Hongereni vijana wasomi wa UDOM.. nafurahi sana vijana wanavyoshiriki katika mambo ya imani..nimebarikiwa kwa uimbaji na utanashati wenu. Muwe baraka kwa wazazi na kwa Taifa
Waoh! Waoh! Waoh! Mmeimba vizuri sana. Sauti za tamu na zenye ulinganifu. Mungu awabariki sana! Ladies and gentlemen, you have made my day! Asanteni sana!
Lots of congratulations for singing this hallelujah so nicely, it's really touching. May God bless all of you, to continue praising Him with your lovely euphonious voices. Greetings from Spain
Conductor, safi sana. Kwaya mumeimba vizuri; natural African tonality. Bravo wapendwa. But hii inaitwa Aleluya utunzi wa G.F.Handel, sio Aleluya Kuu! [Si kila anayepiga ishara ya msalaba wakati wa consecrasio anazingatia taratibu za liturujia Katoliki, wengine huyafanya mambo kama hayo yakawa utamaduni lakini hawako sahihi...! Mumeimba vizuri, ala zimechezwa vizuri, mengi ni mazuri. Nakupatieni alama 90/100. Alama 5, za Mungu, na alama 5 za kuutaja wimbo huo 'aleluya kuu' wakati sivyo!
Mko vizuri sana kila upande wa kwaya yenu! Mungu akubarikini sana katika utume wenu huo wa uimbaji ili kwa njia ya uimbaji wenu murua wanakwaya wote tufike Mbinguni kupitia karama yetu ya uimbaji..!
God through the risen Lord bless these young men and women for this great alleluia, proclaiming the risen Lord. Fr Fredrick Namasaka from Diocese of Garissa Kenya
Nilitaka Kusema Hivyo Hapo Kuna Sehemu Wameimba Maneno Mengine Sio Aleluya Kuu Inavyosema Na Wameimba Wamerelax Sana Kwa Ile Nyimbo Inavyohitaji pumzi Sio Kuimba Hivyo
Hongeren sana waimbaji wazuri was Muziki mtamu Langu ni moja; karatasi mlizoshika kuekti kuwa mnasoma hamjaonekana ata kuziangalia tu yaan imeonesha dhahiri kuwa hazikuwa na kazi kwahyo kazi ya kuigiza kwa hizo karatasi ni Kama haijafanikiwa fully
well done but hamjawa attentive kwenye karatasi mlizonazo miknoni inaoyesha hazina matumizi so you to demo some cocentration on them to make maeaning of holding them.
31/03/2024 Pasaka. Ni kweli amefufuka.
Natamani niungane na malaika mbinguni maana hiko ni kusifu na kuimba kuliko duniani makwazo topu
Hongereni vijana wasomi wa UDOM.. nafurahi sana vijana wanavyoshiriki katika mambo ya imani..nimebarikiwa kwa uimbaji na utanashati wenu. Muwe baraka kwa wazazi na kwa Taifa
Asante.... Karibu
Wimbo umetendewa haki🙌🙌🙌🙌🙌 mbarikiwe
Asante.... Karibu
Mmenibariki sanaaa. nimesikia wengi wakiimba huuu wimbo. lakini kwenu naona mna jambo la tofauti na lakupongezwa
Asantee sana.. Karibu
Waoh! Waoh! Waoh! Mmeimba vizuri sana. Sauti za tamu na zenye ulinganifu. Mungu awabariki sana! Ladies and gentlemen, you have made my day! Asanteni sana!
Duh ihu sio kuimba ni kumaanisha na kuacha dhambi
Hongera kwenu,sifa na utukufu virudi kwake aliyewapa kipaji
Hongereni mnaimba hadi raha Mungu awaongoze sana .karibuni dar salamu
Asante... Karibu
TYK. Good and nice songs. This is wounderfull music & piannistic of the year. God may bless you. Great massive LORD. amen.
Hongera kweli kazi nzuri sana aisee
Asantee... Karibu
Amefufuka kweli ni kweli.??? Hapo mnetaja Kristo NI kweli . Nadhani mtafsiri aliingiwa na roho yankushindwa kutaja Kristo
Classic. Hongereni sana
Nawapenda saaaana Mungu awabariki sana👋👋👋👋👋👋
Lots of congratulations for singing this hallelujah so nicely, it's really touching. May God bless all of you, to continue praising Him with your lovely euphonious voices. Greetings from Spain
Najivunia kuwa mkatoliki 🙏 halleluyah halleluyah halleluyah... Amina 🙏
Amina.... Mungu ni mwema.
