a cover up somewhere.There is someone in the house with a white shirt how come he never botherd to come out to confront the lady jumping the wall?????
Nimejikuta napasua kicheko matangani na design huu dem ameramba barbed wire na mdomo😂
Very true
Waah!huyu mwanamke ni genius, dealing with sitima ni kama wamecomunicate na sitima,this is serious
Were you watching with your ears closed ?
@@tonyirimu what do you mean???
Huyu dam ninani kwa hiyo nyumba.labda ata siyeye aliuana.kuna maswali mob sana ..nakaa hakuonekana akiuana..itabidi wafanye kazi kubwa sana ...kujua nani alifanya hicho kitendo.....mungu asaindiye ukweli ujulikane aki
Ndio inafaa akamatwe illi asaidie police kwa uchunguzi
Aisee huyu msichana ni jambazi sugu muuaji hana hata uoga na anajua nn afanye kukimbia😢
Hii cctv inakuanga wapi wengine wakiuliwa na pesa za wananchi zikipotea,anyway,Ann ajisalimishe tu hana otherwise
Hii Nairobi vitu zinaendelega usiku mungu tu anajua. ...Eish. ...
Sasa mbona hatuoni wakiingia ndani ya nyumba na huyo mubaba cctv inaonesha tu akiruka uko nje ata atujaona vile ametoka kwa hiyo nyumba mmh maswali ni mengi majibu ndo hakuna😢
Umeonaee mtihani hizi nchizetu
Kwani hukukuwa na mtu kwa hiyo boma? Na mfanyikazi alikuwa anamwambia ashuke kwani wanakuana, mbona hakumuuliza we ni nani? Na kwani aliingilia wapi? Na kwani Eric hakupiga nduru hata akidungwa kisu? Na mshukukiwa kwani hakukuwa na damu yeyote kwa nguo zake?
Mahali sielewi ni kama waliingia kwa hio nyumba pamoja ama?
hapo ssa
1:04 kuna watu wanamchungulia kwa mlango kutoka side ya tank.mbona jawakusaidia😢😢
Asking the same...apa kuna kitu tunafichwa
This lady is worthy akiller
Don't judge coz this story is not adding up
Ni si mara yake ya kwanza kuua,, ashazoea
Funny thing despite this CCTV evidence a good lawyer can get her out if there's no direct evidence she committed the crime
Actually it's a very easy case
....ehh...what other evidence do you have...?....escaping is not an offence...!!...the captors need to be jailed...!!...ni mtoto...so..afanyiwe medical check...na captors wawekewe charges sawa sawa...
Everyone is innocent until proven guilty ...
Clothes with blood stains of maigo,.knives with dna prints of ...
I don't think so...DNA seems to be all over.
😢hao wamama hawajiulizi mbona mtu arukie kwa ukuta kama sio mbaya🤔🤔🤔wangesema nduru
Huyu alilipwa kumuwa huyu Maiyu lakini hiyo pesa hatakula kwa amani,aliyeuwa kwa upanga atakufa kwa upanga, maanake ashapatikana wacha haki ya mwendazake ionekane.
you are deluded
Wewe huna akili .....this is obviously a ln affair
Wewe punguza mdomo how sure are you eti ni yeye alifanya hicho kitendo
....ehh....jamaa alikua na deals...or...mambo ingine....huyo mtoto inaonekana alidhulumiwa..au...alikua the wrong place with the wrong person....cctv yote itolewe...bila editing...
@@qrankmw. exactly,she was in a place at the wrong time,unless she found him dead and was afraid to be cought ikabdi ajitoe..if she was the killer why can't the cctv show us if they entered the house together?
Ghaiii huyo security namjua n wa nyumbani ghaiii poleni sana
Huyu mwanamke sijui nguvu yuatoa wapi..kweli shetani ni mwalimu
Kwani hizo waya hazifanyi kazi how comes anazishika na hakuna shock
Hizo naona ni maridadi tu
Hizo azinanga shock😅😅
The electrified ones are different....
I think there is more to this story than meets the eye. She does not seem in a rush after stabbing someone 25 times. We need CCTV showing them entering the residence as well.
Tru hii story iko wiered sana sana..... We don't want to judge but aaaaai
Maybe maigo sexually assaulted her and she was not in her right mind
@@lilac8794nkt
@@lilac8794 But if you leave a club with a man what do you expect... Kwanza kama umekunywa pesa zake.
@@matindepaulanne1781am asking the same question. Minor akienda clubbing is treated as a grown up.
Wapi ua😂 la umeme, security hakuona damu! ama majeraha mbaya ni gani?
Huyu ni hatari kwa usalama alifaa aende aibe kwa bank instead ya kuua
Damu ya binadamu huwa ni mzito sana hauezi hepa popote dunia hii,
Thatts a. Dangerous woman
That electric wire woi....she must be hurt wherever she is......but kitendo alichofanya cha. Unyama woi
Wanaume mtakufa kama hamuwezi jiheshimu na kutulia kwenu
This is mama fua. Useless!
