ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
Kasheshe Part 2 - Kipupwe & Mkono (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ค. 2018
- Kasheshe Full Movie Part 2 (Kipupwe & Mkono) Kipupwe Movie
CAST: Kipupwe, Mkono,
STORY: Hassam
EDITOR: Mambwende
DIRECTOR: Hassam
PRODUCER: Abdallah Nzunda
Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaM... #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment
Movie nzuri sana aisee
wanajitahidi kuigiza kipupwe hongera sana
nzuri
movie inafundisha sana tuwe wepesi wa kusamehe kwakweli wengi sio wepesi wa kusamehe samehe 7 mara 70 tena kwa siku moja ukishikilia chuki zitakuua haraka
Hii nzuri sana
inafurahisha na kufundisha kama vip tupa komenti yako ndugu
Movi nzuli sana
Hahahahahaha nilikua naisubili kwahamu kubwa sehemu ya pili asanteni
Part 3 jamani ni tamu tu sana
Naomba jina la huyu artists aliye imba hii nyimbo
mwasera juma anaitwa FEYSAL MACHUYA
Mashaallah nzr eti niluusu nimtanie shemeji kidogo! Hahaha!😂😂😂nimecheka san Nice move!👌
Mashaa Allah nimeipenda wallah
Nimeyipenda zaid asanti wantu wa Tanzania nawapeda sana
Tokea qatar walai muvi tamu saana hasa hasa mwisho wake
Ka nyimbo ka zuri naomba jina plz
MashaAllah movie nzuri sana
Hongelen San ndugu zang mov nzur sanaaaaaa😍
iko pouwa sana wadau mmeitendea haki sana
HAHAHAHA CONGRATULATIONS YOU GUYS MMEAUWAAAAAA AT THE END👌
Mbona nyimbo tamu hivi jamani si mutwambie alie imba plz
Nzr snaa movie inafunzo ndani yk
Mh yaani hapa mmeua iko poa Sana
Kaliiiiiii kinomaaa
Movie tamu kweli part 3 plz
Alvina Mumbush mmmh wewe wataka hadi three,
Cleverboy Junior hehehehe upitwi
Alvina Mumbush naanzaje kupitwa
Cleverboy Junior mm niko mpka tamu aoleke na rama ndio ndio buddle zangu zitaisha
@@alvinamumbush5654 hahahahaha
Mwenyekiti wenu ana-busara Sana, hongera Sana kwenu.
aaaaa movi zuli sana
Aisee nani ameimba hii nyimbo tupen jina lake
Nuru Masunga anaitwa #FEYSAL_MACHUYA
kazi nzuri mmefanya, ila naomba jina la msanii aliyeimba huo wimbo
Jamali Kuraishi
Hatal sana
Nc movie nyimbo nzury jaman
Jmn nyimbo😢😢
movie nzuri sana inafundisha sana
Maashaallah movie nzuri 😘😘
Nyimbo Iliyotumika humu ameimba FEISAL_MACHUYA
Jina la wimbo
kali sana
nice
Wimbo huo jameni twambieni jina la msanii thafadhalini
Adam Ali Anaitwa #FEYSAL_MACHUYA
Sele Clever Prince TZ Thank you so much
Japo wimbo wenyewe sijaupata
Diamond ft juma nature, afande selle
Afadhal mume tuwekea part2 asanten
jina lamwimbo tafadhali bri
Jina la nyimbo plZ
Good
Niki wa pili
Izo ndo filamu sasa zakuwekea watu ongereni sn walioshiriki
Mumejitahidi sana ila move ameibeba mkono c mkongwe huyo wa move tangu enzi za kanumba.
usilete mapenzi acha upumbavu kijana wote wamefanya kazi sawa
Acha uwehu wewe huy mkono angewezaje peke yake saloot kwa ramso kipupwe pia
Jaman jina la nyimbo tafadhali
hahahaha kipupwe co Kwa selfie hizo
move iko poa sana
Dah nimecheka sn mover nzur sn
Move tam sana
Nawakubalii saana
Bro
Sehemu ya tatu bhana kipupwe
inamafundisho ndani yake
Movies ni nzury
Like
kazi nzur sana nimeikubari Ila Nina moja lakuongezea kaka allymchivali@gmail.com
Haha mimi ndo chairman