Mara ya mwisho ukweli hujishow, Wivu, tamaa, chuki hupeep kwa windows, na mbwa ingine inaitwa uvivu always huwa kwa pillows, Alongside blanketi na uzembe, Maringo Ako kwa carpet juu yeye ni mzigo, Angevunja bed, unless tumuache hapo na pet, anaitwa kesho, Juu kila siku yeye huwa the same......procrastination. Adui yako ndio best friend yako, anaitwa kusave....... These lyrics ziko on point mbaya, metaphors na double entendre ❤
Kitu sewer uwanga zigzag 💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥Tanzania your number one fan
Mara ya mwisho ukweli hujishow,
Wivu, tamaa, chuki hupeep kwa windows,
na mbwa ingine inaitwa uvivu always huwa kwa pillows,
Alongside blanketi na uzembe,
Maringo Ako kwa carpet juu yeye ni mzigo, Angevunja bed, unless tumuache hapo na pet, anaitwa kesho,
Juu kila siku yeye huwa the same......procrastination.
Adui yako ndio best friend yako, anaitwa kusave.......
These lyrics ziko on point mbaya, metaphors na double entendre ❤
I love your lyrics G.....and you're lines are reality