Sawa mwanamke
Yaani wanatazama mtu akiruka fences bila kuchukua hatua kali kama vile kumkatakata kwa mapanga na kisha waite polisi.....nkt!
Adhiambo alikujaje kwa hiyo nyumba?..alipitia wapi akaingia kwa compound?walikuwa na uhusiano gani na mwenye? nyumba?
Neighbours seem to know her.. coz they should have stopped her
My question to
I'm sure angekuwa mkikuyu, angekuwa judged hata kama her side of the story haijaskika,, anyway let's hope, polisi watajua what happened.
Wakikuyu wako na historia mbaya
@@Eddykewell as you can see si mkikuyu.its funny everyone is she is a victim innocent until proven guilty. Yeah the same way you judged all the others with no evidence of doing the deed the same way we are judging her
@@missc5119 we judge her peke yako... Don't bring tribalism here... they's no wey this girl climbed those walls just for money. She was hurting
A killer remains a killer
wanaume tulieni na mwanamke moja. Haya yote ni wivu wa mapenzi. But ujinga gani kwenye dunia hii ya sasa ya cameras kufanya ushenzi huu
Hawaskiagi
Those saying the man assaulted the lady....am here wondering,the so called *minor* was out Partying at night,goes home to a *grown man's* house expecting candy!!!
She is so familiar in that compound from the reaction of the lady in black.
I have been reading comments and I concur with you. How comes the two Househelps never regarded her as a stranger to raise the alarm. She looked someone they know well.
@@thebold6700....ehhh....the oj simpson case...they even planted a glove....and it is danstan omari...of that time mr cochran.. who found the glove could not fit.....
...ombeta and danstan need to reach this girl...for the truth to be known...whether she did it or not....server/cctv itolewe yote without editing.....anything else will be chebukati ..cherera story - opaque...with injustice cj reading scripts witten from cotu headquarters or by a thesis from non existent student at teams university (UG) - sak.aja....
...be the salt of the earth...seek ye first the truth...and all the rest shall be added unto you...
Innocent until proven guilty .I can't judge her negatively before listening her side of the story.
You can as well defend her.
...ehh....well said....she does not look a killer...
...the other ppl in that apartment didnt seem suprised seeing the girl climbing the wall....
.....my premature judgement...she is the victim..
Shaitwani wewe!
@@peterkariuki9073😂😂😂
Maybe maigo sexually assaulted her and she was not in her right mind
Aliko pitia Ni hatari,lazima alienda hospitali, doctors pls don't hide this kind of a person
So the lady watching her jump over that fence couldn't have raised an alarm...scream or something...even after seen her clothes stained with blood!!! Again the watchman pia couldn't notice anything??
I wonder too,there is a lady there in the door
I wonder too,.hata wapige kelele or picha in this era.. I have so many questions with just that small episode...
Hahaha..... smells like a cover up... clothes are conveniently displayed and pictured as if in a shop, the investigation focuses on her escape (via CCTV) but nothing about their entry into the compound. The name of the suspect is known but you give an age range. Since the suspect in question is a minor, it introduces a technicality. By the way, while the suspect is struggling to jump over the wall, there is one person visibly seen through the window of the building - how come they don't notice any unusual activity outside and raise an alarm? One could ask a million questions but this feels like the usual circus prepared for a gullible public. The answer to this gruesome murder lies somewhere else - his workplace.
You missed the river by a boat. The ladies seen are in the neighboring compound to Eric after the murderer jumped over. Second, it's 6:25am and seeing a lady up and about in a compound of several tenants, you cant raise alarm unlike seeing a dude.
Haijulikani penye alielekea, na nguo zilipatikana kwa nyumba yake?
I don't agree with you on some but on that cctv issue I do. There should be a video of them walking in together.
Also am also asking myself the same question, whom did he enter with in the house? Which was his house? or is this a different compound that the suspect entered in a bid to escape? Only DCI will unravel the mystery.
If there is no CCTV it doesn't mean it is a cover up
Tuonyesheni CCTV wakiengia wote kwa nyumba
....ehh...hapo umenena...cctv ifunguliwe yote bila editing.......bila hiyo..itabakia kua mambo ya chebukati na cherera - opaque.....
1:43 pray for kenya😢😢
If daring was a person 😢
Even if she ran away Bible say, The men who have buried Maigo are now at the door. Acts 5:9
Na si kunaonekana kulikuwa na watu hakuna aliye notice Kuna kitu imefanyika
Ingekua ni mombasa angechangamkiwa
Wondering too. May be she is not the murderer. May be she witnessed the murder and was running away. May be the guy did something bad to her???????????????
