ความคิดเห็น •

  • @josephmaswi7078
    @josephmaswi7078 5 ปีที่แล้ว +3

    ahsante kwa elimu hii, ningependekeza bank kuu kuwa na utaratibu wa kutoa elimu kwa sisi wananchi wakawaida, ili tuweze kuwa na ufahamu na utumiaji mzuri wa shilingi ya kitanzania ili kulinda thamani yake dhidi ya dola

  • @JamesKalolo-qj8sg
    @JamesKalolo-qj8sg 9 หลายเดือนก่อน

    Je one pound inashilingi ngap
    😅

  • @franciscobalenga7710
    @franciscobalenga7710 5 ปีที่แล้ว +2

    Hii ni elimu hasa.. Hususani kwa kipindi hili ambacho kelele zote ni thamani ya shilingi

  • @ahmadalshaibany1538
    @ahmadalshaibany1538 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi munaizungumziaje theory inayosema thamani ya currency ya nchi husika inatokana na akiba ya dhahabu wanayomiliki nchi husika katika benki kuu ya dunia

  • @djcharzy6636
    @djcharzy6636 4 ปีที่แล้ว

    : naomba msaada kujua shilingi 1020000 mnamo mwaka 1997 kwa kiwango cha fedha kwa sasa mwaka 2020 itakua na thamani gani