@@bluestarrecords2669 kwa Yesu Akuna mkatoliki wala myunani matendo yako ndo mwemdo wa kufika mbinguni ilo dhehebu tu.
Hongereni wapendwa Mwenyezi Mungu awe nanyi wakati wote mbarikiwe sana
Thanks..... Welcome
Huu wimbo mzurii kwakel hongereni sanaaaaaaaaa
Conductor, safi sana. Kwaya mumeimba vizuri; natural African tonality. Bravo wapendwa. But hii inaitwa Aleluya utunzi wa G.F.Handel, sio Aleluya Kuu! [Si kila anayepiga ishara ya msalaba wakati wa consecrasio anazingatia taratibu za liturujia Katoliki, wengine huyafanya mambo kama hayo yakawa utamaduni lakini hawako sahihi...! Mumeimba vizuri, ala zimechezwa vizuri, mengi ni mazuri. Nakupatieni alama 90/100. Alama 5, za Mungu, na alama 5 za kuutaja wimbo huo 'aleluya kuu' wakati sivyo!
Asanteee.... Karibu
Tumsif yesu Kristy mungu awabari mliimba vizur
Kwahy hii sio aleluya kuu 😮
Kwahy hii sio aleluya kuu 😮
Mbarikiwe sana ni kweli Amefufuka
Love Catholic faith.Bravo wonderful youth Choir.
Thanks... Welcome.
Just wow! Thinking how it will be in eternity. Well done on earth with this choir, it will be perfect in heaven!
So nice big up
Amina
Unyama ,,,,safi sana moyo mt udom
Asante... Karibu
Mko vizuri sana kila upande wa kwaya yenu! Mungu akubarikini sana katika utume wenu huo wa uimbaji ili kwa njia ya uimbaji wenu murua wanakwaya wote tufike Mbinguni kupitia karama yetu ya uimbaji..!
Amina
Aisee..hongera sana...kazi nzuri sana...
Asante... Karibu
Kwa kweli ufalme wake ufike!!!
Hongera Sana Kwa utulivu wa sauti na kwenda na Mabadiliko🙏🙏🙏
Asante... Karibu
God through the risen Lord bless these young men and women for this great alleluia, proclaiming the risen Lord.
Fr Fredrick Namasaka from Diocese of Garissa Kenya
Thanks... God is good.
Waoh mwaimba vizuri sana naweza pata aje huu wimbo
Safi sana...big up bros
Asante... Karibu mkuu
Mwalimu Nyoni nakukumbuka sana, Mambo mazuri sana ambayo pia ulishafanya Parokia ya Malindi Lushoto Tanga
Ni zaidi ya kuimba hii hongereni sana
Asante... Karibu
Mungu abariki waimbaji wake
Mmeimba vizuri. Ila hiyo siyo ALELUYA KUU, ni CHORUS YA HANDEL. Aleluya Kuu ni kitu kingine.
Nilitaka Kusema Hivyo Hapo Kuna Sehemu Wameimba Maneno Mengine Sio Aleluya Kuu Inavyosema Na Wameimba Wamerelax Sana Kwa Ile Nyimbo Inavyohitaji pumzi Sio Kuimba Hivyo
Those soprano quality crescendos send chills down my spine 😍
Ewaa🔥🔥
Hongereni vijana mmeimba vizuri sana.
Mbarikiwe sana vijana katika yote,
Asante... Ubarikiwe pia.
Kazi nzuri sana, lakini kwa bahati mbaya hii sio ALELUYA KUU.😭😭😭
haaahaaa,waeleze sababu sasa
Yako iko wapi?
Yes hii ni Aleluya Chorus Aleluya Kuu ni ile anayoimba Padre kabla ya aleluya ua kawaida kwenye kesha la Pasaka
Ni Kweli Hii Sio Aleluya Kuu Ndo Mana Wameimba Kwa Kurelax Ivyo Ingekuwa Yenyewe Kwanza Lazima Sauti Ikaze Sauti Ya Kwanza Sauti Yao Nyepesi Mno
❤❤❤❤❤❤ congratulations 💕
Proud to be a Catholic
Woo oow
hongereni sana vijana mnajua kunikosha
\
Asantee... Karibu.