Huo msichana ni takataka ata ata kutotoka ni kas bure atapatikana tu , damage ya maigo itamusubua sana
The world is coming to an end, Jesus come take as home😭
Wewe enda kama uko na haraka.
@@tonyirimu😂😂
@tonyirimu 😂😂😂😂
She's now regretting her deeds 😢😢
Walete full video vile waliingia kwnza
How did they get the name
Sijaona nyaya za umeme bali za nyembe au nyaya wembe
Na ilikua bado ni mapema kwani wapangaji wengine walikua wameenda wapi? Mpaka washukiwa watekeleze mauwaji na wapate nafasi ya kutoroka tena kwa kuruka fence yenye ni electric. Na walizimia wapi stima ndio waruke bila wapangaji wengine wasijue? Ikiwa walichukua mda wa kutoroka
AFTER WANAWAKE NO 2 OGOPA CCTV DAH 🤣🤣🤣🤣🤣
uyo den aliingia vipi kwa uyo wenada zake?
Huyu alikuwa analipiza kisasi ndungu zake wali uwawa bia serekali kuleta majibu Robert ouko ,thomas mboya ,chege msando
Huyo ni mtu ana umaarufu nakuambia sio kitu rahisi zile waya ni mbaya sana.
Tuonyeshe akiingia kwa nyumba acheni hii ufala
Hiyo bila shaka ni love story ukiona mwanamke anaruka wire disgn hiyo si bure enyewe aliraruliwa kweli kweli😢😢😢
Woi.poleni kwa familia..😭😭😭😭😭😭
I want to see Adhiambo getting out of the house,
Sasa huyu si angewatch Kwanza how to get away with murder
Daaah huyu ni mzoefu manake hizo wire wee ni hatari mara anauguza majeraha hospital mara ana tafutwa sasa tushike lipi
Sikiliza news vizuri
Hii case ilienda wapi
Hao wa mama mbona wanaangalia tu na hizo wire si za stima
Kuna kitu hapa haikp clear alikua wife yake ama ni nani kwa huyo mtu😭rip
lazima amesumbua mamake huyu mtoi aki t sad😊
what have I just watched wooi
Am shocked if she is a lady,, rest easy bro 😢😢😢
What can I comment now?
Who is she to Eric?tuanzie hapo
Yaani hii story inashangaza na inaogofywa sana pia ju huyu mtoi ilifika aje point ya kukua kwa nyumba ya huyo mtu.... Plus anakaa anajua sana vile ata move.. Move kuruka ma fence until she finally got away 😮
This one from kibra was just high on alcohol and drugs. Now regrets for life.
There is a lot of missing information..whonis Adhis' to marehemu??..under 18yrs?..we are not shown how she climbed up to the top of the tank.. 🙄...Alafu kwani ye ndiye ako na hizi nguo pekee??😢..!
I dont understand why the house helps saw her jumping on the barbered wires n didnt alert gate man
Huyo mtoto alitumwa gai hata hivyo akae ndani juu huyo aliachwa atafanya makupwa 😢
Dunia simama ni shuke 😭😭😭
She is not a teenager.Hamjui sura za teenager ?.Her own mum said on NTV interview that she was born in 2003.She is 20 years old
Yani unauwaje mtu demu 🙌🙌🙌
It is a difficult one to decipher...but one thing is for sure,kama there was a payment agreement after a service which was not honoured,such can occur....just my two cent worth if opinion,sad though...
Pay for services , some people desperately need the money .
So the CCTV dint record her getting in but only getting out.. n this CCTV also cannot show us the door for the decease... okay.... maybe it has selective amnesia
😂😂😂
Someone has been murdered. And you are showing us a footage of suspect escsping. We need footage of victim last moments
That woman is strange. Personal conflict....usikuwe na wife kama huyo utaitika Abee
I think that gal is a maid there she is not a killer maybe she was running away from her bosses coz the pupil i think know her the other maids knows her so kuna kauongo ati aliua mtu no
It would appear like a case of a minor being sexually assaulted by a grown man, then she lost her mind and stabbed the guy. In her heightened state of confusion she brazed the fence to escape.
So the *minor* was out partying and walks to a *grown man's* house expecting candy!
this is a very dangerous girl, her character tells it all
So you mean the minor was taken to this mans house at gunpoint? This is a dangerous criminal no wander she studied in an approved school.Its her her criminal tendancies started long as.Approved schools and centre for child and young criminals offenders.She stubbed the main 25 times to ensure that he doesn't servive.And masked the man's groaning pain with loud music.And the man too drunk to fight back
Pple will go for any job offer that will make better life . No tym to calculate the results of of it as long as it's a good deal
That lady was supposed to be arrested the moment she was found Jumping over the fence for interrogation. Soon, they'll cought up with her. To men now, wacheni Mpango wa Kando........... Thoooooooooo... Yawa.