Mungu ashukuriwe sana. Nawapongeza mno wanakwaya. Mmeimba vzr ile tamu
Asante.... Mungu ni mwema, karibu sana.....
Mbarikiwe.....
Nema ya bwana mungu
Top performance💪💪
Mungu awabariki wote
Hongereni sana mdumu katika Kristo mfufuka
Amina.
Hongeren sana waimbaji wazuri was Muziki mtamu
Langu ni moja; karatasi mlizoshika kuekti kuwa mnasoma hamjaonekana ata kuziangalia tu yaan imeonesha dhahiri kuwa hazikuwa na kazi kwahyo kazi ya kuigiza kwa hizo karatasi ni Kama haijafanikiwa fully
Asantee
🔥🔥🔥
Mungu awabariki wapendwa mmeutendea haki
Asantee karibu
bavandimwe mwamfashije kubona copy yiyi ndirimbo konyikeneye cyane
Hongereni wana kwaya.
Asante kwa niaba.... Karibu
Mwenyez mungu awabariki sana
Ameen
Hongereni
Asantee... Karibu.
Asant
Kazi nzuri sana
Saf sana mung awabarki nawapenda wanakwaya wenzang
Moyo mtakatifu UDOM nmemiss misa za social
Haleluya sweet voices God 🙏🙏 bless you 🙏
Asanten watumishi mungu apiganie katoka huduma zenu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good job aseeh
Asante... Karibu
Asante... Karibu
Nice one 👍
Thanks.... Welcome
Hongereni sana mmenikumbusha kanisa hilo enzi fulani hivi
Asante... Karibu
Dar moyo Hadi raha
😃😃
Asante... Karibu
Chezea Catholic wewe najivunia kuwa muimbaji sauti ya Kwanza acha kabisa
Kazi nzuri sana God be blessed
Asante sana..
Be blessed too
Pongezi kwa kazi nzuri
Asantee... Karibu
Hongereni mmenibariki Santa
mwamba
Kaka umepotea
@@mkohoexperience7322 kupotea kivipi
kazi nzuri hongereni sana
Asante... Karibu
Congratulations family
Thanks... Welcome
Yupo poja na Yesu
Amina.
Vizuri
Hongereni kwa utume
Asante... Karibu
Familia yangu💕🙌
Gooosebumps! Mbarikiwe
Asante... Karibu
Sichoki kuingalia Hadi Raha kuimba
Asante... Karibu
Nimebarikiwa sana hongereni
Asantee... Karibu
Very nice work they did.may God bless you.
Ooh, thanks, you are welcome.
Mungu mkuu
Nc work
👏moyo fam♥️
Hongereni sana family👏... Nawapenda❤. Bwana awe nanyi daima🙏🙏
It's very fantastic congrats to you guys
Thanks alot, remember to subscribe our channel to see more projects...
Thanks.... Welcome.
My favorite hymn, kongole for the swahili version 🙏🙏
Thanks.... Welcome.
Asante Sana kwa KAZI nzuri
Asante... Karibu
well done but hamjawa attentive kwenye karatasi mlizonazo miknoni inaoyesha hazina matumizi so you to demo some cocentration on them to make maeaning of holding them.
Amen Mungu awabariki sana
Asantee..
Very nice song,, may God bless you all
Thanks...... Welcome
Amina sana mbarikiwe
Asante... Karibu
Hongereni sana kwa kazi nzuri 🙏
Asante... Karibu
Muko vizuri sana,
But tupunguze uuzaji wa sura kwenye performance
Simplesmente espetacular, Deus conosco hoje,amanhã e sempre.
Parabens a todos os Coristas.
Mbarikiwe sana
Amina... Nawe ubarikiwe pia
Hongereni sana kwa kazi nzuri Mungu awabariki sana
Asantee sana... Karibu
Hongera kwa kuimba jinsi ulivyo wimbo
Asantee sana.... Karibu.
Wonderful voices, I love it
Congrats good people...
Asante... Karibu
Hongereni sana sanaa, this is an amaizing performance
Asantee sana... Karibu